Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Dogo tulia hapa maghorofani
Usimulie Tom and jerry na game of throne kisha ukale chips
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo tulia hapa maghorofani
Usimulie Tom and jerry na game of throne kisha ukale chips
Naunga mkono hojaKazi ya mchezaji uwanjani ndio tutakayo muhukumu nayo.
Nyapu huo ni ulijari na pesa wanazo Kwa nini wasijiachie?
Hahahahaha, hela zibaki nyumbani japo kdgKazi ya mchezaji uwanjani ndio tutakayo muhukumu nayo.
Nyapu huo ni ulijari na pesa wanazo Kwa nini wasijiachie?
Angekua Guede lile lilikua goliMzize hana hadhi ya kucheza Yanga tokea msimu unaanza niliwaambia mkaniita hater.
Kama sio upumbavu wake saa hizi tungekuwa tumeshacheza nusu fainali ya kwanza na Esperance, lile goli la Aziz wala lisingetuuma kihivyo maana hapa nyumbani tu tungeshinda 2.
@Nifah CIA [emoji119][emoji119]Bata kweli jamaa anakula sana na anapenda mizigo hatari. Lols
Ila sasa kuna michezo ameianza sio poa, uzuri Hersi huwa hacheki na virusi atawaondosha wote.
Ndio maana sitaki kumsikia jamaa. Ni kama Musonda alivyotunyima Kombe la shirikisho kule Algeria kwa uchoyo wake. Angempa pasi Mayele kombe lingekuwa jangwani pale.Angekua Guede lile lilikua goli
Pacome nyapu ndo zinampelekesha saivi, kavamia wadada ambao Baraka de Prince na u star wake wote aliwafanya michepuko, yeye anazipapalikia.Mkuu Mimi nadhani tumpime kwa kiwango chake mbona kinaridhisha?
Lomalisa iko wazi hatobaki yule na hata pacome naye kavamia bata sana na nyapu za watoto wa dar
Ndo hivo sasa, injury haziishi.Kazi ya mchezaji uwanjani ndio tutakayo muhukumu nayo.
Nyapu huo ni ulijari na pesa wanazo Kwa nini wasijiachie?
MkuuKwa maoni yangu mimi,
Wachezaji wa kuondolewa pale ni hawa wafuatao,
1. Sureboy
2. Mauya
3. Skudu
4. Kibwana
5. Kibabage (huyu wenge ni kubwa sana)
6. Metacha( yaani huyu ndo hafai kabisa)
7. Farid
8. Nkane
9. Lomalisa
Wachezaji ambao nadhani tuwape muda ni hawa wafuatao;-
1. Mzize
2. Mwamnyeto
3.Guede
4. Musonda
Wachezaji wa ndani wa kuwaleta msimu ujao pale Jangwani ni hawa;-
1. Yahaya Mbegu
2. Awesu Awesu
3. Lameck Lawi
4. Kelvin Kijili
5. Matheo Anthony
Astaqafulah!Musonda, siku hizi anajitahidi ila hayuko aggressive kama stiker, aongeze juhudi
Daah au hamuoni mwenzie Aziz ki?Pacome nyapu ndo zinampelekesha saivi, kavamia wadada ambao Baraka de Prince na u star wake wote aliwafanya michepuko, yeye anazipapalikia.
Awesu alikuwa Azam ambayo haikuwa na pressure na matokeo. Awesu mbele ya mashabiki 60k kwa mkapa, utamuona Tony kloos kwa macho yako mawili kabisa, bonge la mchezaji.Mkuu
Kijiri na kibabage Mimi sioni tofauti yao labda useme nafasi ya kibwana akae kijiri ila kibabage bado tunamuhitaji ana chumba cha kubadilika
Kumbuka Joyce atasepa so tunabaki na beki LB mmoja kibabage kaingia kwenye system
So tunapoleta mwengine inamaana anaweza kufeli .
Akienda kibabage na lomalisa kwa pamoja hapo tutakuwa tumejiumiza wenyewe
Awesu yule ni mchezaji wa team ndogo alikuwepo azam alishindwa
Mkuu, striker anakamua bila goli?Astaqafulah!
Hapa naona umekosea.
Mechi za Mamelod jamaa na Maxi walikamua ile mbaya. Mechi ya Mnyama kweli alipooza sana.
Unaongea kama vile Mzinze mchezaji mzoefu.Mzize hana hadhi ya kucheza Yanga tokea msimu unaanza niliwaambia mkaniita hater.
Kama sio upumbavu wake saa hizi tungekuwa tumeshacheza nusu fainali ya kwanza na Esperance, lile goli la Aziz wala lisingetuuma kihivyo maana hapa nyumbani tu tungeshinda 2.
Aziz huyuhuyu aliyeletewa maua akalia? Nikwambie tu anatoka na mwanamke ambaye ni rafiki na yule Karen anayetoka na Pacome.Daah au hamuoni mwenzie Aziz ki?
Itabidi apunguze au ale na uwanjani afanye kweli? Shida ni mgeni ndiyo maana
Unamjua Bobby Firmino? Unaijua False No: 9?Mkuu, striker anakamua bila goli?
Yanga sio chuo cha malezi, ndio maana nimesema hana hadhi ya kucheza Yanga. Tunahitaji wachezaji wa kuleta mchango wa makombe kwenye timu.Unaongea kama vile Mzinze mchezaji mzoefu.
Tumpe apate uzoefu.
Guede ni mzoefu huwezi kumuweka daraja moja na yule kijana mdogo.
Waganga wa kienyeji wateja wao wakubwa ni wanawake.Aziz huyuhuyu aliyeletewa maua akalia? Nikwambie tu anatoka na mwanamke ambaye ni rafiki na yule Karen anayetoka na Pacome.