Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Mkuu unashauri vipi kwa mtu ambaye hana uzoefu na magari au ambaye ndio anaanza kununua gari ya kwanza hizo jamii za Nissan atazimudu?General conclusion,
Gari lolote ni matunzo na kulijali..
kaNISSAN kangu sasa kana miaka 6 na miezi 2..[emoji38]
Mile age inasoma 157,600..[emoji28] and the car Is running smoothly..
Kuna IST za washkaji zina less than 50,000 km.....lakini zinanguruma kama TATA..[emoji119][emoji119][emoji119]
....mkuu tatizo unakuta mtu anatoa negative feedback ya gari ambayo hajawahi kumiliki....Unalimiliki Mkuu? Tunaotumia nissan miaka na miaka tunakuangalia tu!
Kiuchumi tunaita LIQUIDITY, an easy the asset can be sold or exchange with other asset. Well said mkuuMwambie huyo jamaa maana hajawaza interms of monetary value. Anawaza gari kama gari. Gari lazma iwe na resale value kubwa na ndo thamani ya gari inavyo pimwa. Kwenye post yangu Nilitoa mfano wasimu Leo iphone X lazma ununue kwa milioni moja laki tatu na Samsung note 9 note 8 hata kwa laki 3 unapata wakati simu zote zilitoka kipindi kimoja kwa bei linganifu. Leo toyota ist inathamani kubwa kuliko nissan xtrail pamoja na ukubwa wote ule, ist haiji kushuka thamani. When you choose a car angalia market value
Mkuu umepata kwa bei gani kwa kuagiza moja kwa moja?Niliwahi kuuliza humu kuhusu Dualis. Nimeshaagiza Beforward inaingia katikati ya mwezi huu
akikujibu nitagMkuu umepata kwa bei gani kwa kuagiza moja kwa moja?
Kwenye list ya watu wanafki na wewe upo..Shock up - 1 pc andaa Laki 6 TZS
Wacha vitisho ...Mashock up ya kichina mbona yapo elfu 80 mpaka 70 na watu wamefunga kwenye xtrail ambapo zinaingiliana.Shock up - 1 pc andaa Laki 6 TZS
Very comfy😋!Habarini ndugu, nilikuwa na mpango wa kununua gari aina ya IST, ghfla nimetoka kuvutiwa sana na izi gari aina ya nissan dualis, nikaona ngoja kwanza niwashirikishe ndugu zangu humu ili kujua changamoto na faida za izo gari, ili kama itakuwa njema basi niendelee kujiongeza kuzichanga ninunue iyo gari karibuni sana?
Car: Nissan Dualis
Year: 2008
Cc: 1990
Upo sahihi mkuu inasumbua baadhi ya wengine kupata parts kumbe kitu ni kile kile.Qashqai na Dualis ni gari ile ile.
Kama wewe ni fukara usinunue Nissan Dualis kwa sababu utachakaa zaidi!Habarini ndugu, nilikuwa na mpango wa kununua gari aina ya IST, ghfla nimetoka kuvutiwa sana na izi gari aina ya nissan dualis, nikaona ngoja kwanza niwashirikishe ndugu zangu humu ili kujua changamoto na faida za izo gari, ili kama itakuwa njema basi niendelee kujiongeza kuzichanga ninunue iyo gari karibuni sana?
Car: Nissan Dualis
Year: 2008
Cc: 1990
Sasa hizo gharama zote si ungeagiza mpya tu?Sasa mimi ni mpenzi mkubwa wa Nissan, tema Murano. Ninaimiliki ila imenitesa sana sio kidogo ila imekuja kutulia hadi nashangaa.
Ipo hv, nilipoinunua hii gari sikupata shida. Siku moja nikampa fundi anifanyie service ya oil ya gear box na Engine. Fundi akanunua oil ya Puma(manjis Arusha) badala ya Matic J(Murano inatumia matic). Akaweka hiyo oil na mimi sikujua. Baada ya kama mwezi mmoja tu gia ya rivers ikaanza kuwa haikubali gari ikipata moto. Yani ilianza kelele hapo. Mimi sikujua shida ni nini. Gari ilinisumbua sana kama miezi 4-6 nateseka tu. Mara ikaanza kuwa inazima tu yenyewe, mara inaua coil, mara betri inakufa kwa muda mfupi. Nimetembeza karibu garage zote Arusha, niliwasiliana na mafundi wa dar nao vilaza tu. Diagnosis machine nazo zinataja codes ambazo hata uki Google inaeleza vingine. Nikibadilisha control box, coil zote, pulgs zote bila muafaka. Hadi pump ya mafuta niliweka mpya ila gari hamna kitu. Nilitokea kuichukia sana. Nilibadili hadi camshaft sensor, crankshaft sensor, oxygen sensor ila bado hamna kitu.
Katika kutafuta msaada nikakutana na fundi mmoja akaniambia hii gari imeua sensor kwenye gia box na imewekwa oil ambayo sio yake. Akaniambia tatizo hapo ni gear box tu hmhamna kingine, nilishindwa kumuamini ila mwisho wa siku ilibidi nimuamini. Akaniambia nimpe hizo sensor zote coil na vifaa vya zamani avirudishie vyote halafu tuagize gear box nyingine(alinishauri kuwa gear box haifai kutengeneza) wakuu nialiagiza gear box, akafunga, akarudisha vile vifaa vyake vya zamani vyote. Hadi lei gari imetulia na sikuamini kama ni ile Murano iliyokuwa inawasha taa zote ukianzia na check engine.
Conclusion ni kuwa magari ya Nissan sio mabaya bali mafundi wetu elimu chenga. Na bei za vifaa mafundi ndio wanapandisha.
Nissan murano ni gari comfortable sana na ni nzuri ukiitunza na kuipa vitu vyake original
Halafu hii nipeleke wapi, kama una unga unga maisha ndio utawaza hilo ila kama gari umelipenda utalihudumia mkuu. Nissan haimuhitaji masikini wa kusema gari ni asset wakati gari ni liabilitySasa hizo gharama zote si ungeagiza mpya tu?
Kama hii ndio gari yako ya kwanza kutaka kununua na unataka gari ya mizunguko ya kawaida mjini, basi nunua IST. Narudia tena nunua IST.Habarini ndugu, nilikuwa na mpango wa kununua gari aina ya IST, ghfla nimetoka kuvutiwa sana na izi gari aina ya nissan dualis, nikaona ngoja kwanza niwashirikishe ndugu zangu humu ili kujua changamoto na faida za izo gari, ili kama itakuwa njema basi niendelee kujiongeza kuzichanga ninunue iyo gari karibuni sana?
Car: Nissan Dualis
Year: 2008
Cc: 1990