Nitafungua kesi dhidi ya app lock iliyoleta mgogoro katika ndoa yangu

Hahahaaa..cc espy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katafute High end device yoyote ambayo ina privacy ya moja kwa moja na siyo swala la kudownload app....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jishitaki mwenyewe na ujirekebishe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan pattern anazjuaga ata niwekeje! Kama izo sumsung zna finger print sawa kabisa, itanibidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumua vault pro version ila niakulipia,yaaaani inaficha vitu, na yenyewe inajificha intruder hawezi Iona maana inapotea kwenye menu/apps list hata aende kwenye list of installed apps hatoina kamwe, ukitaka ku access una dial ussd codes(*....#)of your choice Kama pin ndo Ina appear...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata uweke app locker gani, kama ume install true caller kwenye simu yako utaumbuka. Ubaya true caller ukienda upande wa SMS insonesha zote hata zile ulizo hide kwenye locker.
Nashauri un install true caller

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wanaume baba etu mmoja,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kaka somo zuri, ila kusema nimpe had pattern huo sasa ulokole!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ase, asantr how much it costs, maana ile ya free nimeieka nkaitoa, sijailewa kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…