Nitafungua kesi dhidi ya app lock iliyoleta mgogoro katika ndoa yangu

Yani unampenda mtu then unatfa option ya pili it seems humpendi better choose the second option. Ina maana hakurizishi imagine na yeye afanye hivo
Mimi hii kitu nitakataa miaka 100.. tena uzoefu wangu unaonyesha ukiwa na kimada nje ndio mapenzi kwa mke yanaongezeka maradufu.. Ukiona mtu kalowea kwa kimada ujue hakumpenda mkewe hata kabla..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku unakuja kusikia, Mke amuua mumewe kwa kisukumio cha Chapati ndio haya. Umekamatwa una laghai ndoa yako, badala ya kuwa mpole bado unatafuta namna ya kuficha uzinzi wako. Nikukumbushe tu ndugu, mkeo ndie aliyebeba uhakika wa kuishi hapa duniani baada ya Muumba.
 
Vaulty ina weza kutengeneza vaulty tatu mpk nne na unaficha huko ya kwanza unaeka picha ambazo watoto hawana ruhusa vaulty zingine za kumficha wife

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kutumia Vault

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalizo ukichomeka simu kwenye computer kwa lengo la kuhamisha picha kama umeficha huko picha zako Lazima macho yakutoke siku moja nilikuwa nina hamisha picha kwenye simu na wife dah mara hilo πŸ™†πŸ™†πŸ™†!πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†!!!!
!dah dah dah dah nikasema yani Leo nina hama kweye ma group yote watu kutumiana picha za wana wake ata kama anafanya biashara ya kuuza hizo nguo kwanini asipige picha tu hivyo viatu na nguo peke yake!
Nikaongeza wanauza nguo na hivyo viatu
Sema sio vizuri πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
!!
Chukuwa 20p pro ni kila kitu kina kuwa salama ata simu huna aja ya kuogopa mtu Kushika
 
Mzee hii ni Huawei P20 pro una maanisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungetumia hii

Vault

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…