Nitafungua kesi dhidi ya app lock iliyoleta mgogoro katika ndoa yangu

Apps uchukue bure kwa shida zako alafu utake hela ukiona app iko bure ni chache zinamilikiwa na company za maana ningine ni developers tu tena nyingine zinakua kama test au mtu anafanya majaribio so anataka watu mtumie na mseme mapungufu ya hiyo app then alekebishe alafu iwe pro ndo aweke sokon we lia na ujinga wako tu basi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umeangalia hiyo screenshot vizuri? Kuna option ya ku hide ,ku show na ku dissable ukichagua ya ku hide message itaingia ila content yake haitaonekana (means mtu hawezi kusoma tzt zako zzte. Na hata kwenye tecno ipo hiyo option
Siongelei issue ya ku disable kwenye notifications, hiyo ya xiaomi message inaingia na inakwambia message imeingia but content ya message imefichwa

"Hatikvah"
 
Pole sana boss. Nashangaa mpk wengine wanamlaumu mshkaji kwa mistake iliyotokeailihali more than 90% tunachepuka mara moja moja. Hiyo ni kama ajali kazini mkuu.

Ila hujatuambia baada ya kukutwa na bibi Pepsi,nini kilifuata (namaanisha maswali yake na majibu yako). Cha kufanya next time ukikutwa USIKUBALI MAKOSA KIRAHISI HATA SIKU MOJA. Labda kama umekutwa red-handed, japo hapo nao kuna wabishi wanagoma.

Bisha. Kataa. Kataa kabisa. Atalia. Atanuna. Atakasirika. Mwisho wa siku yanaisha.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh hili nalo neno
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ase Poole, ngoja niichek huyo sasa maana ciwez kujiuzulu mapema hvi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
App lock nzuri ni kuachana na mpango kando! Hii imethitishwa from heaven 😜!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…