Nitaifichaje hii aibu ili niweze kurudisha heshima yangu

Rlax jooh fanya kam hakuna lilotokea mi siku moja kulikuwa ba shereh chuo nililewa sana siku iyo ndo walinijuwa real of me kesho yake wakawa wananitania hata sikujali ,siku ingine nikalew nikaongea na mtu sijui nilimshauri nn kesho yake ananishukuru sana kwa ushauri na kunisifia mi nina akili sana hakujuwa kama nimelewa kabsa ila niliongea nae lisaa lizima sikumbuk nilimshauri nini
 
Kama hauja amka na kesi au malalamiko shida yako nini sasa!? tena hauna hata ngeu na unasalimia wote uliokua nao wanaitika fresh na wanacheka, hiyo ndiyo pombe Sasa kama umempenda swaga zake endelea nayo kama haujazipenda swaga zake ikaushie..
 
Mlevi halaumiwi wewe ndo unajishuku tu mkuu, Tena ulikunywa siku iyo hawajawahi kukuona before wala hawakuwazi bali wewe ndo unawawazq.
 
Piga tena tungi ukawaombe msamaha
 
Mlevi halaumiwi wewe ndo unajishuku tu mkuu, Tena ulikunywa siku iyo hawajawahi kukuona before wala hawakuwazi bali wewe ndo unawawazq.
Ahsante mkuu kwa ushauri
 
Mlevi halaumiwi wewe ndo unajishuku tu mkuu, Tena ulikunywa siku iyo hawajawahi kukuona before wala hawakuwazi bali wewe ndo unawawazq.
Ahsante mkuu kwa ushauri
 
Thanks joh
 
Utajua mwenyewe kazi kufakamia mabia ya bure. Pumbavi zako
 
Potezea waambie siku ile niliamua kujiachia na kupanda juu ya meza,hivyo waendelee kukuelewa kwa namna walivyokuelewa tangu mwanzo.Waachane na ya le ya kupanda juu ya meza.
 
Relax mkuu.
Kawaida sana hizo kwa watu wa pombe.....punguza kujilaumu na kujihukumu kwa vitu vidogo kama hivi.
Wewe kausha vitu vidogo namna hiyo vinakusumbua! Sasa wale wanaojinyea hadharani na kesho Wala hawamaindi na Kila mtu anapotezea, Inaonesha unaishi na watu wajinga sana wasiojishughulisha na mambo Yao wanahangaika na umbea TU!
 
Wewe si ndiye umetumbuliwa kwa kumtukana mkuu wa mkoa wa tabora na maafisa wengine wa serikali kisa ulikua tungi?
 
Hiyo namba 1 uwe na bahati waje kukusaidia, ukiwa na wabishi mpaka unafukuzwa kazi kwa ulevi
 
Kunywa tena ujiliwaze.
 
Kama ulivyoandika kwenye maelezo yako, bila shaka uliugua ukichaa kwa muda.
Nijuavyo mlevi akilewa vilivyo anakuwa hana hata nguvu za kuongea na kutukana matusi.
Wewe ulikuwa na kumbukumbu hata za kuwataja unaowapenda!!
Mlevi husimuliwa aliyofanya siku ya tukio, siyo mlevi asimulie siku hiyo ilikuwaje.
 
We acha tu mkuu kuna siku hangover ilinipiga ikaunga na malaria juu kwa juu oya unalala unaona kama unaelea angani afu ilikuwa hangover ya cocktail kvant value kiwingu bia oya ile hangover ata mwanasheria angekuja ningesain sinywi pombe tena ila nilinyuti kwa muda gari ikawaka tena
Hii ni HANGOVER ndio inakusumbua. Sisi wanywaji huwa tuna msemo wetu unasema katika kila mning'inio (hangover) kuna ahadi ya kutokunywa tena pombe. Kwa hiyo ni swala la muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…