Nitaifichaje hii aibu ili niweze kurudisha heshima yangu

Hilo limeshatokea huwezi rekebisha. Jambo la msingi endelea kuwa yule wa zamani ambaye wanamfahamu. Kama kuna group la wafanyakazi Apologise kwa chochote ulichofanya ambacho huenda kiliwakwaza baadhi. Maneno machache tu usijieleze sana litapita tu. Itakusumbua ila hiyo siyo hatia ya damu. Usijifichefiche kutana nao itakusaidia fedheha kutokuwa ya muda mrefu kwa kukutana na mmoja mmoja
 
Jitundike tu fasta
 
Kama wanajua ulilewa,usiwe na hofu! Watajua ni pombe na usiogope kuwaambia samahani jamani zilikua ni pombe,baada ya hapo mute tu,time will heal na yatasahaulika...wenzio tulizingua zaidi ya hapo na leo ni kama haya kutokea.muda unaponya
 
Kwa kimalkia wanasema "don't give a f@ck" acha waseme, wewe ishi kama ulivyokua unaishi zamani.

Kuomba msamaha ni kujishusha zaidi, acha wajue boss akilewa ni mchangamfu.
 
Kama wanajua ulilewa,usiwe na hofu! Watajua ni pombe na usiogope kuwaambia samahani jamani zilikua ni pombe,baada ya hapo mute tu,time will heal na yatasahaulika...wenzio tulizingua zaidi ya hapo na leo ni kama haya kutokea.muda unaponya
Ahsante kunitia nguvu kaka
 
Heri wewe! Kuna mwenzio alimkojolea mama mkwe katikati ya kikao cha familia
 
Hiyo heshima haikuwa yako. Ndo maana imeondoka. Ingekuwa yako ungekuwa nayo. So huwezi irudisha sababu si yako.
 
Hapo ulipowaambia watu unawapenda vibaya kama uliwaambia wanaume wenzako lakini kama uliwaambia ni wanawake hamna shida.
 
Ahsante kunitia nguvu kaka
Then kati ya hao wote kama kuna wanywaji ndio hawezi hata kukuwazia maana washaona zaidi ya hayo... don't feel guilty pengine walichukulia ni pombe tu na washasahau.
 
Acha ujinga.

Ni akili ya pombe hiyo inajulikana ila kama utarudia mara mbili au tatu hapo kidogo itakuwa ni shida .
 
Mimi ninakishauri mambo mawili uchague Moja;

Mosi, nenda kwa mwajiri wako uombe uhamisho. Ukihamia sehemu nyingine utaanza upya.

Pili, kunywa sumu na uache ujumbe!
 
Kunywa pombe tukujue
 
Nenda kwa babu kaoge... mweleze mkasa mzima utaoga maelekezo ya kuondoa mikosi nuksi na kila aina ya vijicho..

ukipenda uje inbox nikupe namba ya mtaalam wa mitishamba kutoka Katoro myajenge
Huyo mtaalam yuko dar?
 
Mimi ninakishauri mambo mawili uchague Moja;

Mosi, nenda kwa mwajiri wako uombe uhamisho. Ukihamia sehemu nyingine utaanza upya.

Pili, kunywa sumu na uache ujumbe!aisee nimekustiri tuu
 
Sijakuomba wewe unaweza kaa kimya hunisaidii chochote zaidi ya chuki na unaonyesha dhahiri unaroho yakorosho boss
Una akili ndogo thats why unajiliza hapo. Poor mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…