GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe mshamba Nini, umechanganyikiwa wewe mwenyewe. Unaendaje kwenye Uchaguzi nchi imepasuka vipande vipande. Lissu yupo jela mnamfanyia humiliation
 
Nasikitika kukwambia ya kwamba wewe ni magonjwa wa uchawa, ulisema utamjibu Polepole ukaishia kuleta uharo!
Huyu mbwiga ubongo wake umechanganyika na haja kubwa hana uwezo wa kujibu hoja.
 
Stupid.
Unajibu kama nani? Kwa mamlaka gani uliyo nayo?
.Labda useme utaweka maoni yako, na siyo kujibu.
Unajipa umuhimu ambao huna.
 
Sawa jitokeze hatharani ujibu hizo nondo siyo ujifiche nyuma ya keyboard ndo ulete uchawa hapa
 
Wewe unajibu kama nani hapo UWT?
 
Stupid.
Unajibu kama nani? Kwa mamlaka gani uliyo nayo?
.Labda useme utaweka maoni yako, na siyo kujibu.
Unajipa umuhimu ambao huna.
Umuhimu wangu ni mkubwa sana kwa Taifa hili. Maana mimi ni mzalendo wa kweli na Dhati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…