GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe mshamba Nini, umechanganyikiwa wewe mwenyewe. Unaendaje kwenye Uchaguzi nchi imepasuka vipande vipande. Lissu yupo jela mnamfanyia humiliation
Nchi ni moja na watanzania ni wamoja kabisa. Hakuna mpasuko wa aina yoyote ile labda wewe ndiye umepasuka akili yako na kubakia njia panda. Unaweza wahi hospitalini kuonana na daktari
 
Wanaoweza kujibu hoja za Gwajima ni watu wenye akili sio watu wenye vichwa vya kufugia nywele na chawa kama wewe, u gots no guts kaa kimya ficha uputu wa kichwa chako, kwa sababu ya ukubwa wa tumbo lako!!
 
Intention anayopewa Gwajima na taifa baada ya kutaka kuongea sipati picha ingekuwa unapewa ww kwenye kuandaa hayo majibu sijuh ingekuwaje?
 
Wanaoweza kujibu hoja za Gwajima ni watu wenye akili sio watu wenye vichwa tupu kama wewe, u gots no guts to do so!!
Acha kuweweseka hapa wewe. Mimi ni akili kubwa na mwenye uwezo mkubwa sana wa kujibu na kupangua hoja kwa hoja mpaka ubakie ukibubujikwa na machozi ya furaha
 
Unamjubu kama nani?
 
Wewe kasutane na mashoga wenzio huko, gwaji boya sio size yako
 
WanaJF tunasubiri kwa shauku majibu yako kwa chizi Gwajima. Utakachojibu ndo utakuwa msimamo wa JF kuhusu huyu tapeli Gwajima.
 
Gwajima hawezi kujibiwa na jinga na pumbavu kama wewe. Nyuma huna marinda unajibu Nini. Jibu k.....undu lako lililotanuka. Shetani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…