GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tunatiki
 
Mjinga wewe.
Hata kumuelewa tu hujamuewq utamjibu nn Kenge maji wewe
 
Kwa hiyo mama hawezi kujibu hadi asaidiwe na rostum na mwashamba?

Acheni kumdhalilisha mama yetu jamani sio poa, mama genius huyu hajaomba msaada wa chawa kumjibia...
Gwajima ni mtu mdogo sana kwa Mheshimiwa Rais ambaye hapaswi hata kupewa nafasi ya kujibiwa.
 
Nimekusamehe
Wewe ni mjinga usiyejielewa.
Mbona hujajibu kuhusu wale wauza madawa, wala rushwa na wahujumu UCHUMI wa nchi hii mliowajaza pale mlimani city ili WAKICHANGIE Chama chenu?
Mbona hujajibu kwamba chama cha wakulima na wafanyakazi kinachangiwa na mabwenyenye wakwepa kodi?
Mbona hujajibu kwamba tume ya taifa siyo huru na kwamba kuiita huru bila kuingiza kwenye katiba ni KUUHADAA UMMA?
TOA UJINGA WAKO WAPA
 
Acha ujinga pumbav kbs unamjibu wew kama nan? Usilete Uchawa penye hoja za msingi!! Watanzania adui namba moja kwasasa Tanzania ni hawa machawa!! Shenzy kbs acha tabia kama za huyu mama hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Wewe subiri majibu yangu.wewe kaa pembeni na akili yako ndogo hiyo.
 
Labda nikuulize kitu ulikuwa unamkubali Magufuli?
 
Hivi huwa mnajitoa au hamna kweli zile za kichwani ?
 
Utapona tu magonjwa yako Yoote yanayokusumbua.
Wewe mjaa laana ndiye mgonjwa usiyejitambua unamshobokea Samia wakati huyo Mzanzibari anawadharau Watanganyika hasa wagalatia kama wewe hivi anakuona kama kinyesi chake tu, pole sana kwa kukosa utambuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…