GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Waache wenzako wabubujikwe na machozi ya furaha kwa kuikosoa CCM, Gwajima, slow slow, Mpina! Wana CCM madhubuti, wenye Uzalendo na Nchi Yao,wapenda Haki, wanabubujikwa na machozi ya Huzuni,wakina mdau mwenzao TAL Yuko ndani kwa kesi ya kuchanganya!Okoka Lukas Mwashambwa na nduguye tlaahtlaah!
 
Au nendeni inbox mkabubujikwe.
 
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu
 
Tunajua unasubiria nondo kutoka kwa Steven Nyerere
 
Rubbish.
 
Wewe fala kweli, hivi kwanini ulizaliwa? Hivi wewe unajibu watu kama nani?
 
Sawa utaijibu ukishapokea Buku 7 yako
 
Nimeona title nikataka kujua nani kaandika nilipoona jina lako nabubujikwa na machozi
Upuuzi mtupu
 
Wewe huna akili huyu mama kawa kiongozi wa serikali kwa miaka kumi ; mitano kama makamu wa Rais Magufuli na mitano kama Rais!! Samia hana jipya la kuwafanyia wananchi anang’ang’ania cheo kwa uroho wa madaraka!
Je iwapo Magufuli angekuwa hai angechukua form na kushinda kwa historia ya ccm?
Kwa historia ya nchi hii hajawahi kutokea kiongozi wa ccm aliyewahi kuchukiwa na wananchi kama huyu Lilongwe Samia!
 
Huwa unachafua chama Kila unapotoa ujinga wako kwenye masuala nyeti yaliyohojiwa na wasomi.
Wewe unaelimu gani ya kumjibu Askofu msomi?
 
Gwajima ni mtu mdogo sana kwa Mheshimiwa Rais ambaye hapaswi hata kupewa nafasi ya kujibiwa.

Matope tu unacheza nayo we mtoto mchanga sana nchi hii, angekuwa mdogo angejibiwa kwa mipasho ya "magwajima" mengine yasiundwe na masisiemu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…