Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini shughuli ndio imeishia hapa kwa Yanga

Kuna watu wamejaa chuki, Jana walipata fursa ya kuonesha chuki zao hadharani.

Sasa ole wao Yanga irudi na kombe hapa watahama nchi wenyewe.
Mbona kawaidaa...kunya anye kuku akinya bata kaharisha...hivi mnajisahau nyie humu eee? Yani mmejitoa kabisa kwenye kamati ya roho mbaya ambayo Yanga ilikua nayo kwa muda mrf..kuanzia kupokea wageni kuvaa jezi zao pindi Simba ikicheza nao n.k...umesahau kabisa juzi tuu hapa mashabiki wakaenda kwny tamasha la kuicheka Simba wakiongozwa na Ally kamwe..mmesahau kabisa thread lukuki za kuikejeli Simba..sema tuu ndivyo tulivyo hakuna mwenye afadhali kati ya mashabiki wa Simba na Yanga...
 
Mkuu sema ngap atashinda yanga ILI dk90 zingine zikiisha tuje kukupa maya YAKO
 
Yaani mwarabu ananunua mpaka refa, yanga akipiga kamba ananyosha offside but wakipiga wao hata la offside anaita kati..... Mwarabu akiwa kwake anakufanya chochote....

Yatapigwa hata mabomu uwanjani, zitazimwa mpaka kamera. Watamnunua refa anaweza akatoa kadi km njugu Kwa yanga..

Mwarabu achana nae kabisa..... Halafu kombe lenyewe lipo mezani kabisa. Mwarabu atachukua kombe kwa mbinu yoyote nina uhakika asilimia 10000000000000000000000000000000
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usi wastuee wanaa.
 
Kwan waaarabu wana nn mpaka tusiweze kumfunga mbele ya mungu hakuna kinachoshindikana kwasababu kama ameweza kuwapa ushindi wao ktk ardhi yetu kwann ashindwe kutupa ushindi kwenye ardhi yao na itakapotokea yanga imeshinda na kuchukua kombe futeni kauli ya kwamba hili kombe ni la nchi
 
Mbinu zote chafu watakao taka kuzitumia either watoe rushwa au upendeleo wowote kwa uwezo wa allah hawatoweza kufanikisha kwa vyovyote vile
 
HAKUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU AKAAMINI YANGA INAWEZA KUWAFUNGA WAARABU USM ALGERS KWAO, MBELE YA KOMBE NA MAJINI YAO.

SHUGHULI YA YANGA IMEISHIA HAPO.
FULL STOP.

MATAHIRA NDIO WANADHANI YANGA ATASHINDA ALGERIA.

NAONA ZILE 4 ZA MWISHO KUJIRUDIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…