Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kuanzisha uzi, uwe unaanza na kusalimia baba na mama zako humu jfSwali gan baba swalehe
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habbar kinavyosomeka hapo juu
Dah inauma sana lakin ndo hivo kwaherin ndugu zangu, week ijayo yaan jumanne inatakiwa niwe nishafika shule maana shule tumefungua
Na shule ninakosoma ni bording hivyo huwa haturusiwi kuwa na simu pia hata home huwa hawaniruhusu kwenda na cm shule hivyo huwa naiacha home
Nitawakumbuka sana ndugu zangu masela zangu, bro zangu na sister zangu
Tutaonana tena mwez wa tatu maana huwa likizo fupi
Tuliogombana naomba mnisamehe sana nami nishawasamehe
Baba wa mbingun awabaliki sana panapomaajaliwa mwez wa tatu tutakuwa wote
Naomba mniombee sana nipige kitabu wakuu
Nitawakumbuka sana
View attachment 670369
By by
LONDON BOY
Singo yako mbona haijatoka bado??Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habbar kinavyosomeka hapo juu
Dah inauma sana lakin ndo hivo kwaherin ndugu zangu, week ijayo yaan jumanne inatakiwa niwe nishafika shule maana shule tumefungua
Na shule ninakosoma ni bording hivyo huwa haturusiwi kuwa na simu pia hata home huwa hawaniruhusu kwenda na cm shule hivyo huwa naiacha home
Nitawakumbuka sana ndugu zangu masela zangu, bro zangu na sister zangu
Tutaonana tena mwez wa tatu maana huwa likizo fupi
Tuliogombana naomba mnisamehe sana nami nishawasamehe
Baba wa mbingun awabaliki sana panapomaajaliwa mwez wa tatu tutakuwa wote
Naomba mniombee sana nipige kitabu wakuu
Nitawakumbuka sana
View attachment 670369
By by
LONDON BOY
GuDume nae aende shule sasa.Bora muende,
Kijana, nenda shule nawe! Mambo ya kuongeza siku kadhaa kuna lateness fees siku hizi.Usipofunzwa na wazazi utafunzwa na ulimwengu.