dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
kufanya nini ?Kwa hio na wewe unataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kufanya nini ?Kwa hio na wewe unataka
Ndio kipirando nini ?
Kukatikiwakufanya nini ?
Kumbe ndo msamiati mpya,duhKipira
nikiwa kwenye kiti ?Kukatikiwa
Tigo inatoa huduma kwa zuchuHuko Daslamu kumetokea nini tena?
Anakuzungushia kipira chakenikiwa kwenye kiti ?
mpaka unapizi ndani ya boksa au ?Anakuzungushia kipira chake
Duuuuh hii noma sana,mpaka unapizi ndani ya boksa au ?
Huyu dogo anaongea matusi hadi aibu 😆Huyu alitakiwa afungiwe maisha maana hili sio Onyo lake la kwanza kipindi kile katukana Hadharani BASATA wakamsamehe..
BASATA wanalea Majipu yakiwa vidonda ndo wanalalamika..
hakupaswa kusamehewa kwa kosa hili
View attachment 2925138
Ndio lugha yake unajua kuna watu wakikaa sehemu 99% ya maneno wanayoongea ni matusi matupu hio ni sampleHuyu dogo anaongea matusi hadi aibu 😆
Umeongea nini?Kusema ukweli Msanii wa Bongo Fleva ambaye leo Tar 5 Machi 2024 amefungiwa kujiahughulisha na kazi za Sanaa ktk Nchi ya Zanzibar na viunga vyake amekoswea sana.
Ndani ya Kisiwa cha Zanzibar Rais Mwinyi na Viongozi wenzake wanafanya kazi nzuri kuhakikisha anawaletea maendeleo wananchi na kupambana na hatari ya tabia mbaya za kudhalilisha watu kijinsia ikiwemo ulawiti, ubakaj, uzinzi na liwaati.
Sasa inapoonekana Msanii ambaye ameaminiwa na jamii kuonekana kuwa kinara kwenda kinyume na Jitihada za Taifa hasa kwenye Swala la maadili basi hatua kali zinapaswa kuchukuliwa.
Baraza la Sanaa la Zanzibar limechukua hatua madhubuti japo bado naona Adhabu ni ndogo.
Nitoe wito kwa Baraza la Sanaa Tanzania kuwa kinara na mfano bora kutoa usimamizi juu ya ustawi wa Mila na desturi zetu Watanzania.
Hala hala Basata tunasubiri hatua zenu ili na wasanii Wengine wajifunze.
Sanaa Zetu zijikite kuleta burudani, kuhamasisha vijana kufanya kazi kwa bidii, kuheshimu viongozi ktk familia, Jamii na Taifa kwa ujumla.
Sanaa inayohamaisha watu kujikwamua na kujikomboa kifikra na kupambania haki za binadamu wengine.
Sanaa ijiepushe kuhamasisha Ngono, Ulevi, uvivu, bata, matusi na ushoga.
Mkuu mbona na wewe umetukana bila aibu sasa?Duuh huyu mshenzi anatukana bila aibu.
Shenzi kabisa hako kazuchu.
Acha Majungu Mkuu!Kusema ukweli Msanii wa Bongo Fleva ambaye leo Tar 5 Machi 2024 amefungiwa kujiahughulisha na kazi za Sanaa ktk Nchi ya Zanzibar na viunga vyake amekoswea sana.
Ndani ya Kisiwa cha Zanzibar Rais Mwinyi na Viongozi wenzake wanafanya kazi nzuri kuhakikisha anawaletea maendeleo wananchi na kupambana na hatari ya tabia mbaya za kudhalilisha watu kijinsia ikiwemo ulawiti, ubakaj, uzinzi na liwaati.
Sasa inapoonekana Msanii ambaye ameaminiwa na jamii kuonekana kuwa kinara kwenda kinyume na Jitihada za Taifa hasa kwenye Swala la maadili basi hatua kali zinapaswa kuchukuliwa.
Baraza la Sanaa la Zanzibar limechukua hatua madhubuti japo bado naona Adhabu ni ndogo.
Nitoe wito kwa Baraza la Sanaa Tanzania kuwa kinara na mfano bora kutoa usimamizi juu ya ustawi wa Mila na desturi zetu Watanzania.
Hala hala Basata tunasubiri hatua zenu ili na wasanii Wengine wajifunze.
Sanaa Zetu zijikite kuleta burudani, kuhamasisha vijana kufanya kazi kwa bidii, kuheshimu viongozi ktk familia, Jamii na Taifa kwa ujumla.
Sanaa inayohamaisha watu kujikwamua na kujikomboa kifikra na kupambania haki za binadamu wengine.
Sanaa ijiepushe kuhamasisha Ngono, Ulevi, uvivu, bata, matusi na ushoga.
SidhaniTunaamini BASATA watatimiza wajibu Wao.
Kuna kila sababu ya (kucontro) kile watoto wanaona na kusikia kwenye tvNina ndugu yangu mmoja ananyumba ya kisasa ina kila kitu ila hajanunua TV sasa ndo namuelewa
Tatizo ya hawa watoto wanatumia Madawa ya kulevya Yanawafanya waone watu wote sawa na kila neno wanaloongea hawana kosa..Huyu dogo anaongea matusi hadi aibu 😆