Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Vumilia tu. Kama anafanya kazi zake shukuru. Mtu umemkuta mkubwa unataka kumbadili tabia, unatafuta kuitwa mbaya tu.
😃😃juzi hapa wamekupa nani??Mm nmeanza mwaka jana mwez wa 9 ila had leo sijafka 3200🤣sina bahat kbs na free chance deals ila mwez ujao nitafka naona
SahihiKwa upande wangu nina miaka karibu 10 nacheza hili game na naona limenisaidia kwenye mambo mengi tu ikiwa kuponya Afya ya akili na mengine
😃Kazi ipoApo longreach tackle, aerial fort, man marking, trackback, awareness 102, engagement 99, speed 98, acceleration 93, pia awe na weighted pass
Alete tuu username😃😃tukaone kikosi cha million
Anagusa mwamba na kawekeza nguvu kwelNampata uyu Song director, tiktok namjua na div nilishawah kukutana nae
Hao matapel muuzaji pekee ni Mr BalleSio vikos vyangu hvo, ni kutoka kwa wauzaj nmewaonesha
Utakutana na Username ya mtu ambaye ameanza kucheza efootball 😃MAISHA_YA_KWEL
Linahitaji uwekezaji wa muda na pia kama una uwezo unafika mbaliKumbe linafaida yake siyo starehe tu na kupoteza muda. Mimi lilinishida nikaliondoa kwenye simu.
Mimi uwezo mdogo, nafungwa tuLinahitaji uwekezaji wa muda na pia kama una uwezo unafika mbali
Watu saiv hawatumii nguvu sana kupata hela
Unajifua tuu😃 ukipata strong opponent unacopy uchezaji wake...Mimi uwezo mdogo, nafungwa tu
BaaasiMAISHA_YA_KWEL
Nitajaribu tena nione maana unafungwa magoli hata 10. Wachezaji hawana nguvu ..jamaa wanakupokonya na wachezaji wake wanaspeed balaa.Unajifua tuu😃 ukipata strong opponent unacopy uchezaji wake...
Watapita kama wanaaga mwili🤣🤣🤣
Wamefika na kuomba UsernameWatapita kama wanaaga mwili🤣🤣🤣
Mkuu unataka ushauri gani .Watapita kama wanaaga mwili🤣🤣🤣
Mkuu kwakua anafanya kazi zinazomuhusu basi hupaswi kulalamika zaidi ya kushukuru kwa huo muda anaokua huru kuutumia kwenye game na siyo kujihusisha kwenye makundi yasiyofaa.Ninaishi na Kijana wa ndugu yangu, alikuja kwangu miezi 5 iliyopita, ana umri wa miaka 17 kwa sasa ila amekuwa mraibu wa kucheza gemu la mpira linaitwa eFootball mpaka anakesha usiku mzima analala saa 10 alfajiri hivyo analazimika kuamka saa 7 mchana.
Nimeshaongea mno mpaka nimekata tamaa, kila nikimshauri ananijibu anaacha, ila anaendelea, hali hiyo imekuwa kero kubwa mno kwani hata akiamka huo mchana, atafanya kazi za nyumbani akona zimemalizika zile zinazomuhusu basi ataingia kwenye gemu hapo ukimuita au kusema chochote jibu lakke subiri kidogo nimalizie mechi nitafungwa.
Anakera sana kwani kawa kama mgonjwa wa akili muda wote yupo anacheza gemu, simu ikiisha chaji anaweka chaji anaendela kucheza gemu, sielewi nitumie mbinu gani tena nimuachishe kucheza gemu hili kwani tabia hii hakua nayo hapo awali kabla hajafundishwa kucheza gemu hili.
Alikuja kwa lengo la kuja kuanza VETA ila kuna vitu vikawa bado havijakaa sawa tukampa muda kidogo tujipange sasa muda huu ambao yupo nyumbani ni gemu masaa yote mpaka anatia hasira.
Nifanye nini kumnusuru na janga hili?
Nimelia sana yani badala ya kusherehekea yeye analalamika 😂😂😂
Mambo kwa ushahidi, fala sana 😂🙌Nilivyoanza kucheza nilikuwa nacheza kwa siku hata masaa 10 na zaid napumzika tuu simu ikiwa chaji... Ila baada ya kulizoea naweza pitisha siku kama nimebanana sijacheza...
Kwahiyo ni starehe kama tu kuangalia movie au Series...
Pia kama ana uwezo anaweza komaa akaenda kushiriki kimataifa nina Jamaa yangu mmoja kawekeza nguvu zote huku amechaguliwa kwenda kimataifa kushindanaView attachment 3638363
Unakumbuka ile siku natafuta code saa nane usiku😃😃Mambo kwa ushahidi, fala sana 😂🙌