Nitumie mbinu gani kumuachisha kucheza e Football kijana huyu, linamlaza saa 10 alfajiri

Nitumie mbinu gani kumuachisha kucheza e Football kijana huyu, linamlaza saa 10 alfajiri

Mkuu kwakua anafanya kazi zinazomuhusu basi hupaswi kulalamika zaidi ya kushukuru kwa huo muda anaokua huru kuutumia kwenye game na siyo kujihusisha kwenye makundi yasiyofaa.

Jambo la kufanya ni kumtengenezea mazingira ambayo hayatamfanya awe mraibu bila kumharibu.

Khalas 🙌

Selikavu Warld Edo kissy
Kupoka furaha ya mtu ni kutengeneza janga mbeleni
 
Mkuu jipongeze una kidume, angekuwa anasikiliza udaku na taarabu nahisi ungelia. Kwa ushauri wangu muite kaa nae mfundishe mgawanyo wa muda , kuacha hawezi ila anaweza tenga muda wa kucheza mfano wakati wa usiku kataza matumizi ya simu mpaka muda wa kwenda kulala. Pili mpe kazi zinazohitaji kuamka mapema asubuh ili yeye mwenyewe aone kujinyima usingizi anajitesa
Ko kucheza Efootball na Games za mipira ni uanaume? Mbona wako wanaofanya hayo na sio vidume kadri ya mawazo yako.
Lol.
 
Back
Top Bottom