Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Mkuu inapatikana wapi hii mitishambaNg'ocha ngoko
Kumbwa mbezo nk
Mitishamba hiyo huhusisha kuimarisha misuli ya uume iliyolegea na kuifanya imara,huondoa chango la kiume ambalo ndilo chanzo hasa cha maumbile kusinyaa! Hurekebisha homoni ya kiume na hivyo huongeza maradufu na ni tiba ya nguvu za kiume kama ikiandaliwa katika mazingira sahihi na kutumiwa kwa weledi
Mbono ni huo mtiView attachment 2045233
Mbono ni huo mtiView attachment 2045233
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Je, shubiri hurudisha nguvu za kiume?
Unaruka hiiPlus pressure.
Mleta mada jibu
ng'ocha ngokoNg'ocha ngoko
Kumbwa mbezo nk
Mitishamba hiyo huhusisha kuimarisha misuli ya uume iliyolegea na kuifanya imara,huondoa chango la kiume ambalo ndilo chanzo hasa cha maumbile kusinyaa! Hurekebisha homoni ya kiume na hivyo huongeza maradufu na ni tiba ya nguvu za kiume kama ikiandaliwa katika mazingira sahihi na kutumiwa kwa weledi
ng'ocha ngoko
nakogo pandekela hale nkoy, nilagelage bhageshi
Dawa ya gesi nyingi sana tumboni. Msaada kiongozi
Mkuu njoo inbox mkuu tule hyo BikoKuna mtu ana 1Mil akipewa dawa apone tatizo la nguvu za kiume tu! Adindishi tunafanyaje tule hela?
UTI sugu(maambukizi sugu kwenye njia ya mkojo) wakati mwingine huweza kiathiri kibofu na hata mpaka kwenye figo,na inapofikia hatua hiyo inakuwa hatari zaidi na uponaji wake unakuwa mgumu sana unaweza kumeza Antibiotic za kila namna bila mafanikio.Kuna Mitishamba ambayo kama imevunwa na kuandaliwa kwa weledi huweza kufuta kabisa bakteria wote kwenye njia za mkojo na kuweka kinga imara ndani ya wiki mbili mpaka mwezi.Naomba dawa ya uti sugu kwa mwanaume iliyoshindikana kutibika hospital yenye muda wa miaka 4
Ndiyo ni kisukuma! Kwa mjibu wa muuliza swali alitaka hata kwa lugha yoyote.Hio dawa umeitaja kilugha au mbona kama sijaelewa
Inapatikana MkuuMkuu dawa ya asili ya magoti. Daktari ameniambia ute umekwisha mifupa inagusana
Zipo dawa za mitishamba,lakini majina yake huendana na eneo husika,sijajua wewe upo mkoa gani nikuelekeze kulingana na lugha ya eneo husika uweze kujitibu.naomba kufahamaishwa tiba ya vidonda vya tumbo hasa asidi na gesi tumboni
Kwa maelekezo zaidi unaweza kunitafuta binafsi.Naomba dawa ya uti sugu kwa mwanaume iliyoshindikana kutibika hospital yenye muda wa miaka 4
Kama utaweza nitafute faraghanaomba kufahamaishwa tiba ya vidonda vya tumbo hasa asidi na gesi tumboni