Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masaa 24 kazi inakuwa imekamilika kwa meno ya kuvaa na kudumu kwa material ya Acyrilic. Ila kwa ceramics na zinconia inachukua siku 5- 10 mpaka kukamilika . Karibu PM uweke appointmentKuziba pengo mkuu inachukua siku ngapi, kuanzia maandalizi mpaka kuwa tayari kwenye mdomo?
Nataka nije nitengeneze na kuziba baadhi
Na sijui vina maana gani.Mademu wanaovaaga ivo vichuma wanajiona wametusua.
Nashukuru sana bossMasaa 24 kazi inakuwa imekamilika kwa meno ya kuvaa na kudumu kwa material ya Acyrilic. Ila kwa ceramics na zinconia inachukua siku 5- 10 mpaka kukamilika . Karibu PM uweke appointment
Inaweza ikapangilia na huu umri wangu au kwa watoto wanaokua?Ni vifaa maalumu ( braces) kwa ajiri ya kurekebisha mpangilio wa meno yaweze kukaa katika mpangilio Sahihi kama ulivyoona kwenye picha hapo
Hukaa navyo kwa muda gani? Pia vipo vya aina ngapi?Ni vifaa maalumu ( braces) kwa ajiri ya kurekebisha mpangilio wa meno yaweze kukaa katika mpangilio Sahihi kama ulivyoona kwenye picha hapo
Nikija ntawatafutaKaribu ,Nitafurahi nikikuhudumia mkuu
Sawa SawaNdyo mkuu kupanga Meno hakuna Umri vigezo vyake
.Uwe na Meno Imara na afya njema karibu
Ndyo boss inawezekana Kabisa Na Utapendeza zaidiHuduma ya kulinganisha meno ni salama?? Meno hasa ya mbele yanamegeka/ yanapuputika.... Yanakuwa hayalingani tena...
For cosmetics purposes... 😂