Niulize chochote kuhusu afya ya kinywa na meno, nitakujibu

Niulize chochote kuhusu afya ya kinywa na meno, nitakujibu

Kuziba pengo mkuu inachukua siku ngapi, kuanzia maandalizi mpaka kuwa tayari kwenye mdomo?
Nataka nije nitengeneze na kuziba baadhi
Masaa 24 kazi inakuwa imekamilika kwa meno ya kuvaa na kudumu kwa material ya Acyrilic. Ila kwa ceramics na zinconia inachukua siku 5- 10 mpaka kukamilika . Karibu PM uweke appointment
 
Masaa 24 kazi inakuwa imekamilika kwa meno ya kuvaa na kudumu kwa material ya Acyrilic. Ila kwa ceramics na zinconia inachukua siku 5- 10 mpaka kukamilika . Karibu PM uweke appointment
Nashukuru sana boss
 
Huduma ya kulinganisha meno ni salama?? Meno hasa ya mbele yanamegeka/ yanapuputika.... Yanakuwa hayalingani tena...

For cosmetics purposes... 😂
 
Asante sana mkuu, nadhani mm naweza kuwa nimesababishiwa na moja wapo ya ulivyo orodhesha. Tuje kwenye njia za utatuzi kama unaweza kuziorodhesha sambamba na faida na hasara zake ili nifanye maamuzi kabla sijafika magomeni
 
Huduma ya kulinganisha meno ni salama?? Meno hasa ya mbele yanamegeka/ yanapuputika.... Yanakuwa hayalingani tena...

For cosmetics purposes... 😂
Ndyo boss inawezekana Kabisa Na Utapendeza zaidi
Ipo Huduma Ya Kuweka Kofia Ya Jino ( Crowning) hapa
-Utaweza Kutafuna Chakula
-utatabasamu
Pia Kuna Crown za Acyrilic na Ceramics ( Chuma ) kwa Bei na Maelekezo zaidi karibu PM

Nimeambatanisha picha hapa uone Kabla ya matibabu na baada ya Matibabu kwa tatizo kama lako
Kuweka Appointment karibu PM au WhatsApp 0658 950 085
20241005_083430.jpg
20241005_083434.jpg
 
Back
Top Bottom