Samvurah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 532
- 515
Mimi ni mhitimu wa kozi hii, nilisomea Chuo kikuu cha Rwanda (UNIVERSITY OF RWANDA) Kwa miaka 4 Na mwaka mmoja wa Internship. Nilihitimu mwaka 2020 .Baada ya kumaliza niliomba kufanya Internship hospitali ya Mnazi mmoja -Zanzibar kupitia wizara ya Afya na MCT nikamaliza mwaka Jana 2021.
Kwasasa ninafanya kazi hospitali ya private iliyoko hapa TANGA, Niko kitengo cha upasuaji tukiwa madaktari wa 3. Kwa level yangu ninafanya procedure zote anazoruhusiwa kufanya AMO na MD
Niliambiwa hapa Tanzania Kuna wahitimu wengine lakini sijajua wako wapi na ninaweza kuwapataje.
NOTE:
1. Sitambuliki kama MD Wala kama AMO bali natambulika kama MEDICAL LANCIENT(ML) au ALLIED HEALTH PRACTIONER.
2. Toufati na AMO Mimi ninaruhusiwa kuanza na prifix "Dr" kama alivyo MD
3. Siruhusiwi kusoma Kwa level ya masters kozi za Masters of medicine (MMED) kama ilivyo kwa MD ,lakini ninaruhusiwa kusoma kozi zote za MSC.
4. MCT waliniambia kuwa pamoja na kuwa Nina utofauti wa AMO lakini kitumishi bado natambulika kama AMO na ngazi ya mshahara ni TGHS D.
5. Usajili nilioupata nisawa na ule wa AMO.
6. Wakati wa kujaza form za wagonjwa wa NHIF ,Nina prescribe kuanzia A mpaka C.
Kama Kuna swali kutoka lolote Kwa anayetaka kufahamu kuhusu kozi hii nakaribisha.