Niulize chochote kuhusu Bachelor of Clinical Medicine and Surgery (BCMS)

Samvurah

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
532
Reaction score
515
Mimi ni mhitimu wa kozi hii, nilisomea Chuo kikuu cha Rwanda (UNIVERSITY OF RWANDA) Kwa miaka 4 Na mwaka mmoja wa Internship. Nilihitimu mwaka 2020 .Baada ya kumaliza niliomba kufanya Internship hospitali ya Mnazi mmoja -Zanzibar kupitia wizara ya Afya na MCT nikamaliza mwaka Jana 2021.

Kwasasa ninafanya kazi hospitali ya private iliyoko hapa TANGA, Niko kitengo cha upasuaji tukiwa madaktari wa 3. Kwa level yangu ninafanya procedure zote anazoruhusiwa kufanya AMO na MD

Niliambiwa hapa Tanzania Kuna wahitimu wengine lakini sijajua wako wapi na ninaweza kuwapataje.

NOTE:
1. Sitambuliki kama MD Wala kama AMO bali natambulika kama MEDICAL LANCIENT(ML) au ALLIED HEALTH PRACTIONER.
2. Toufati na AMO Mimi ninaruhusiwa kuanza na prifix "Dr" kama alivyo MD
3. Siruhusiwi kusoma Kwa level ya masters kozi za Masters of medicine (MMED) kama ilivyo kwa MD ,lakini ninaruhusiwa kusoma kozi zote za MSC.
4. MCT waliniambia kuwa pamoja na kuwa Nina utofauti wa AMO lakini kitumishi bado natambulika kama AMO na ngazi ya mshahara ni TGHS D.

5. Usajili nilioupata nisawa na ule wa AMO.

6. Wakati wa kujaza form za wagonjwa wa NHIF ,Nina prescribe kuanzia A mpaka C.

Kama Kuna swali kutoka lolote Kwa anayetaka kufahamu kuhusu kozi hii nakaribisha.
 
Karibu sana.Tuko wengi mbona,wewe umemaliza mwaka Jana ,wapo waliomaliza tangu mwaka 2011.

PM namba yako nikuunganishe na group letu la WHATSAAP
Aiseee!

Nime ku-PM mamba yangu

Ahsante sana chief
 
Mkuu mimi ni C.O hivi inagharimu kiasi gani kwa mwaka kusoma hiyo kozi na vigezo wanataka GPA ya ngapi?
feyzal habari yako Tabibu.
Gharana za BCMS (Bachelor of clinical medicine and surgery ) hutegemeana na nchi na chuo.Hak3una fixed amount .
Mfano :Kenya Kuna vyuo 9 vinavyotoa kozi hii na Kati ya hivyo vyuo kuna vya binafsi na vya Umma.
KISII UNIVERSITY (Kenya) Ada Tsh 4M Kwa mwaka
MOUNT KENYA ADA mi TSH 3M Kwa mwaka
GREAT LAKES UNIVERSITY (private) Ada ni TSH 6M unalipa mara tatu maana Hawa wanasemeter tatu Kwa mwaka(TRIMESTER)
RWANDA UNIVERSITY ADA nilikuwa nalipa TSH 4M Kwa mwaka.
Zambia University Ada Tsh 2.5M Kwa Mwaka
KIU (Uganda) Ada ni Tsh 5M

VIGEZO:
Diploma of clinical medicine(Hakuna uhitaji wa GPA ) wao wanataka certified ,licenced and verified certificate.

ANGALIZO:Ukirudi Tanzania kama GPA yako ilikuwa chini ya 3.0 utatakiwa kusoma FOUNDATION COURSE ya OPEN UNIVERSITY ILI waweze kuverify cheti chako.MCT hawatakupokea bila TCU verification.
Kuna mambo matatu kama GPA yako iko chini 3.0 usome Kwanza FOUNDATION YA OUT ndipo uende kusoma BCMS au Uende kusoma BCMS kwenye hizo nchi lakini ujue kuwa una TCU la GPA.
Tatu kama unaweza usome vyote viwili kwa wakati mmoja.
 
Nchi zinazotoa Bachelor of clinical medicine kwasasa ni

1.Kenya
2.Uganda
3.Zambia
4.Malawi
5.Rwanda.

Hii kozi inatolewa Kwa namna tatu,Kuna vyuo vinatoa

Bachelor of clinical medicine and Surgery

1.Uzima University Private (Kenya)
2.Kisii University -Public (Kenya)

3.Kabarak University -Public (Kenya)

Bachelor of clinical medicine,surgery and community health

1.Great Lakes University of Kisumu (Private)-Kenya

2.Kabianga University -Private(Kenya)

Bachelor of clinical medicine and community health

1.Mount Kenya University -Private

2.Ergoton University

3.Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology(JKUAT)

4.Zambia University

5.Kampala International university-Uganda

6.Rwanda National University

7.University of Malawi
 
hii kozi nasikia ilitaka kuanzishwa Tanzania,nini kilitokea mpaka sasa haipo?
 
Nina swali nje ya mada kwa yeyote atakayepitia comment hii,ni chuo gani kwa East africa kinachotambulika na TCU na kinatoa degree za afya kwa njia ya masafa? nimekosa kigezo cha OUT kusoma bachelor of food, nutrition and dietetics kwani G.P.A yangu ni 3.4.
 
hii kozi nasikia ilitaka kuanzishwa Tanzania,nini kilitokea mpaka sasa haipo?
Yes ilikuwa ianzishwe na curriculum ilikuwa tayari UDOM ndo walikuwa tayari lakini MAT (Medical Association of Tanzania) walipinga Sana hili kuwa kutatokea ugomvi baina ya MD na BCMS haiwezekani degree mbili zikakaa pamoja .Wakarefer ugomvi uliopo Kati ya AMO na MD kwa siku za nyuma.
 
Mimi ni mhitimu wa kozi hii, nilisomea Chuo kikuu cha Rwanda (UNIVERSITY OF RWANDA) Kwa miaka 4 Na mwaka mmoja wa Internship. Nilihitimu mwaka 2020 .Baada ya kumaliza niliomba kufanya Internship hospitali ya Mnazi mmoja -Zanzibar kupitia wizara ya Afya na MCT nikamaliza mwaka Jana 2021.

Kwasasa ninafanya kazi hospitali ya private iliyoko hapa TANGA, Niko kitengo cha upasuaji tukiwa madaktari wa 3. Kwa level yangu ninafanya procedure zote anazoruhusiwa kufanya AMO na MD

Niliambiwa hapa Tanzania Kuna wahitimu wengine lakini sijajua wako wapi na ninaweza kuwapataje.

NOTE:
1. Sitambuliki kama MD Wala kama AMO bali natambulika kama MEDICAL LANCIENT(ML) au ALLIED HEALTH PRACTIONER.
2. Toufati na AMO Mimi ninaruhusiwa kuanza na prifix "Dr" kama alivyo MD
3. Siruhusiwi kusoma Kwa level ya masters kozi za Masters of medicine (MMED) kama ilivyo kwa MD ,lakini ninaruhusiwa kusoma kozi zote za MSC.
4. MCT waliniambia kuwa pamoja na kuwa Nina utofauti wa AMO lakini kitumishi bado natambulika kama AMO na ngazi ya mshahara ni TGHS D.

5. Usajili nilioupata nisawa na ule wa AMO.

6. Wakati wa kujaza form za wagonjwa wa NHIF ,Nina prescribe kuanzia A mpaka C.

Kama Kuna swali kutoka lolote Kwa anayetaka kufahamu kuhusu kozi hii nakaribisha.
Kuna tofauti kati ya bachelor of medicine and Chirurgie and Bachelor or clinical medicine and surgery?
 
Bachelor of medicine and chirurgie(Surgery) (MBchB) ni equivalent to MD Kwa nchi za Kenya ,Uganda e.t.c wao hawana haiti MD lakini pia Chururgie means Surgery ni kozi ya miaka 5 Kwa baadhi ya nchi na miaka 6 Kwa KENYA na South Sudan

Bachelor of clinical medicine and surgery ilikuwa Kwa ajili ya Clinical officer (Diploma in clinical medicine) Ingawa hata fresh from school wanaruhusiwa inachukuwa miaka 4 to 3 hutegemeana na chuo .

Baada ya maelezo hayo ,yes Kuna utoafuti ingwa content zinafanana .
 
Mkuu shukrani naomba niulize maswali ya nyongeza kama unafahamu.
1.Nimeona Zambia ada 2.5M kwa mwaka je hiyo ada ina jumlisha na hostel na chakula? Na kama hakuna hostel wala chakula itanikosti shi ngapi kwa wastani kwa mwaka(kama hutajua kwa Zambia tupe makadirio nchu uluyosomea wewe mkuu)
2.Nimeona kozi moja lakini zimetofautiana content sasa ili uwe competent unashauri usomo nchi ipi na chuo kipi?
 
Yes ilikuwa ianzishwe na curriculum ilikuwa tayari UDOM ndo walikuwa tayari lakini MAT (Medical Association of Tanzania) walipinga Sana hili kuwa kutatokea ugomvi baina ya MD na BCMS haiwezekani degree mbili zikakaa pamoja .Wakarefer ugomvi uliopo Kati ya AMO na MD kwa siku za nyuma.
Md huwa wanaroho mbaya na uchu wa madaraka...hii kozi ni nzuri sana kwa maCO.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bachelor of medicine and chirurgie(Surgery) (MBchB) ni equivalent to MD Kwa nchi za Kenya ,Uganda e.t.c wao hawana haiti MD lakini pia Chururgie means Surgery ni kozi ya miaka 5 Kwa baadhi ya nchi na miaka 6 Kwa KENYA na South Sudan

Bachelor of clinical medicine and surgery ilikuwa Kwa ajili ya Clinical officer (Diploma in clinical medicine) Ingawa hata fresh from school wanaruhusiwa inachukuwa miaka 4 to 3 hutegemeana na chuo .

Baada ya maelezo hayo ,yes Kuna utoafuti ingwa content zinafanana .
Hizo tofauti ni zipi?nadhani ndio msingi wa swali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu shukrani naomba niulize maswali ya nyongeza kama unafahamu.
1.Nimeona Zambia ada 2.5M kwa mwaka je hiyo ada ina jumlisha na hostel na chakula? Na kama hakuna hostel wala chakula itanikosti shi ngapi kwa wastani kwa mwaka(kama hutajua kwa Zambia tupe makadirio nchu uluyosomea wewe mkuu)
2.Nimeona kozi moja lakini zimetofautiana content sasa ili uwe competent unashauri usomo nchi ipi na chuo kipi?
Zambia siwezi kujua zaidi ninaulewa zaidi Kenya na Rwanda.

Kwa upande wangu,nilikuwa nalipa Tsh 3M ,chakula na malazi mengine Kwa mwaka nilikuwa natumia Tsh 2M

Mshahara Wangu wa CO ulikuwa unatosha kabisa kufanya tote miaka 4 .
 
Back
Top Bottom