Niulize chochote kuhusu magonjwa ya kulogwa

Upo serious au unatania?
 
Kuna Demu mmoja tulifikia makubaliano ya kila mtu afate mambo yake ila yeye makubaliano akawa kama hajaridhika nayo akaanza kutafuta jina la Mama yangu alivyokosa akaja kuniuliza mwenyewe kuwa mama yangu anaitwa nani

Sikutaja nikafatilia nikapata tetesi kuwa hata wazee wa kazi wanapenda kutumia majina ya mama kuloga je ni kweli?
 
Ni kweli mkuu.

Siku ingine kuwa makini na wanawake wa dizaini hiyo.

Elfu tano inatosha kukusambaratisha akikutana na babu mwenye akili mbovu
 
Tumia kichwa chako kuchanganua mambos. Jina ndiyo nini. Hakuna mtu alizaliwa na Jina, na hakuna mtu alichagua Jina lake. Majina yapo mengi na watu wengi wanaitwa Jina Moja. Hakuna uchawi Wala kulogwa. Kwanini viongozi na watu wengi wanakimbilia kutibiwa nje ya nchi au kwenye hospitali kubwa na kwanini wasiende huko kwenye uchawi na kulogwa wakatibiwe. Watu weusi Wana uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. Wanapelekwa pelekwa tu, angalia kwenye dini pia.
 
Hizo dini zenyewe unazotaja zinatambua uchawi upo, kama huamini uchawi upo unatakiwa usiamini na dini pia
 
Wewe hii dunia huijui
 
Miaka yangu ya utotoni niliwahi kumshuhudia dada mmoja changu la kitaa likitombeka kinoma, wakubwa walisema yule dada alirogwa na wenzake kwa sababu alikuwa mzuri mno na ni kweli kwani hata wanamuziki wa enzi hizo miaka ya 80 walimtungia nyimbo na zilivuma sana redioni. Yule dada alikuwa añagawa balaa mpaka akawa añagawa kwa wavuta bangi na kupoteza mvuto wake kabisa. Je ni kwelii mtu anaweza kurogwa na kuwa changudoa au msenge?
 
Uganga na uganguzi. (UCHAWI)

Je kuna watu wanazaliwa na uwezo mkubwa wa kiroho ama kinga ya kiroho ?.

Sijasomea wala sio shabiki wa uchawi ila najua upo na umetawala sehemu kubwa ya Dunia. Ila imani yangu ni kubwa sana upande wa nuru ijapokuwa sio mtu wa kuswali/ibada.
 
kumbe wavuta bangi na ngada wamelogwa!!
 
Vip kuhusu mambo ya mapenzi, yaan limbwata. Mwanamke anakuloga mpaka hujielewi, unajikuta unatoa tu hela, unampenda lakin ukikaa ukiwaza hata wewe mwenyewe huelewi unashindwa nini kumuacha huyo mwanamke. Dawa ya hii kitu ni niji
Kuvitupa vitu vyote alivyo kupatia
 
Juzi juzi hapa nilisafiri kikazi Manyara na demu wangu (tuko Ofisi moja). Baada ya kuspend siku kadhaa kule muda wa kurejea tulipotoka uliwadia.

Nikawa namwomba demu anirudishie vitambaa nilivyokuwa navitumia kusafishia dushe langu kila wakati wa tendo, na yeye alikuwa anavichukua ili avifanyie usafi. Sasa kila nikimwomba anapiga chenga, ukimkumbusha hajibu chochote zaidi ya kuleta story mpya.

Kwakuwa nilishasikia sikia juu ya haya mambo ya wadada, kutumia vitambaa ulilosafishia dushe kukuteka. Nilijiuliza, anaving'ang'ania hivi vitambaa vyangu vya kazi gani? Anataka kuvifanyia nini? Akili yangu ikapiga alarm kwamba hapa nataka kupigwa tukio. Ikabidi nimkazie, bado hataki kutaja ameviweka wapi.

Nikajiongeza "inawezekana viko kwenye mkoba wake". Nikaufata mkoba ulipo ili nivitoe, akanifata akinizuia, yaani ukawa ugomvi. Nilifanikiwa kuvichukua kwa mabavu.

Je, ni kweli kwamba vitambaa vyenye mbegu zako, hata kama kitafuliwa, kinaweza kutumia kukudhuru kichawi ikiwemo kukuua kabisa? Au nilifanya ukorofi usio na maana?
 
No, taasisi ipo chini ya wizara ya Afya na wanatoa leseni kwa waganga wote ambayo inalipiwa tsh 10,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…