Niulize chochote kuhusu magonjwa ya kulogwa

Ndio inawezekana

Mfano mtu anakutandika ufukuzwe kazi popote utakapokwenda usipqte kazi upewe matumaini tu kazi yako iwe ni kujiuza
 
Ndio inawezekana

Kuna watu wanamizimu mikali huwezi wafanyia chochote labda utumie ujuzi mkubwa
 
Dawa ya kulogea inapatikana wapi
 
Je, inawezekana mtu kuwa mchawi (anawanga kama kawaida, usiku anabadilika kuwa paka) alafu hajijui? Yaani, Kwa mfano, mtu huyo akikamatwa anasema kwamba "yeye hajijui kama anawanga au amegeuka kuwa paka". Je, hilo linawezekana kufanya mambo ya kiuchawi pasipo muhusika kujijua kama yeye ni mchawi?
 
Ni kweli mkuu hicho ni kichanganyio muhimu kwenye kukutengeneza umpende kwa moyo wote fikra zako zote na mapenzi yako yote.
 
No, taasisi ipo chini ya wizara ya Afya na wanatoa leseni kwa waganga wote ambayo inalipiwa tsh 10,000/=
Kuna cheti nilikiona kipo kimeandikwa wizara ya maendeleo jinsia wazee na watoto nadhani baada ya kuigawa wizara hiyo taasisi imebaki huko ada sio elfu kumi ni elfu thelathini mpaka 50
 
Imani kali, mkuu fafanua? Je inahusisha ibada maalum ama mtu huweza kuzaliwa nayo ?
Uwe mlokole kweli kweli kiasi kwamba mtu akikutisha unamjibu kwa kujiamini aende akajaribu hataweza au uwe na zindiko vinginevyo utapigwa spana moja tu chali
 
Mkuu kusema ukweli ktk kozi zangu huku sijashuhudia kitu kama hicho ila type za namna hiyo ni wale wachawi ambao ni wanga nikiyajua hayo yote basi ntakuwa mchawi na siyataki

Mimi napiga bachelor ya uchawi wenye faida

Ahsante
 

Your browser is not able to display this video.
 
Binti yangu miaka 21 tangu mwaka jana akinywa pombe hata kidogo anakuwa hajitambui anavua nguo barabarani. Kabla ya hapo hakuwa hivyo na ulianza Hali yetu ya kimaisha ilipokuwa vizuri kiasi cha kuwa na nyumba mbili na gari na wajukuu vidume watatu kiasi Cha kumzua hasadi kwa shemeji zangu.
 
Hapo hamna uchawi

Atakuwa na psychosis iliyojificha huenda nibya kurithi kwa genetic factors kwa baba ama kwa mama

Akinywa pombe inakuwa alcohol induced psychosis pombe ni triger ya ukichaa kwa mtu mwenye elements hizo

Kumsaidia mtafutie dawa ya kuacha pombe

Mtu anayelogewa pombe ni wale mnawaita cha pombe yaani maisha yao muda wote wamelewa kulala kuamka ni pombe wanashinda vilabuni asubuhi jioni hadibusiku wanaacha kazi mke watoto wanakuwa wapo wapo tu

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…