Nyumba moja vyumba tofauti, likitokea jambo baya mfano nyoka alipita usiku na kaacha alama lazima akuambie, siku kama nne nyumba anatua ndege wa ajabu juu ya paa hasemi chochote(anakwarua hasa). Pia ndugu zake wanadai alimuua mme wake kishirikina.Unejuaje kama jirani yako ni mchawi?
Unaweza kueleza viashiria ulivyoviona kwa mfano au kuvihisi?
YESU SIO MZIMU MAANA YEYE ALIFUFUKA KUTOKA KATIKA WAFU AKIWA NA MWILI KAMILIKwani yesu sio mzimu?
Majini na mizimu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Hivi kuna majini wazuri?ndio wapi hao?Bado hujajua nini maana ya mizimu!
Mizimu ni mashetani wa kijini ambao wapo hai kabisa. Hakuna mizimu mizuri kwasababu inachochea ushirikina na inapenda kuabudiwa na kuombwa kama Mungu.
Mizimu ni majini waovu ama kwa jina lingine ni mashetani ya kijini.
Majini wazuri wanamuabudu na kumtii Mungu wala hawashawishi wanaadamu wamkufuru Mungu.
Mizimu ina nguvu kubwa kuliko majini ina uwezo wa kuishi hadi miaka elf sita.Neno Mizimu ya Ukoo.
Inatokana na ukweli kwamba majini huishi miaka mingi sana tofauti na binadamu. Jini anauwezo wa kuishi zaidi ya miaka 500..hivyo anakuwa ameshuhudia vizazi zaidi ya 7-10 vya binadamu. Kwahiyo kama alikuwa akiabudiwa na babu zako waliokutangulia anaendeleza desturi hiyo kwa uzawa huo kwa vizazi kadhaa .
Mwisho ni kuwa mizimu haina uwezo wa kumnufaisha wala kundhuru mwanadamu isipokuwa kwa idhini ya Mungu.
Mungu akitaka kukupa mtihani wewe mwanadamu anaweza kuruhusu udhurike kwa shari za hao majini na akitaka huwezi kudhurika kamwe.
Makabila mengi ufanya matambiko mbona hayana maendeleo.Mizimu ni roho za ndugu zako (babu na bibi), upande wa mama yako na baba yako.
Namaanisha baba yako ana baba yake baba yake na baba yako (babu) na yeye anababa yake chain inaendelea...........
Hivyo hivyo kwa mama yako, na yeye ana mama yake, mama yake na mama yako naye ana mama yake .... Circle inaendelea.........
Katika hao ndugu zako hapo juu kwa pande zote mbili (kwa baba na kwa mama) wapo waliokuwa matajiri wanamiliki mifugo nyumba na mashamba pia wapo masikini, wagonjwa, walevi, wasimbe n.k
Ikitokea umerithi mizimu ya kimasikini hautayaona mafanikio ikitokea umerithi mizimu ya kisimbe hautakaa udumu na mwanamke au mwanaume utqkufa single.
Matambiko ni njia ya kufukuza mizimu mibaya na kuiita mizimu mizuri
Wqchaga hufanya matambiko kila mwaka waulize watakupa somo
Ahsante
Mmh! Sasa Mtu umerithi mizimu ya kimasikini halafu eti unaifukuza Kwa kutambikia na kuita mizimu mizuri! Hiyo mizimu mizuri ya kitajiri itoke wapi wakati chain ya mizimu Yako ni ya kimasikini!?Mizimu ni roho za ndugu zako (babu na bibi), upande wa mama yako na baba yako.
Namaanisha baba yako ana baba yake baba yake na baba yako (babu) na yeye anababa yake chain inaendelea...........
Hivyo hivyo kwa mama yako, na yeye ana mama yake, mama yake na mama yako naye ana mama yake .... Circle inaendelea.........
Katika hao ndugu zako hapo juu kwa pande zote mbili (kwa baba na kwa mama) wapo waliokuwa matajiri wanamiliki mifugo nyumba na mashamba pia wapo masikini, wagonjwa, walevi, wasimbe n.k
Ikitokea umerithi mizimu ya kimasikini hautayaona mafanikio ikitokea umerithi mizimu ya kisimbe hautakaa udumu na mwanamke au mwanaume utqkufa single.
Matambiko ni njia ya kufukuza mizimu mibaya na kuiita mizimu mizuri
Wqchaga hufanya matambiko kila mwaka waulize watakupa somo
Ahsante
Hata huku story za watu kufufuka zipoYESU SIO MZIMU MAANA YEYE ALIFUFUKA KUTOKA KATIKA WAFU AKIWA NA MWILI KAMILI
Siilo mizimu yoteKwann mizimu haipendi mtu awe na maendeleo?
Nawewe kwanini unaamini jambo la kufikirika kama bikira maria,?Kwanini watu mazwazwa wanaamini jambo la kufikirika kama mizimu?
Nipe Habari kuhusu Mizimu ya kichawi maana mimi ninaye Mzimu wa kichawi ananisumbuwa sana nimfanyaje ili akae pembeni asinisumbuwe.Habari wakuu,
Nipo bariadi gamboshi masomoni nachukua digrii ya uchawi wenye faida.
Mizimu ni roho za watu waliokufa.
Kila mtu ana mizimu. Mizimu ya upande wa kwa baba na ya upande wa kwa mama (mababu na mabibi wote waliokufa)
Mizimu ipo mizuri na mizimu mibaya
Kuna aina zaidi ya >200 za mizimu.
Kama una swali lolote kuhusu mizimu kisayansi au kiroho niulize nitakujibu
Ahsante
Nawewe kwanini unaamini jambo la kufikirika kama bikira maria,?
Hata huku story za watu kufufuka zipo
Inategemea hilo tambiko linafanyika kwa lengo gani.Makabila mengi ufanya matambiko mbona hayana maendeleo.
Hiyo aya ni jibu la swali lako hapo juuWachaga wameiga desturi za wazungu za kurudi nyumbani kila mwaka kukutana kama familia na kufanya tathmini ya nini wamefanikiwa au la.
Wachaga wanatumia kanuni za kiuchumi za wayahudi hizi utumiwa na watu wote weupe duniani kuanzia waarabu, wachina, wahindi na ndio wakinga uzitumia hata wewe ukizitumia unafaulu.
Tambiko sio ushirikinaushirikina hauwezi kupa utajiri endelevu
Chain ya babu zako na bibi zako wapo waliokuwa na mafanikio na pia wapo waliokuwa masikini wa kutupwaMmh! Sasa Mtu umerithi mizimu ya kimasikini halafu eti unaifukuza Kwa kutambikia na kuita mizimu mizuri! Hiyo mizimu mizuri ya kitajiri itoke wapi wakati chain ya mizimu Yako ni ya kimasikini!?
Mizimu ya kichawi isikie tu kwa watu ni hatari sana yaana ni full package inavuruga kila kitu kuanzia nyota, kazi, ndoa mwili mpaka biashara na maradhi juuNipe Habari kuhusu Mizimu ya kichawi maana mimi ninaye Mzimu wa kichawi ananisumbuwa sana nimfanyaje ili akae pembeni asinisumbuwe.