Niulize chochote kuhusu Taifa la Burundi

Ugumu upi Mzee mabinti wanang'olewa haijarishi ni wapi kwani kule chini huko Burundi wanazo za dhahabu?
Warundi wengi wanawake asilimia kubwa ni walokole tofauti na Rwanda japo makabila yao yanafanana

Ni rahisi kumtongoxa mwanamke wa kinyarwanda kuliko wa Kirundi

Wa kirundi ukimtongoza jiandae kuhubiriwa injili kuwa uokoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…