Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

Mkuu naomba unisaidie
Ninawaza kuanzisha hardware yenye vitu vigutavyo tuu
1. Nondo
2. Cement
3. Bati
4. Mbao
5. Misumari
6. Wiremesh
7. Gypsum board na accessories zake.

Changamoto gan niitegemee hapa.

Mtaji kiasi gan kama nalenga kuuza jumla na rejaleja
 
Changamoto hapa ni bei elekezi..inaweza ikusumbue kama umechukua kwa bei kubwA

Gharama za usafirishaji
Gharama za upakiaji
Gharama za fremu kubwa

Tofauti na hapo utawin sana ukishakuwa na hivi vitu ..usisahau kuweka na kech wire, binding wire, gypsum powder kwa kuw una gboard,

Kama ni jumla na reja reja andaa kama 100m hivi..
 
Safi sana
 
Leta madini
 
Naomba kujua kuhusu biashara ya cement kuuza rejareja na kununua kwa ujumla, changamoto zipoje na faida kwa mfuko uko vipi au ni sh ngap?
 
Naomba kufahamu Tani 1 cement kiwandani ni bei gani na kiwanda kipi kinabei nafuu
pia kwa uzoefu wenu nikinunua cement moja kwa moja kiwandani let say Tani 30
bei ya kusafitisha kutoka kiwandani mfano Tanga au Dar to Mwanza naweza kulipia kiasi gani?
 
Naomba kujua kuhusu biashara ya cement kuuza rejareja na kununua kwa ujumla, changamoto zipoje na faida kwa mfuko uko vipi au ni sh ngap?
Bei inapangwa na board ..mara nyingi faida 1000 kama umechukulia kiwandani..

Changamoto ni gharama ya usafirishaji na ushushaji

Pia bei inaweza kushuka angali ulichukulia bei kubwa.
Ila unaweza kutunza ndani kusubria ipande

Utunzaji mbovu unaweza kyharibu cement..unyevu unywvu au maji yaswepo

Gari inaweza kukugharimu 8.5m na zaidi
 
Comment no. 94
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…