Niulize kuhusu mgogoro wa vita wowote duniani nitakujibu papo papo!

Niulize kuhusu mgogoro wa vita wowote duniani nitakujibu papo papo!

Vp kuhusu vita ya israel na palestina toka ianze wamekufa watu wangapi mpk ss na wanaume wangapi na wanawake n wangapi ndugu mtaalam
Hii inaitwa vita ya israel vs Hamas
Ukiandika israel vs palestina utakua unaongelea vita ya tangu mwaka 1948.
Kama unamaanisha vita ya israel Vs hamas mpaka sasa. wapalestina 39,000+ na waisrael 800+ na wanajeshi 700+ mpaka sasa!
 
Mgogoro wa Tanganyika na Kizimkazi
Mgogoro wa Tanzania (dodoma) Vs Zanzibar (kimkazi)
Ni mgogoro ulioanza tangu 1964 baada ya muungano kutokana na baadhi kutoridhika na muungano.
Mgogoro huu umepamba moto awamu ya sita kwa kile kinachodaiwa watu hawaridhishwi na kutokuwepo kwa usawa katika matumizi ya malighafi za tanzania.
Hata hivo mgogoro huu hauonekani kuisha leo au kesho.
Watu waliofariki-0
pande zigombanazo: Watanganyika Vs wazanzibar
 
Napenda kufuatilia sana migogoro na vita zinazoendelea duniani.

Mambo ya geopolitics.
Nipo hapa kukujibu maswali yako yote kuhusu migogoro mbalimbali duniani.


swalii lolote
Kwenye vita ya iraq-Iran miaka ya 1980's, ni wairan wangapi walikufa? Na katika hao wa Iran, waarabu wa kutoka Iran (Iranian arabs) walikuwa wangapi?
Na iraq ilipoteza watu wangapi vitani?
 
Back
Top Bottom