Niulize kuhusu mgogoro wa vita wowote duniani nitakujibu papo papo!

Niulize kuhusu mgogoro wa vita wowote duniani nitakujibu papo papo!

Tatizo ni Israel ya mashoga
Kila nchi kuna mashoga mkuu,,, ushoga ni tabia ya mtu haina uhusiano na taifa lolote.
Hata kwene mataifa waliyoruhusu bado watu wengi wanachukia .
kwaiyo hamna nchi ya mashoga
 
Kwanini Urusi hataki kuisaidia Iran waziwazi kama marekani inavyomsaidia Israel?
Marekani wao wanatumia oppen policy kushawishi dunia kua nchi fulani ni mbaya.
Na kutangaza nchi zenye uvunjifu wa haki za binadamu.

Hivo ni ngumu nchi nyingine inapofanya biashara na nchi ambayo ishachafuliwa kueleweka.
Mfano wakishatangaza Hamas ni kikundi cha ufaidi dunia nzima ikaamini .So nchi itayofanya biashara na hamas inaonekana inafanya n au kusapoti ugaidi
 
Back
Top Bottom