Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Unajua mnoo🤝🤝kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mnoo🤝🤝kidogo
Israel kwa sasa haipigani na taifa loloteNaomba uniletee taarifa za mwendelezo wa Vita huko Israel na mataifa matano inayopigana nayo Kila siku kuanzia leo
Inasadikika ni operation za MossadIsrael Hamas war
Nini kimemuua Haniyeh,
Hilo kila mtu anajua, swali lilikuwa nini kilitokea, alipigwa risasi, alikabwa, alinyweshwa sumu, ngumi, kisu au?Inasadikika ni operation za Mossad
kama ambavyo wamekua wakiwafyeka maadui wengine wa israel
Mgogoro ulianza ndani lakini ivivyo mgogoro wowote duniani huwavutia nchi nyingine ambazo zinakua na mategemeo fulani katika upande huo.nan yuko nyuma ya pazia juu ya migogoro ya wenyew kwa wenye nchi ni myanmar /bama
Kwaiyo mpk tukuulize sisi wapenda vita?Bongo uchawa tuNapenda kufuatilia sana migogoro na vita zinazoendelea duniani.
Mambo ya geopolitics.
Nipo hapa kukujibu maswali yako yote kuhusu migogoro mbalimbali duniani.
swalii lolote
uchawa gan sasaKwaiyo mpk tukuulize sisi wapenda vita?Bongo uchawa tu
Wewe mwenye akili ya pumbu za mbuziWell,
Israel itawatawala waarabu
Israel itakuwa taifa lenye nguvu dunia na ndoto ya Great Israel itatimia siku moja
Nadhan unamaanisha RsfKuna tofauti Gani kati ya RST na Sudan military?? Nipe historia ya Kuundwa RSF
RSF miaka hiyo ilipozaliwa members walitoka jeshini au walikusanywa na kupewa mafunzo??Nadhan unamaanisha Rsf
RSF ni rapid support force ni kundi lilitokana na kundi la janjaweed (arab nomads) ambalo lilizaliwa miaka 1987/88 maeneo ya sudan hasa darfur lilianza kutumiwa na kupewa support na al bashir miaka ya 2000 ambapo lilitumiwa kuwa angamiza jamii ya watu weusi ambao walikua wameanzisha uasi dhidi ya serikali ya sudan kwa kukosekana usawa,ubaguzi kwene siasa,huduma za jamii na maendeleo.
Sudan military ni jeshi la kawaida la sudan kama lilivo jwtz
We huoni watu wanafyatuka vitambi kisa uchawa na hausemi unakuja kutwambia habr za vita😂uchawa gan sasa