Niulize kuhusu mgogoro wa vita wowote duniani nitakujibu papo papo!

Vita kati ya mkwa na mdogo wake aliyetawala kutoka lungemba mpaka njombe

Iliyopelekea mkwawa kupigwa na kukimbilia kwa wagogo chief mazengo kuomba msaada wa kijeshi ,ilikuwa mwaka gani
 
Baada ya Iran kupitisha makombora juu ya bunge la Israel Netanyahu alienda kufanyiwa operation ya tezi dume je operation hiyo ilihusisha nyuzi? Kama ilihusisha ameshonwa nyuzi ngapi?
 
Mkuu kwanini mpaka sasa iran wanaongea tuu hv kuna ugumu gani wa kurusha kombora...
Iran wanafahamu fika bila kwenda taratibu basi ndio utakua mwisho wa serikali hiyo ya kiislam.

Tangu mapinduzi ya iran yaliyoiweka serkali ya kiislam madarakan Wairan wamekua wakijipanga na kujalibu kuepusha kilichotokea Iraq au Libya.
Cha Nato kuivamia irani. Huo ndio mkakati uliofanya watengeneze vikundi kila kona ili kuwapotezea focus na lengo ni moja hivi vikundi vifanye kazi kama ni wigo kabla ya kuifikia iran.
Inamaana kabla hujawapiga wao basi itabidi upigane na vikundi hivi.
 
Baada ya Iran kupitisha makombora juu ya bunge la Israel Netanyahu alienda kufanyiwa operation ya tezi dume je operation hiyo ilihusisha nyuzi? Kama ilihusisha ameshonwa nyuzi ngapi?
Mkuu huu si uchambuzi ni chuki

Hata kama unachuki jalibu kuongea kitu ambacho ungeweza kuongea kama ungekua unatumia acc yenye majina yako halisi na picha yako halisi.
Nadhan usingeongea hivi pia
 
Vita kati ya mkwa na mdogo wake aliyetawala kutoka lungemba mpaka njombe

Iliyopelekea mkwawa kupigwa na kukimbilia kwa wagogo chief mazengo kuomba msaada wa kijeshi ,ilikuwa mwaka gani
Kheee aisee
 
Uniambie kuhusu vita ya Goryeou na Mongol Empire chini ya genghis khan...chini ya kamanda wake subhutai
 
Iran wanafahamu fika bila kwenda taratibu basi ndio utakua mwisho wa serikali hiyo ya kiislam.

Tangu mapinduzi ya iran yaliyoiweka serkali ya kiislam madarakan Wairan wamekua wakijipanga na kujalibu kuepusha kilichotokea Iraq au Libya.
Cha Nato kuivamia irani. Huo ndio mkakati uliofanya watengeneze vikundi kila kona ili kuwapotezea focus na lengo ni moja hivi vikundi vifanye kazi kama ni wigo kabla ya kuifikia iran.
Inamaana kabla hujawapiga wao basi itabidi upigane na vikundi hivi.
Mlisema hivyo hivyo kwamba Iran hawezi kurusha hata jiwe kwenye ardhi ya Mazayuni.

Kilichotokea hata dunia imepigwa na butwaa baada ya Muajemi kutangazia ulimwengu kwamba itaishambulia Israel ndani ya masaa machache na inatekeleza ahadi yake kwa kuiporomoshea drones na missiles Israel moja kwa moja.
 
Mkuu huu si uchambuzi ni chuki

Hata kama unachuki jalibu kuongea kitu ambacho ungeweza kuongea kama ungekua unatumia acc yenye majina yako halisi na picha yako halisi.
Nadhan usingeongea hivi pia
Jalibu✖️
Jaribu✔️

Hilo ni swali jibu kama hujui sema sijui
 
Mlisema hivyo hivyo kwamba Iran hawezi kurusha hata jiwe kwenye ardhi ya Mazayuni.

Kilichotokea hata dunia imepigwa na butwaa baada ya Muajemi kutangazia ulimwengu kwamba itaishambulia Israel ndani ya masaa machache na inatekeleza ahadi yake kwa kuiporomoshea drones na missiles Israel moja kwa moja.
Elewa kua Iran ina fanya Calculated Risk…
Si kwamba hawawezi wanaweza sana hata kurusha mabomu elf 5
Lakini wanaenda kwa mahesabu wanafanya kitu ambacho hakitafanya Israel iseme sasa liwalo na liwe.
Hivo kila hatua anayooiga anaangalia nn kitafuata !!

Iran haiwezi kushinda vita yake dhidi ya Israel na washirika wake na yenyewe inajua.
Hetu tujiulize maswali haya

Israel imeanza kuchinja wanasayansi wa iran wa nyuklia lini??
Imefanya mashambulie mangap katka ardhi ya iran? hasa ya milipuko kwene nyuklia facilities
Imeua viongozi wangap wa iran ?? mfano kassim solemon,rais na huyu kiongozi wa hamas

Hayo yote si red line??
Iran haiwezi kwenda kwa mihemuko!! Ndio maana imewekeza sana kwene vikundi ili viweze kuiweka mbali zaidi na ufikio wa mazayuni na washirika wake
 
Back
Top Bottom