chrstopher
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 275
- 558
safi sana mkuu kwa jinsi unavyowajibu maswali yao wenyewe si wanajifanya kuzima data makusudiNapenda kufuatilia sana migogoro na vita zinazoendelea duniani.
Mambo ya geopolitics.
Nipo hapa kukujibu maswali yako yote kuhusu migogoro mbalimbali duniani.
swalii lolote
😂😂😂Asante mkuusafi sana mkuu kwa jinsi unavyowajibu maswali yao wenyewe si wanajifanya kuzima data makusudi
Vita ya marekani na Russia ni ngumu sana kutokea na inawezekana isiwepo kabisa.Vita vya marekani na urusi vitaanza mwaka gani?
migogoro recentlyZa kuanzia miaka ipi?
Uchawa si mgogoro mkuuWe huoni watu wanafyatuka vitambi kisa uchawa na hausemi unakuja kutwambia habr za vita😂
Uko vizuri Sana mkuu pia hongera kwa kuyajibu maswali ya kejeli kwa akili kiasi yasiharibu Uzi wako.Napenda kufuatilia sana migogoro na vita zinazoendelea duniani.
Mambo ya geopolitics.
Nipo hapa kukujibu maswali yako yote kuhusu migogoro mbalimbali duniani.
swalii lolote
Mkuu dunia inahatarishwa na mambo mengi lakini kubwa zaidi si dini kama dini ila ni watu wanaotumia hiyo dini kutimiza malengo yao.Uko vizuri Sana mkuu pia hongera kwa kuyajibu maswali ya kejeli kwa akili kiasi yasiharibu Uzi wako.
Mkuu uwepo wa waislam wenye msimamo mkali kunahatarisha amani ya dunia kwa kiwango gani na Nini kinaweza kusaidia kuondoa tatizo hilo@Mr Chromium
Mimi simo tlapo tuishie apo tu😂Uchawa si mgogoro mkuu
Mi naelezea migogoro.
Hata hivo uchawa upo nchi nyingi zinazoendeleq ambazo raisi anaonekana kama mungu
una uhuru wa kutoa maoniMimi simo tlapo tuishie apo tu😂
Aweeeeeeeh saluuuuuuteuna uhuru wa kutoa maoni
nimerudMkuu mbona umepotea Tena kwenye hii thread yako
kazi kwakoAweeeeeeeh saluuuuuute
Mapinduzi ili yafanikiwe inabidi kuwe na saport ya jeshi, kushika chombo cha habar cha taifa, ikulu nk.Umejibu vizuri sana mkuu
Pia naomba kuelewesha hivi mapinduzi ya nchi huwa yanafanikishwa vipi? Na ni point gani muhimu mtu akizishikilia tayari anakuwa amefanikisha mapinduzi yake
Na UN wananguvu kiasi gani katika kuamua mustakabali wa nchi.
Mr Chromium
Bado hajafika ofisiniKatika kampeni zake za urais, Trump aliahidi kumaliza mgogoro wa Urusi vs Ukreni ndani ya saa 24. Je, amefanya hivyo? Ameshapiga simu kule Kiev na Mosko? Kama bado anangoja nini? Amekutana na vikwazo vyovyote?
Mkuu upo vizuri sana; naomba unieleweshe kidogo kuhusu Congo again and sorry kwa kukuchosha. Wakubwa wa dunia wanamtumia PK na Rwanda yake ili kupora madini ya Congo as you said; swali langu..., kwanini wali opt njia ya vita ambayo of course wanapata madini kwa kiasi kidogo sana, why hawakupenda option ya amani halafu waishinikize serikali ya Congo isaini mikataba ya ujenzi wa mitambo ya kisasa ili wachimbe madini hayo in a large quantity kama walivo fanya Tanzania, Botswana, Mali, South Africa, Ghana nk? Hili jambo linaisumbuaga sana akili yanguUkraine na russia —— Nato aggression au kujaribu kuizunguka russia by USA.
Russia ye ndo kaanza
Irael Vs Hamas
Huu n mgogoro wa muda mrefu
Chanzo chake ni kutokubaliana kwa waarabu na mgawanyo wa ardhi ya palestine territor
Lakini chanzo cha Octobar 7 inasadikika ulikua n mpango wa iran ili kuzuia mkataba kati ya israel na Saudi arabia.
Machafuko ya kongo
-Hizi ni coporation za ulaya na marekani ambazo zinataka kupora madini hivo zinawatumia nchi vibaraka rwanda na Uganda kuchochea machafuko ya na kutorosha madini
Machafuko ya sudan
Haya yanaanza na dikteta Al bashir ambae alitaka kuigeuza sudan kuwa nchi ya kiislam bila kuzingatia utofauti wa jamii ya sudan
Ikasababisha kujigawa kwa sudan kusini
Lakini kubagaguliwa kwa watu weusi na waarabu wa kasiskazin mwa Sudan kukafanya kuanza upinzani wa maeneo ya kodofan na dafur.
Kupambana nao akawapa silaha kundi la kabila la kiarabu la janjaweed kuvamia na kuwaua raia weusi wa sudan.
Kundi hili ndio linalokuja kujibrand kama RSF.
Kwakua al bashir alitawala kwa mkono wa chuma maandamani ya wasudan yanakua hayaishi hivo mageneral wanaamua kumpindua akisalitiwa na general pia wa kundi lake ambalo ljmekua likimlinda la rsf.
kwa uchu wa kumiliki nchi magenge au makundi haya mawili yanatofautiana kati ya rsf na jeshi la sudan wanaanza kupigana kutaka kila mtu kuchukua nchi.
Katika vita yyte bas wapambe huingia ambao huwa wanatka kufaidi nchi katika upande utaoshinda
UAE ambae alikua akiuziwa madini na RSF inatumia nafasi hii kulisapoti kundi la rsf kwa kuingiza silaha na pesa kupitia bandari za somalia
wakat huo jeshi la sudan nalo likisaidiwa na iran.
Utaka ujue kwanini RSF inakua na nguvu.
Siri ni kua inatumia vifaa vikali kutoa US ambavyo viliuzwa kwa UAE.
UAE inatumia silaha hizi kufadhili vita ya sudan.
[emoji3][emoji3][emoji3]Mgogoro wa Tanganyika na Kizimkazi