Kila nchi kuna mashoga mkuu,,, ushoga ni tabia ya mtu haina uhusiano na taifa lolote.
Hata kwene mataifa waliyoruhusu bado watu wengi wanachukia .
kwaiyo hamna nchi ya mashoga
Marekani wao wanatumia oppen policy kushawishi dunia kua nchi fulani ni mbaya.
Na kutangaza nchi zenye uvunjifu wa haki za binadamu.
Hivo ni ngumu nchi nyingine inapofanya biashara na nchi ambayo ishachafuliwa kueleweka.
Mfano wakishatangaza Hamas ni kikundi cha ufaidi dunia nzima ikaamini .So nchi itayofanya biashara na hamas inaonekana inafanya n au kusapoti ugaidi