Ukweli ni kwamba Nchi imeoza na inaendeshwa kisengeh huo ndio ukweli kama hutaki ni wewe..... Kaa usubiri kanga na t-shirt hapoNchi haiko vizuri kulinganisha na nchi Gani, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda, Somalia, Sudan kusini au DRC? Wadanyanye haohao mazuzu wenzako aloo. Wewe ni nani utusemee kwamba tunapata tabu tz? Sisi wenyewe hatuoni? Eti hatuna akili ila nyie tu,
naona hujanielewa. au ungejiuliza swali lingine, kwa nini wanasiasa wanapotaka support wanaenda kwa watu wa dini, watu wa dini wakisema wanasiasa ni chaguo la Mungu, wanakenua mimeno yote, ila wakikosolewa wanasema watu wa dini wakae mbali na siasa. kama una akili jaribu kufikir hilo.2. waumini wao wanaathirika sana na mambo ya siasa, huwezi kuona muumini wako anaumia ukakaa kimya.
Acha hizo bhana; Mbona waumini wao wakiwa na njaa, wakikosa ada askofu anakaa kimya? hiyo haiumizi?
Sio kwa kiasi hicho. We are still much better. Kumbe ndio maana wakoloni walitunga sheria ya uchochezi. Yana Kuna mtu anawaaminisha watu kuwa tz chini yake itafanana na Belgium. Nonsense!!Ukweli ni kwamba Nchi imeoza na inaendeshwa kisengeh huo ndio ukweli kama hutaki ni wewe..... Kaa usubiri kanga na t-shirt hapo
Kazi ya watu wa dini ni kuhubiri utukifu wa Mungu na ubaya wa shetani , kutii mamlaka na Kula madhabahuni kwao sadaka za kujimaliza, zaka, malimbuko, fitiri, na fungu la kumi Kutoka kwa waumini No more.naona hujanielewa. au ungejiuliza swali lingine, kwa nini wanasiasa wanapotaka support wanaenda kwa watu wa dini, watu wa dini wakisema wanasiasa ni chaguo la Mungu, wanakenua mimeno yote, ila wakikosolewa wanasema watu wa dini wakae mbali na siasa. kama una akili jaribu kufikir hilo.
Hawawezi waumini wao ni wanasiasa hivyo wanawapa ushahuri na kuhubiri Injiri ya haki na ukweli na kuwakemea wanapotenda dhambi!Dini zetu hizi mbili zina bahati mbaya sana Afrika, ujio wake Afrika uliambatana na watu waliotenda mabaya na wanaendelea kuyatenda mabaya Afrika mpaka leo. Bahati mbaya sana watu wa dini hizi hawakuwakemea na hawawakemei hadi sasa. Walikuwa wakiwasalisha na wanawasalisha mpaka sasa bila kuwataka waungame kwa kile walichoitendea Afrika na wanachoendelea kuitendea Afrika.
Waarabu walikuja na dini ya Kiislamu pamoja na wafanyabiashara wa viungo, pembe za ndovu na watumwa. Waarabu hawajawahi kuomba ladhi na hawaombi ladhi mpaka leo. Watu wa dini hii walikuwa wanawaswalisha na wanawaswalisha mpaka leo, ni rafiki zao.
Wazungu walikuja na dini ya Ukristo kama wamisionari na baadae wakafuatiwa na wakoloni (watesi wetu). Wamisionari hawa walikuwa wakiishi mtaa mmoja na wakoloni waliotununua na kutusafirisha kama watumwa, walipora rasilimali zetu na kuua tunapokataa kunyonywa na kutawaliwa. Wasionari hawa walikuwa wakiwasalisha wakoloni bila kuwataka waungame, ni rafiki zao.
Watu wa dini hawa wasifikiri kuwa hatujui kuwa masheikh wana uhusiano na waarabu walitufunga minyororo na maaskofu wana uhusiano na wakoloni wetu waliotuibia rasilimali zetu. Sisi tunajua na serikali inajua pia.
Watu wa dini ni marafiki wakubwa wa watesi wetu maana walikuwa ni waumini wao wakubwa; hivyo wanapotaka kufanya siasa hapa Afrika wasisahau hilo ili wasije wakaeleweka na kudhaniwa vibaya. Kama walivyokuwa wakiwasalisha na kuishi na watu waovu (wakoloni) bila ya kuwakemea wanyamaze hivyohivyo milele hata kwa wanasiasa wa Kiafrika la sivyo wataonekena kama vile wamebeba ajenga kuhusu rafiki zao (wakoloni). Hakuna ubishi kuwa watu wa dini walisikitika sana wakati wakoloni (waumini wao) walipoondoshwa Afrika.
Kazi ya watu wa dini tangu zamani hizo ni kuwahubiria waumini wao kutii mamlaka maana mamlaka zinatoka kwa Mungu. Walihubiri hivyo wakati wa ukoloni na waendelee kuhubiri hivyo hata Sasa, vitabu wanavyotumia kukusanya sadaka zetu ni vilevile walivyokuja navyo wakati huo.Hawawezi waumini wao ni wanasiasa hivyo wanawapa ushahuri na kuhubiri Injiri ya haki na ukweli na kuwakemea wanapotenda dhambi!
Kwasababu dini zote zinahimiza watu kutii mamlaka maana zinatoka kwa Mungu. Tangu zamani hizo, kiongozi wa dini anaepinga mamlaka anaijua hatima yake. Anakwenda kinyume na kitabu chake, anaonekana ana agenda nyingine, sio dini.naona hujanielewa. au ungejiuliza swali lingine, kwa nini wanasiasa wanapotaka support wanaenda kwa watu wa dini, watu wa dini wakisema wanasiasa ni chaguo la Mungu, wanakenua mimeno yote, ila wakikosolewa wanasema watu wa dini wakae mbali na siasa. kama una akili jaribu kufikir hilo.
labda kwenye dini yako, ila kwenye dini ya Ukristo, unaruhusiwa kutii mamlaka kama haitendi au kukuamrisha kutenda kinyume na mapenzi ya Mungu. Mamlaka ya wizi, mamlaka inayoua watu, inayoteka watu, inayobambika kesi, mamlaka iliyojaa rushwa, lazima kuna mambo tutaitii ila mengine tutairekebisha na kuipinga, na ni kwa nia njema tu. huo mstari mmeutumia vibaya sana, kuumiza watu halafu mnasema wasilalamike wala kupinga kuumizwa kwao kwa sababu Biblia imesema tutii mamlaka. Mashetani wakubwa ninyi, hukumu yenu itatoka kwa Mungu mwenyewe.Kwasababu dini zote zinahimiza watu kutii mamlaka maana zinatoka kwa Mungu. Tangu zamani hizo, kiongozi wa dini anaepinga mamlaka anaijua hatima yake. Anakwenda kinyume na kitabu chake, anaonekana ana agenda nyingine, sio dini.
ukishasema kazi yao mojawapo ni kuhubiri ubaya wa shetani, basi, kuua, kuteka, kuumiza watu na kula rushwa ni ubaya wenyewe wa shetani huo. au unafikiri nani anawasukuma wafanye hayo mabaya kama sio shetani?Kazi ya watu wa dini ni kuhubiri utukifu wa Mungu na ubaya wa shetani , kutii mamlaka na Kula madhabahuni kwao sadaka za kujimaliza, zaka, malimbuko, fitiri, na fungu la kumi Kutoka kwa waumini No more.
Unataka kuambia wasomaji wako kuwa dini hazikuwapinga wakoloni kwakuwa hawakuwa wezi, kutesa watu, kuteka na kuua watu? Bro wakoloni waliwatanguliza huku wamissionari kwanza kabla wenyewe hawajaja. Kazi kubwa ya dini ilikuwa kutufundisha kutii mamlaka bila kujali itakuja kutuua au kusomba mali zetu; na waumini waliokkengeuka walitengwa na kanisa na baadae kuadhibiwa na mamlaka.labda kwenye dini yako, ila kwenye dini ya Ukristo, unaruhusiwa kutii mamlaka kama haitendi au kukuamrisha kutenda kinyume na mapenzi ya Mungu. Mamlaka ya wizi, mamlaka inayoua watu, inayoteka watu, inayobambika kesi, mamlaka iliyojaa rushwa, lazima kuna mambo tutaitii ila mengine tutairekebisha na kuipinga, na ni kwa nia njema tu. huo mstari mmeutumia vibaya sana, kuumiza watu halafu mnasema wasilalamike wala kupinga kuumizwa kwao kwa sababu Biblia imesema tutii mamlaka. Mashetani wakubwa ninyi, hukumu yenu itatoka kwa Mungu mwenyewe.
Kazi yao itabakia ndani ya nyumba za ibada kuhubiri hadi waokoke na kuacha dhambi. Kuna baadhi ya watu wa dini wanaolawiti watoto, mashoga na wezi. Watu wa dini wangejikita huko zaidi ili kuondoa dosari hizo miongoni mwao zaidi kuliko kujikita kwenye siasa; maana siasa ni mchezo mchafu, wanaweza kuchafuka sana na kuchafuliwa na wanasiasa.Hawawezi waumini wao ni wanasiasa hivyo wanawapa ushahuri na kuhubiri Injiri ya haki na ukweli na kuwakemea wanapotenda dhambi!
wasubirie waje kanisani au ndani ya msikiti uwahubirie waache wizi badala ya kupanda majukwaani mbele za camera kama wafanyavyo wanasiasa,ukishasema kazi yao mojawapo ni kuhubiri ubaya wa shetani, basi, kuua, kuteka, kuumiza watu na kula rushwa ni ubaya wenyewe wa shetani huo. au unafikiri nani anawasukuma wafanye hayo mabaya kama sio shetani?
Coment hii ifanyiwe laminationDini zilianzishwa na Wanasiasa, halafu unataka wanasiasa waachane na Dini wakati Dini ndo silaha yao ya kwanza ya kuwa-brainwash ili muendelee kuswagwa.....
hapa hatuongelei wakoloni, tunaongelea Biblia inachosema. mbona hueleweki?Unataka kuambia wasomaji wako kuwa dini hazikuwapinga wakoloni kwakuwa hawakuwa wezi, kutesa watu, kuteka na kuua watu? Bro wakoloni waliwatanguliza huku wamissionari kwanza kabla wenyewe hawajaja. Kazi kubwa ya dini ilikuwa kutufundisha kutii mamlaka bila kujali itakuja kutuua au kusomba mali zetu; na waumini waliokkengeuka walitengwa na kanisa na baadae kuadhibiwa na mamlaka.
Maaskofu na masheikh hawa ni walewale, vitabu ni vilevile, mafundisho ni yaleyale, mavazi yao ni yaleyale, kofia zao ni zilezile, sadaka wanazotoza ni zilezile na nyumba za ibada ni zilezile tangu kabla ya uhuru. Nini kimebadilika leo hata dini zihubiri kuacha kutii mamlaka? Ni lini kwenye historia umewahi kusikia askofu amemlaum DC, Governor au Malkia kwasababu ya kusomba mali za weusi kuzileka Uingereza? Maandiko yamebadilika lini?
Kaka wakitaka wavue majoho na kanzu zao waingie kwenye uringo wa siasa kama waafrika wengine tu, maana wanayo haki hiyo pia badala ya kujificha kwenye nyumba na vikundi vya ibada na dini.
kwani hizo siasa wanaongelea kwenye majukwaa nje ya majengo ya dini au wanaongea wakati wa mahubiri? kuhubiri dhidi ya uovu ni kazi yao waliyoitiwa.wasubirie waje kanisani au ndani ya msikiti uwahubirie waache wizi badala ya kupanda majukwaani mbele za camera kama wafanyavyo wanasiasa,
Wewe ni muongo aloo; umevimbiwa. Unalala, unaamka na kushinda salama wewe, mkeo, watoto na babu Yako Kijijini. Mabasi yanatembea nchi nzima 24hrs, watu wako huru kweli kweli. Mamlaka zinatoka kwa Mungu shikilia hapohapo kasisi.Ukweli ni kwamba Nchi imeoza na inaendeshwa kisengeh huo ndio ukweli kama hutaki ni wewe..... Kaa usubiri kanga na t-shirt hapo
Watu wa dini hawaruhusiwi kuwakosoa watu wa siasa, lakini watu wa siasa wanaruhusiwa kuwakosoa watu wa dini, na hata kuwafuta kabisa wasiwepo. Watu wa siasa wanaweza kufuta usajili wa taasisi za dini lakini dini haziwezi kufuta serikali, labda kwa kwa njia za panya kama hizi wanazofanya Sasa wa kutoa nyaraka haramu.naona hujanielewa. au ungejiuliza swali lingine, kwa nini wanasiasa wanapotaka support wanaenda kwa watu wa dini, watu wa dini wakisema wanasiasa ni chaguo la Mungu, wanakenua mimeno yote, ila wakikosolewa wanasema watu wa dini wakae mbali na siasa. kama una akili jaribu kufikir hilo.
Nikusahihishe vitu vichache kwanzaWewe ni muongo aloo; umevimbiwa. Unalala, unaamka na kushinda salama wewe, mkeo, watoto na babu Yako Kijijini. Mabasi yanatembea nchi nzima 24hrs, watu wako huru kweli kweli. Mamlaka zinatoka kwa Mungu shikilia hapohapo kasisi.
Cha msingi heahimu mamlaka. Tz ni nchi pekee kusini kwa jangwa ambayo umeme, maji, shule, hospitali zimesambazwa Kila Kona.Nikusahihishe vitu vichache kwanza
1.Sina babu anaekaa kijijini
2.Ninapoishi napewa haki zangu zote kama katiba ya nchi inavyotaka
3.Kwamba mabasi yanatembea masaa 24πππ Mkuu mimi kupanda basi labda metro ambayo it's less than 30 minutes kwa shughuli ndogo ndogo