Niwaombe watu wa dini wakae mbali na siasa za Afrika

Nikusahihishe vitu vichache kwanza
1.Sina babu anaekaa kijijini
2.Ninapoishi napewa haki zangu zote kama katiba ya nchi inavyotaka
3.Kwamba mabasi yanatembea masaa 24😂😂😂 Mkuu mimi kupanda basi labda metro ambayo it's less than 30 minutes kwa shughuli ndogo ndogo
Sehemu hiyo haiko Afrika a duniani pia. Hakuna nchi duniani ambayo wanasiasa wanawapa raia wao haki zao zote. Hata Mungu hafanyi hivyo.

Ukweli nyie ni wachochezi, kudanganya vijana Africa wasiojua hili Wala lile kwa maslahi yenu. Hamwaambii ukweli vijana Africa kuwa bara lao bado limekaliwa na wakoloni walewale. Ukweli huu wameanza kuujua vijana wa Burkina Faso, Mali na Niger. Wengine bado wanadhani tatizo ni viongozi wao na vyama tawala.

Hapa Tanzania Nyerere na Magufuli walikiona cha mtema kuni pale walipotaka kufanya kile kinachowastahili watu wao.

Formula Iko hivi, ukiona kiongozi wa nchi yenu anapendwa sana na wakoloni ujue hafanyi kile nchi na watu wake wanashostahili kutendewa.
 
Huyu anaechukiwa na wakoloni anawafanyia nini raia wake wanachostahili?
 
Cha msingi heahimu mamlaka. Tz ni nchi pekee kusini kwa jangwa ambayo umeme, maji, shule, hospitali zimesambazwa Kila Kona.

Tuko salama kwakuwa tunalindwa, kusomeahwa na kutibiwa kwa kiasi kikubwa,
Kila kona? Wewe bado ni beginner kwenye kusifu na kuabudu 😂😂😂
 
Hakuna sababu ya jumla kwa wote ya kuichukia serikali. Kila mtu na Kila kikundi kina sababu yake. Lakini Kuna sababu ya jumla ya kuisifu serikali hii. Nchi yetu hii ni kubwa sana, hata kutulinda tuwe salama ni kazi kubwa sana yenye gharama kubwa, achilia mbali umeme, maji, shule, mikopo ya elimu, miundombinu, matibabu na luzuku za vyama. Kama ningekuwa mm ningekata luzuku za vyama vya siasa ili pesa hiyo ninunue mbolea niwagawie Bure wakulima.
 
Wapeni wanafunzi madarasa ya kutosha pamoja na madawati(viti na meza
Tengenezeni ajira za kutosha kwa vijana
Sambazeni maji walau 50% ya nchi (Mwanza tuu na ziwa lao wana struggle kupata maji safi na salama)
Mpatieni kila mtanzania bima ya Afya
Punguzeni ushuru kwa bidhaa zote zinazozalishwa nchini
HESHIMUNI UHURU NA HAKI ZA BINADAMU ZILIZOPO KWA MUJIBU WA SHERIA
Na mengi ambayo katu watu wa dizaini yako hamjui na wala hamjawahi kufikiri kwa sababu ya kulipwa t-shirt na chai mpaka akili zimedumaa

PATHETICCCC😑😑😑
 
Sema lingine, hata Ulaya na Marekanani hakuna ajira, Trump anahangaika kurudisha viwanda Marekanani kurudisha ajira. Ulaya hawataki wahamiaji kuja kuchukua ajira zao ambazo hazipo pia. Maji ya ziwa yalizuiliwa na wakoloni yasisambazwe mitaani ndio kwanza Sasa hivi tumeamua liwalo na liwe.
Waelezeni ukweli vijana.
 
Upo Marekani ipi na umekosa ajira mkuu? Uongo sio kitu kizuri hasa unaposhindwa kujenga hoja

UPUMBAVU UNAWALEMAZA
 
Ndio unawadanganya vijana kuwa Marekanani Kuna ajira, au hujafika huko? Kazi nyingi kule ni zile ambazo wazawa hawazitaki kama kuchunga ng'ombe, kuchuma matunda, kuzibua mitaro, na zile za ujenzi na kidooogo ualimu na kuhudumia wazee vikongwe
 
Hakuna kazi ama zipo zinakataliwa?

Nikuelewe kwa lipi
 
Hakuna kazi ama zipo zinakataliwa?

Nikuelewe kwa lipi
Hivi Tanzania unaweza kusema hakuna kazi? Labda uwe na mtindio wa ubongo maana hata waganga wa kienyeji na wahubiri uchwara wanaishi vizuri tu.
 
Huwa unafatilia takwimu za nafasi za ajira zinazotangazwa na idadi ya waombaji?

Vipi kuhusiana na mazingira kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wa kati?

UPUMBAVU MNAOLISHWA NI MWINGI SANAA.....
 
Hama wafuate huko huko, mazIngira ya Afrika hayatafanana na Yale ya Ulaya, ni zuzu tu anaeweza kuyalinganisha.

Juzi nilisikia bunge la Ulaya eti linajadili demokrasia na mambo ya tz. Wanadhan sisi bado ni koloni lao.
 
Nihame nije Tanzania? Ama mi ndo sijakuelewa
Na hata nikija sitoitegemea serikali yako kwa chochote kwa sababu hata yenyewe inategemea kila kitu kutoka nje
 
No kaa huko huko maana sijui unafanyakazi Gani huko sijui wapi, lakini huku wako watu wanaotoboa pia.
 
Huyu anaechukiwa na wakoloni anawafanyia nini raia wake wanachostahili?
Umevimbiwa. Wewe na ukoo wako wote mmeamka salama hadi unapata bando na muda wa kuandika utumbo jf. Kwa akili Yako unadhani hii inatokea tu na kinachotokea huko DRC, Somalia, Sudan, Ethiopia , Burkina Faso, Afrika ya Kati kisingewezakutoa tz.

Eti tusubiri hadi tufikie pale walipo DRC na Sudan. Kazi yetu ni kuhangaika na cheche zisiwe moto.
 
Back
Top Bottom