Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Tume mnaziunda nyuma ya mikamera majibu ya hizo tume nyuma ya pazia, (mifukoni), mwaka unao fuata CAG anaibua tena ufisadi, kikikikiNiko tayari kuandamana ili kutunga sheria inayowanyonga hadi kufa watu wote wanaoiba mali za umma kuliko kuandamana kudai tume huru ya uchaguzi. Tume huru ya uchaguzi inaruhusu tu mwizi mwingine kutoka chama kingine kwenda ikulu na kuiba sawa na mwizi wa zamani. Tena huyu mpya anaweza kutuibia zaidi kuliko mtangulizi wake.
Kumbe ufisadi ni jadi kwa CCM hauwezi kudhibitiwa nafahamu fika kwenye watu wengi huwezi kukomesha wizi