Haiwezekani yaani utende dhambi wakukodolee macho tuDini zetu hizi mbili zina bahati mbaya sana Afrika, ujio wake Afrika uliambatana na watu waliotenda mabaya na wanaendelea kuyatenda mabaya Afrika mpaka leo. Bahati mbaya sana watu wa dini hizi hawakuwakemea na hawawakemei hadi sasa. Walikuwa wakiwasalisha na wanawasalisha mpaka sasa bila kuwataka waungame kwa kile walichoitendea Afrika na wanachoendelea kuitendea Afrika.
Waarabu walikuja na dini ya Kiislamu pamoja na wafanyabiashara wa viungo, pembe za ndovu na watumwa. Waarabu hawajawahi kuomba ladhi na hawaombi ladhi mpaka leo. Watu wa dini hii walikuwa wanawaswalisha na wanawaswalisha mpaka leo, ni rafiki zao.
Wazungu walikuja na dini ya Ukristo kama wamisionari na baadae wakafuatiwa na wakoloni (watesi wetu). Wamisionari hawa walikuwa wakiishi mtaa mmoja na wakoloni waliotununua na kutusafirisha kama watumwa, walipora rasilimali zetu na kuua tunapokataa kunyonywa na kutawaliwa. Wasionari hawa walikuwa wakiwasalisha wakoloni bila kuwataka waungame, ni rafiki zao.
Watu wa dini hawa wasifikiri kuwa hatujui kuwa masheikh wana uhusiano na waarabu walitufunga minyororo na maaskofu wana uhusiano na wakoloni wetu waliotuibia rasilimali zetu. Sisi tunajua na serikali inajua pia.
Watu wa dini ni marafiki wakubwa wa watesi wetu maana walikuwa ni waumini wao wakubwa; hivyo wanapotaka kufanya siasa hapa Afrika wasisahau hilo ili wasije wakaeleweka na kudhaniwa vibaya. Kama walivyokuwa wakiwasalisha na kuishi na watu waovu (wakoloni) bila ya kuwakemea wanyamaze hivyohivyo milele hata kwa wanasiasa wa Kiafrika la sivyo wataonekena kama vile wamebeba ajenga kuhusu rafiki zao (wakoloni). Hakuna ubishi kuwa watu wa dini walisikitika sana wakati wakoloni (waumini wao) walipoondoshwa Afrika.
Nikuulize kitu. Hebu elezea ni kwa namna gani imetokea tangu nchi ipate uhuru Marais wote ni wakatholic na waislam? Hii ni bahati mbaya tu au Kuna mikono ya watu inayosaidia jambo hili kutokea? Demokrasia sio tume huru ya uchaguzi na Katiba tu. Marekanani wana Katiba bora wanasema wenyewe, lakini bado wanalaumiana kuibiana kura na uchaguzi.Haiwezekani yaani utende dhambi wakukodolee macho tu
Swali je kuiba Kura siyo dhambi, yaani mnataka wafurahie viongozi wasiopatikana kwa haki
Muumize, mteke na kupoteza watu waufyate?
Mtumie mifumo kandamizi ya uchaguzi wakae kimya
Kwasasa mnatumia mfumo kandamizi wa unyumbu wa kisiasa kuongoza, unyumbu wa kisiasa, mfumo ambao unaruhusi wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
Mbona viongozi wa dini wakiwasifia mnakaa kimya lakini mkikengeuka mnataka wafyate mkia
Dini ni kimbilio kwa Yale usiyokuwa na majawabu yake. Dini ni njia nzuri ya kuwalemaza waaminiao wasiyatafute majibu ya maswali yao magumu. Watu wanapita katikati ya wavivu Hawa kupitisha agenda zao kama walivyofanya wakoloni wetu. Dini zinalinda maslahi yao na Yale ya rafiki zao. Eti mtu mwenye akili Yako mtu anakuamuru utoe sadaka ya kujimaliza umpe yeye(Mungu) bila muumini kuhoji sadaka yake atakula nani ikiwa vitu vyake vyote vimetoka kwa Mungu? Mungu anaifanyia nn sadaka Yako wakati yeye ana Kila kitu? Hela zako za sadaka Mungu anazifahamu? Zinapaaje kumfikia Mungu? Ananunulia nini? Unaemsaidia yeye hana zake kwa Mungu? Kwanini Mungu hakumpa za kwake?Dini zilianzishwa na Wanasiasa, halafu unataka wanasiasa waachane na Dini wakati Dini ndo silaha yao ya kwanza ya kuwa-brainwash ili muendelee kuswagwa.....
Yani dini hizi kweli hazitupeleki mbinguni walahii ni wewe na moyo na matendo yakoMbaya zaidi hawa viongozi wa dini ni kama vile huwa wanachagua upande kiongozi akiwa wa dini yake akifanya vibaya hukaa kimya ila akija kiongozi sio wa dini yake watamkosoa huyo hadi akome kwa matamko kama yote
Ukweli kuiba kura sio kuzuri, lakini kura hizi zilikuwa zikiibwa hata wakati wa ukoloni kabla ya uhuru, zinaibwa Sasa baada ya Uhuru. Hoja yangu ni kwamba dini hizihizi na madhehebu hayahaya zilikuwepo kabla ya uhuru na zipo Sasa baada ya Uhuru lakini walinyamaza ule na wanasema wakati huu?. Vitendo vya wizi wa kura vilikuwepo Kenye nyakati zote lakini dini zinaona ni vibaya Leo tu na vilikuwa vizuri wakati wa ukoloni. Sababu ni nini, why now and not yesterday? Kumetokea nini Leo kuliko Jana? Governor Edward Twining na Rais Samia Suluhu nani mbaya zaidi kwetu?Haiwezekani yaani utende dhambi wakukodolee macho tu
Swali je kuiba Kura siyo dhambi, yaani mnataka wafurahie viongozi wasiopatikana kwa haki
Muumize, mteke na kupoteza watu waufyate?
Mtumie mifumo kandamizi ya uchaguzi wakae kimya
Kwasasa mnatumia mfumo kandamizi wa unyumbu wa kisiasa kuongoza, unyumbu wa kisiasa, mfumo ambao unaruhusi wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
Mbona viongozi wa dini wakiwasifia mnakaa kimya lakini mkikengeuka mnataka wafyate mkia
It is never too late in lifeUkweli kura sio kuzuri, lakini kura hizi zilikuwa zikiibwa hata wakati wa ukoloni kabla ya uhuru, zinaibwa Sasa baada ya Uhuru. Hoja yangu ni kwamba dini hizihizi na madhehebu hayahaya zilikuwepo kabla ya uhuru na zipo Sasa baada ya Uhuru. Vitendo vya wizi wa kura vilikuwepo Kenye nyakati zote lakini dini zinaona ni vibaya Leo tu na vilikuwa vizuri wakati wa ukoloni. Sababu ni nini, why now and not yesterday? Kumetokea nini Leo kuliko Jana? Governor Edward Twining na Rais Samia Suluhu nani mbaya zaidi kwetu zaidi?
Ndiyo maana nashauri wenzetu watu wa dini tutangulize utanzania na uafrika wetu kwanza. Utamaduni wetu haujafikia kiwango kikubwa sana cha Uhuru kama cha Magharibi, hata huko Magharibi walipotia vipindi virefu na vigumu sana hadi kufika hapowalipo.
Tanzania inayo intelligensia kubwa sana tangu hata nyakati za makaburu na wareno, ndio maana sisi tuko hivi tulivyo Sasa, hatupigani na wengine wanakimbilia kwetu kunusuru maisha yao. Ni kweli mnaona Tundu Lissu anatosha kuiongoza Tanzania?
Hamna ukali wowote master nimeuliza tuu! Ama ni kosa kuuliza?Ukali wa Nini Tena
Fala weweDini zetu hizi mbili zina bahati mbaya sana Afrika, ujio wake Afrika uliambatana na watu waliotenda mabaya na wanaendelea kuyatenda mabaya Afrika mpaka leo. Bahati mbaya sana watu wa dini hizi hawakuwakemea na hawawakemei hadi sasa. Walikuwa wakiwasalisha na wanawasalisha mpaka sasa bila kuwataka waungame kwa kile walichoitendea Afrika na wanachoendelea kuitendea Afrika.
Waarabu walikuja na dini ya Kiislamu pamoja na wafanyabiashara wa viungo, pembe za ndovu na watumwa. Waarabu hawajawahi kuomba ladhi na hawaombi ladhi mpaka leo. Watu wa dini hii walikuwa wanawaswalisha na wanawaswalisha mpaka leo, ni rafiki zao.
Wazungu walikuja na dini ya Ukristo kama wamisionari na baadae wakafuatiwa na wakoloni (watesi wetu). Wamisionari hawa walikuwa wakiishi mtaa mmoja na wakoloni waliotununua na kutusafirisha kama watumwa, walipora rasilimali zetu na kuua tunapokataa kunyonywa na kutawaliwa. Wasionari hawa walikuwa wakiwasalisha wakoloni bila kuwataka waungame, ni rafiki zao.
Watu wa dini hawa wasifikiri kuwa hatujui kuwa masheikh wana uhusiano na waarabu walitufunga minyororo na maaskofu wana uhusiano na wakoloni wetu waliotuibia rasilimali zetu. Sisi tunajua na serikali inajua pia.
Watu wa dini ni marafiki wakubwa wa watesi wetu maana walikuwa ni waumini wao wakubwa; hivyo wanapotaka kufanya siasa hapa Afrika wasisahau hilo ili wasije wakaeleweka na kudhaniwa vibaya. Kama walivyokuwa wakiwasalisha na kuishi na watu waovu (wakoloni) bila ya kuwakemea wanyamaze hivyohivyo milele hata kwa wanasiasa wa Kiafrika la sivyo wataonekena kama vile wamebeba ajenga kuhusu rafiki zao (wakoloni). Hakuna ubishi kuwa watu wa dini walisikitika sana wakati wakoloni (waumini wao) walipoondoshwa Afrika.
Mpemba atafanya lolote kuwatetea waarabu warudi na kuna watu wanatamani Vatican ije iendeshe bandari na TRA yote ikiwezekana.Kuna Rafik yangu mpemba huwezi kumwambia chochote kuhusu waarabu.waarabu yeye huwaona kama watakatifu wawakilishi na divine spirituals wenye asili na mtume wakati kiuhalisia waarabu ni viumbe wenye akili za ovyo kama weusi tu
Maofisa usalama ni wachache lakini kila mwananchi ni usalama wa taifa, tulisaidie taifa letu sote. Kwani wewe unataka kusema hakuna kabisa kabisa mtanzania ambae anatumika kwa maslahi ya watu wa nje ya nchi hii? Hawapo? hatuwajui? kama tukiwathibitisha pasipo kuacha shaka tuwafanye nini? tukiwafanya nini utanung'unika?Wewe kama nani?
Wanasiasa wakae mbali na diniSema wanasiasa ndiyo wakae mbali na dini. Juzi kati Biteko alikuwa Iringa kwenye kusimikwa Kwa Askofu Mpya wa Jimbo la Katoliki Iringa
Bado hamna uzito kwenye mada yako. Kusema kwamba dini hazikemei walio zileta ni upungufu wa facts na hujafanya research.Dini zetu hizi mbili zina bahati mbaya sana Afrika, ujio wake Afrika uliambatana na watu waliotenda mabaya na wanaendelea kuyatenda mabaya Afrika mpaka leo. Bahati mbaya sana watu wa dini hizi hawakuwakemea na hawawakemei hadi sasa. Walikuwa wakiwasalisha na wanawasalisha mpaka sasa bila kuwataka waungame kwa kile walichoitendea Afrika na wanachoendelea kuitendea Afrika.
Waarabu walikuja na dini ya Kiislamu pamoja na wafanyabiashara wa viungo, pembe za ndovu na watumwa. Waarabu hawajawahi kuomba ladhi na hawaombi ladhi mpaka leo. Watu wa dini hii walikuwa wanawaswalisha na wanawaswalisha mpaka leo, ni rafiki zao.
Wazungu walikuja na dini ya Ukristo kama wamisionari na baadae wakafuatiwa na wakoloni (watesi wetu). Wamisionari hawa walikuwa wakiishi mtaa mmoja na wakoloni waliotununua na kutusafirisha kama watumwa, walipora rasilimali zetu na kuua tunapokataa kunyonywa na kutawaliwa. Wasionari hawa walikuwa wakiwasalisha wakoloni bila kuwataka waungame, ni rafiki zao.
Watu wa dini hawa wasifikiri kuwa hatujui kuwa masheikh wana uhusiano na waarabu walitufunga minyororo na maaskofu wana uhusiano na wakoloni wetu waliotuibia rasilimali zetu. Sisi tunajua na serikali inajua pia.
Watu wa dini ni marafiki wakubwa wa watesi wetu maana walikuwa ni waumini wao wakubwa; hivyo wanapotaka kufanya siasa hapa Afrika wasisahau hilo ili wasije wakaeleweka na kudhaniwa vibaya. Kama walivyokuwa wakiwasalisha na kuishi na watu waovu (wakoloni) bila ya kuwakemea wanyamaze hivyohivyo milele hata kwa wanasiasa wa Kiafrika la sivyo wataonekena kama vile wamebeba ajenga kuhusu rafiki zao (wakoloni). Hakuna ubishi kuwa watu wa dini walisikitika sana wakati wakoloni (waumini wao) walipoondoshwa Afrika.
mbaya zaidi uko worng. Not always the case. Record zinaonyesha hata rais wakiwa wa dini fulan alisemwa, mpaka umauti unamkuta aliwaomba msamaha mwenyewe.Mbaya zaidi hawa viongozi wa dini ni kama vile huwa wanachagua upande kiongozi akiwa wa dini yake akifanya vibaya hukaa kimya ila akija kiongozi sio wa dini yake watamkosoa huyo hadi akome kwa matamko kama yote