Dishi limeyumba huyoUnalaumu wakoloni wa kiarabu na wazungu kwa waliyoyatenda(ni sawa kuwalaumu kwa sababu viongozi wa dini hawakusema) ila kwa upande mwingine hayo yakitendwa na watawala weusi (unawalaumu viongozi wa dini wanapowakemea). Mbona kama huelewi unalisema.
kuna kiongozi alituuzia mashirika na nyumba za serikali zote lakini walikaa kimya kabisa. Watafanya kufa na kupona mwenzao awe kiongozi ili wamtumie kwa faida. Tumeshuhudiwa watu wakirejeshewa majengo yaliyokuwa yametaifishwa huko nyuma. Wanadhani kuwa hatujui.Mbaya zaidi hawa viongozi wa dini ni kama vile huwa wanachagua upande kiongozi akiwa wa dini yake akifanya vibaya hukaa kimya ila akija kiongozi sio wa dini yake watamkosoa huyo hadi akome kwa matamko kama yote
ushahidi tunao kuwa maskofu na masheikh ndio waliowapokea wakoloni na kuwapatia hifadhi, chakula na vinywaji. Baada ya kuwanyonga babu zetu Jumapili na Ijumaa wanakwenda kusali makanisani na misikitini kama watu wema. Mapadre, maaskofu, maustadhi na masheikh hawakuwakemea wala kuwaambia mlichofanya ni dhambi. Leo hii eti wanaona viongozi wetu wanakosea na wanasema hadharani. Wanadhani sisi woote ni wajinga.Unalaumu wakoloni wa kiarabu na wazungu kwa waliyoyatenda(ni sawa kuwalaumu kwa sababu viongozi wa dini hawakusema) ila kwa upande mwingine hayo yakitendwa na watawala weusi (unawalaumu viongozi wa dini wanapowakemea). Mbona kama huelewi unalisema.
Hawasikilizwi yote. Kaka ngoja nikwambie kitu; hizi dini ziko zenye nguvu ya kutusimikia viongozi wa kwenda Ikulu na sehemu za maamuzi. Ndiyo maana tangu tupate uhuru ni aina mbili tu za madhehebu ndiyo yanayopokezana kwenda Ikulu, na hii haitokei kwa bahati mbaya; maslahi mapana ya pande zao. Unadhani ni kwanini dhehebu ileee ndio lilikuwa mstari wa mbele kupinga bandari kukodishwa kwa waarabu, kuwa na Kadhi na kujiunga OAC? Hukuwahi kumsikia mgombea mmoja kutoka dhehebu mojawapo akisema "mwaka huu ni zamu yetu"? unadhani alikuwa hana akili? Wandani hatujui.wewe tulia kabisa hakuna watu wanaosikilizwa na viongozi wa siasa kama viongozi wa dini hivyo ni lazima watoe matamko
Hii ni vita kati ya uovu na wema.Dini zetu hizi mbili zina bahati mbaya sana Afrika, ujio wake Afrika uliambatana na watu waliotenda mabaya na wanaendelea kuyatenda mabaya Afrika mpaka leo. Bahati mbaya sana watu wa dini hizi hawakuwakemea na hawawakemei hadi sasa. Walikuwa wakiwasalisha na wanawasalisha mpaka sasa bila kuwataka waungame kwa kile walichoitendea Afrika na wanachoendelea kuitendea Afrika.
Waarabu walikuja na dini ya Kiislamu pamoja na wafanyabiashara wa viungo, pembe za ndovu na watumwa. Waarabu hawajawahi kuomba ladhi na hawaombi ladhi mpaka leo. Watu wa dini hii walikuwa wanawaswalisha na wanawaswalisha mpaka leo, ni rafiki zao.
Wazungu walikuja na dini ya Ukristo kama wamisionari na baadae wakafuatiwa na wakoloni (watesi wetu). Wamisionari hawa walikuwa wakiishi mtaa mmoja na wakoloni waliotununua na kutusafirisha kama watumwa, walipora rasilimali zetu na kuua tunapokataa kunyonywa na kutawaliwa. Wasionari hawa walikuwa wakiwasalisha wakoloni bila kuwataka waungame, ni rafiki zao.
Watu wa dini hawa wasifikiri kuwa hatujui kuwa masheikh wana uhusiano na waarabu walitufunga minyororo na maaskofu wana uhusiano na wakoloni wetu waliotuibia rasilimali zetu. Sisi tunajua na serikali inajua pia.
Watu wa dini ni marafiki wakubwa wa watesi wetu maana walikuwa ni waumini wao wakubwa; hivyo wanapotaka kufanya siasa hapa Afrika wasisahau hilo ili wasije wakaeleweka na kudhaniwa vibaya. Kama walivyokuwa wakiwasalisha na kuishi na watu waovu (wakoloni) bila ya kuwakemea wanyamaze hivyohivyo milele hata kwa wanasiasa wa Kiafrika la sivyo wataonekena kama vile wamebeba ajenga kuhusu rafiki zao (wakoloni). Hakuna ubishi kuwa watu wa dini walisikitika sana wakati wakoloni (waumini wao) walipoondoshwa Afrika.
Viongozi wa dini ni akina nani? Ebu wataje; alafu uje uniambie kuanzia Mh. Rais hadi waziri wa Sheria na Katiba kama hawakuwai kuwa viongozi kwa nyakati tofauti kwenye dini zenu hizo.Watu wooote watakufa, tunapitaa tu. Kama Yesu alikufa sembuse mimi na wewe? Mimi siwezi kuwa mjinga na kukaa mbali na siasa kwakuwa maisha yetu yote yamezunguukwa na siasa. NIliyosema hapa ni fact. Kama watu wa dini wangewakemea wanasiasa wakati wa ukoloni huenda tungepata nafuu kubwa. mali zetu zisingeporwa kwa kiasi kile, watu wetu wasingeuzwa kama bidhaa kwa kiasi kile. Kama walikaa kimya kwa watawala wakati ule waendelee kukaa kimya kwa watawala hata sasa.
NOREFORMSNOELECTION.Dini zetu hizi mbili zina bahati mbaya sana Afrika, ujio wake Afrika uliambatana na watu waliotenda mabaya na wanaendelea kuyatenda mabaya Afrika mpaka leo. Bahati mbaya sana watu wa dini hizi hawakuwakemea na hawawakemei hadi sasa. Walikuwa wakiwasalisha na wanawasalisha mpaka sasa bila kuwataka waungame kwa kile walichoitendea Afrika na wanachoendelea kuitendea Afrika.
Waarabu walikuja na dini ya Kiislamu pamoja na wafanyabiashara wa viungo, pembe za ndovu na watumwa. Waarabu hawajawahi kuomba ladhi na hawaombi ladhi mpaka leo. Watu wa dini hii walikuwa wanawaswalisha na wanawaswalisha mpaka leo, ni rafiki zao.
Wazungu walikuja na dini ya Ukristo kama wamisionari na baadae wakafuatiwa na wakoloni (watesi wetu). Wamisionari hawa walikuwa wakiishi mtaa mmoja na wakoloni waliotununua na kutusafirisha kama watumwa, walipora rasilimali zetu na kuua tunapokataa kunyonywa na kutawaliwa. Wasionari hawa walikuwa wakiwasalisha wakoloni bila kuwataka waungame, ni rafiki zao.
Watu wa dini hawa wasifikiri kuwa hatujui kuwa masheikh wana uhusiano na waarabu walitufunga minyororo na maaskofu wana uhusiano na wakoloni wetu waliotuibia rasilimali zetu. Sisi tunajua na serikali inajua pia.
Watu wa dini ni marafiki wakubwa wa watesi wetu maana walikuwa ni waumini wao wakubwa; hivyo wanapotaka kufanya siasa hapa Afrika wasisahau hilo ili wasije wakaeleweka na kudhaniwa vibaya. Kama walivyokuwa wakiwasalisha na kuishi na watu waovu (wakoloni) bila ya kuwakemea wanyamaze hivyohivyo milele hata kwa wanasiasa wa Kiafrika la sivyo wataonekena kama vile wamebeba ajenga kuhusu rafiki zao (wakoloni). Hakuna ubishi kuwa watu wa dini walisikitika sana wakati wakoloni (waumini wao) walipoondoshwa Afrika.
NImekwambia dini zinazoaminika ni dini za asili tu; ni heri ya mpagani anaweza kulivusha bara la Afrika kuliko mwenye dini hizi exotic (ngeni) barani Afrika. Wachina na Wahindi wanasogea kwaasabu ya kutumia dini zao za asili. Hizi dini za Kiislam na Kikristo ni vichaka vyenye miiba mingi. Vichaka vilivyojaa majasusi, walanguzi, wezi, njama, mikakati na watu wasiolitakia bara mema. Vichaka hivi vinatupangia nani awe kiongozi na nani asiwe. Ni vichaka vinavyotudhoofisha kupitia njia za wazi na njia za siri.Viongozi wa dini ni akina nani? Ebu wataje; alafu uje uniambie kuanzia Mh. Rais hadi waziri wa Sheria na Katiba kama hawakuwai kuwa viongozi kwa nyakati tofauti kwenye dini zenu hizo.
Kwahiyo kama wewe hukupata kumsaidia jirani yako kipindi ukiwa na uwezo huo ndiyo wanao pia wasiwasaidie majirani zao wakiwa na uwezo? Penye makosa yanahitaji kukemewa hata kama wengine hawapendi
Kwa wakoloni walikuwa hawasali? HAPA tz walikuwa wakisali makanisa yapi na misikiti ipi? Je, Masheikh, mapadre na maaskofu walikuwa hawajui kama wakoloni hawa walikuwa wanatunyonya na kupeleka kwao? Mbona walikaa kimya dhidi ya wakoloni, mbona sasa wanasema kuhusu marais wetu? Wanamfanyia kazi nani? JIbu tafadhaliMpaka mnafanywa watumwa ni dhaifu kabisa ,dini zitaendelea kuwepo .
Ukali wa Nini TenaWewe kama nani?
Nioneshe wapi viongozi wa dini walifanya utuwa,nikupe milion 100 ..Bila hizo dini mngekuwa wajinga mpaka leo ,tena mngekuwa watumwa..Kwa wakoloni walikuwa hawasali? HAPA tz walikuwa wakisali makanisa yapi na misikiti ipi? Je, Masheikh, mapadre na maaskofu walikuwa hawajui kama wakoloni hawa walikuwa wanatunyonya na kupeleka kwao? Mbona walikaa kimya dhidi ya wakoloni, mbona sasa wanasema kuhusu marais wetu? Wanamfanyia kazi nani? JIbu tafadhali
Wazungu wanasema "nioneshe rafiki Yako nikwambie wewe ni mtu Gani/nikwambie tabia Yako". Viongozi wa dini walikuwa wanasalisha, wanakula na kunywa na watu wakoloni wakoloni wanaonunua na kuuza watumwa na kutoa fungu la kumi, zaka, sadaka na malimbuko kanisani/msikitini.Nioneshe wapi viongozi wa dini walifanya utuwa,nikupe milion 100 ..Bila hizo dini mngekuwa wajinga mpaka leo ,tena mngekuwa watumwa..
Mmeanza kuuzwa na viongozi wenu ,chanzo cha utumwa ni watumwa wenyewe.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Achana na ujinga nawe utakuwa mjinga ..Babu zako walikuwa wapumbavu ,waliuzana wenyewe kwa wenyeweWazungu wanasema "nioneshe rafiki Yako nikwambie wewe ni mtu Gani/nikwambie tabia Yako". Viongozi wa dini walikuwa wanasalisha, wanakula na kunywa na watu wakoloni wakoloni wanaonunua na kuuza watumwa na kutoa fungu la kumi, zaka, sadaka na malimbuko kanisani/msikitini.
Ukienda pale Zanzibar misikiti waliokuwa akiswali Sultan bado inaswaliwa mpaka Leo, hapa bara makanisa ya st. Peter, st. Joseph, Lutheran, Anglican, etc ambayo wakoloni walikuwa wakisali yapo hadi Leo
Kakaaa!!! Dini hizi ni nyenzo muhimu kwa ukoloni mamboleo (neocolonialism). Ni grease ya wakoloni kuendelea kutuamulia na kutuibia. Majasusi wanakuja na kujificha kwenye makwapa ya dini. Alshabab, Al-qaida, Boko Haram, mapinduzi, na chaguzi zetu vyote vinayumbishwa na watu wa nje kupitia dini hizi za kigeni.Hii ni vita kati ya uovu na wema.
Wema lazima ushinde,ni suala la muda tu
Hata unachoandika hamuelewi.Wangeuza wapi kama kusingekuwa na soko?