Niwape maua yenu Wasabato, mnajua kuimba nyimbo za dini

Kuna wimbo mmoja sikumbuki waimbaji ni kina nani ila chorus yake ni hii"

kandokando,ya bahari marafiki tutakutana,mambo yatakuwa mapya tukiishi pamoja naye"

Mwenye idea nao jamani anitonye umeimbwa na nani.
SDA Kurasini hao unaitwa "Haja ya Moyo" kama sijakosea
 
Kurasini SDA Choir "Bwana akiwa upande wangu"
 
Umemaliza Kila kitu, malizia na yule mwimbaji wa arusha- nilikua msafiri bora
 
Hizo nyimbo Hapo chini sikuwahi kuzisikia Ila ni za moto sana, chalinze sda choir Pamoja na Moshi central youth.

Sikiliza
Buzuruga sda choir talanta Pamoja na wastahili.
 
Hizo ni hulka binafsi za watu
Usingejibu hivi, ningeamini ulichoandika mwanzo lakini kwa jibu hili la kiutetezi naanza kuamini yawezekana wewe ni SDA! Kama ndivyo, nakukumbusha tu amri inayokataza kumshuhudia jirani yako uongo!
 
Kwani Shusho ni kwaya?
 
Wewe ni msabato tu. Kuna mwenzio alianzisha thread yake ya kushawishi watu wawe wasabato alipewa nondo hadi alikimbia. [emoji23][emoji23]
Wanasahau kama uongo wa namna yoyote ile ni DHAMBI na ni chukizo kubwa mbele za MUNGU! Kwani akikiri na kujivunia usabato wake atauwawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…