Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
- #61
Nafikiri mitindo ya Zabron Singers, Rose Muhando, Good luck na wengineo ndio inawavutia wasikilizaji wengi wa Gospel bongo tofauti na namna SDA yenyewe inavyoimba.Nachojiuliza why waimbaji wa kisabato wanakimbizwa sana sokoni na kina Rose mhando, Bahati Bukuku, Martha mwaipaja, Edson Mwasabite, Flora Mbasha, Cristina shusho etc
Hata hawa kina zablon singers wanaosemwa ni wasabato ni kama wanabahatisha bahatisha..
Ukiwawekea mziki wa kina Rose mhando wanapigwa knock out
Japo zipo kwaya maarufu za SDA zilizo tamba na zinazo tamba Mfano Mbiu SDA Choir ni maarufu na ina Album kubwa tu