Niwatie moyo "single mothers"

Niwatie moyo "single mothers"

Ni sawa na laana ya kuzalishwa mkiwa nyumbani itakavyoendelea kuwatafuna. Maji yamefuata mkondo yawezekana Bibi yako alizalia nyumbani, Mama akazalia nyumbani na nyie mmerithi na mnaendelea kudumisha mila zenu za kuzalia nyumbani.
Kama kuzalia nyumbani ni laana na kutelekeza mtoto je nini?
 
Hata mimi sifurahii hivyo vifo ila kitendo cha kumtetea huyo mwamba unaonesha ni kiasi gani umewahi kukataa mimba ndio maana unaona jambo la kawaida
Sitaki kuandika mambo yangu personal hapa. Ukihitaji kunijua nakukaribisha
 
Kwa nini mna amini Wanawake ndio tunashidaa sana ya ndoa kuliko nyinyi
Hitaji lenu la ndoa litaendelea kuwepo miaka nenda rudi na hata vitabu vitakatifu vimeandika acha kupata hasira kwa sababu muda umeenda na hakuna tumaini jipya kwako.
 
Hata wewe una amini vitu vya ajabu kwa sababu umepaniki kumjibu mtoa mada.kilichomrudisha huyo mwamba nini baada ya watoto wake kufariki nadhani nafsi inamsuta anaona kuna dhambi alitenda acha kutetea ujinga
Bila shaka huyu aliwahi zalisha mwanamke akamuacha hili limemchoma na kama kweli aliwahi fanya ivo Mungu akamuadhibu kwa kipimo kile kile Cha maumivu walichopitia familia ya dada wa watu
 
Dada angu aliolewa ye aliomba mtoto wake
Na kusema ukweli mim nilivoskia ivo bila unafki nilifurahi maana nakumbuka miaka Ile dada angu alitaka kufa
wee ni fala, aliye to**bwa ni dada yako...
shem unataka umtie kiberit na petrol

KUMBUKA NAWEWE HUYO UNAYE MT**BA
NI DADA WA WENZAKO
 
Ni sawa na laana ya kuzalishwa mkiwa nyumbani itakavyoendelea kuwatafuna. Maji yamefuata mkondo yawezekana Bibi yako alizalia nyumbani, Mama akazalia nyumbani na nyie mmerithi na mnaendelea kudumisha mila zenu za kuzalia nyumbani.
Kumbe kuzalia nyumbani ni laana ila nyie kuoa kufiwa na kuachika sio laana
Ha ha ha ha ha nacheka kifala
 
Bila shaka huyu aliwahi zalisha mwanamke akamuacha hili limemchoma na kama kweli aliwahi fanya ivo Mungu akamuadhibu kwa kipimo kile kile Cha maumivu walichopitia familia ya dada wa watu
"Sitaki kuandika mambo yangu personal hapa" ukitaka kunijua nakukaribisha
 
Kumbe kuzalia nyumbani ni laana ila nyie kuoa kufiwa na kuachika sio laana
Ha ha ha ha ha nacheka kifala
Cheka kifala maana ufala ni kiungo nilichokiona mwilini mwako.

Kuna sehemu walikubaliana kuwa akimzalisha huyo mdogo wako atamuoa? Kama walikuwa wanafanya umalaya kwa starehe zao bila kuwa na malengo ya ndoa kwanini leo mnamlaumu huyo jamaa. Kwa tabia kauli zako hizi inaonekana familia yenu suala la ndoa ni suala gumu sana.
 
It's a win win narudia hakumuoa, kaolewa kwingine na mapacha watatu juu alioa akazaa akafiwa wakaachana na mkewe end of the story
 
Nani anataka kuzijua mbao za mawe mwishowe zitudondokee tufe.
Mi nazijua mbao za miti inatosha.
Endelea kupiga zumari ila tambua wanawake wengi mmejikuta mnaingia kwenye mkumbo wa kuomba mabaya kwa wanaume kisha hamkuolewa nao kwa mahusiano ya bahati mbaya. Ndoa ni safari haitokei ghafla tu kisa tu unajua kuzaa basi unaolewa.

Wanaume hawaio wanaojua kuzaa tu, kuna ziada mbali na kuzaa. Mbuzi nao wanazaa vilevile nao waolewe kisa tu wanajua kuzaa kama wewe.

Jengeni mahusiano yenye kuwapeleka kwenye ndoa, msijenge mahusiano ya kimalaya kisha mkayalazimisha kuwa ndoa hata mkifanikiwa kuolewa HAMTODUMU NDOANI.
 
It's a win win narudia hakumuoa, kaolewa kwingine na mapacha watatu juu alioa akazaa akafiwa wakaachana na mkewe end of the story
Sasa povu lako ni la nini? Kumbe formula yenu ili uolewe lazima uzalie nyumbani kama Bibi au Mama yako ndipo uolewe sasa kipi kinakulalamisha hapa.

Ndoa ni uwanda mpana si uzao, jifunze kujifunza.
 
Endelea kupiga zumari ila tambua wanawake wengi mmejikuta mnaingia kwenye mkumbo wa kuomba mabaya kwa wanaume kisha hamkuolewa nao kwa mahusiano ya bahati mbaya. Ndoa ni safari haitokei ghafla tu kisa tu unajua kuzaa basi unaolewa.

Wanaume hawaio wanaojua kuzaa tu, kuna ziada mbali na kuzaa. Mbuzi nao wanazaa vilevile nao waolewe kisa tu wanajua kuzaa kama wewe.

Jengeni mahusiano yenye kuwapeleka kwenye ndoa, msijenge mahusiano ya kimalaya kisha mkayalazimisha kuwa ndoa hata mkifanikiwa kuolewa HAMTODUMU NDOANI.
The bad thing ni kwamba wanaume mnajiona Mungu sana kama dada angu aliachwa kwa ujuaji what about the other one maana kuzaa kufiwa sio sababu ya kuacha wakwanza alikua na tatzo na uyu wapili ana tatizo and he's still right
Shenzi
Mungu awaadhibu kwa mbao za mawe
 
Sasa povu lako ni la nini? Kumbe formula yenu ili uolewe lazima uzalie nyumbani kama Bibi au Mama yako ndipo uolewe sasa kipi kinakulalamisha hapa.

Ndoa ni uwanda mpana si uzao, jifunze kujifunza.
Una hasira wewe kaka kha
Lazima ni mmoja Kati ya walaaniwa
 
Hitaji lenu la ndoa litaendelea kuwepo miaka nenda rudi na hata vitabu vitakatifu vimeandika acha kupata hasira kwa sababu muda umeenda na hakuna tumaini jipya kwako.
Pole sana umeishiwa hoja mkuu miaka miwili iliyopita nilifunga ndoa pole kwa kudhani kila anayepingana nawe ni Single Mama na hayuko kwenye ndoa
 
The bad thing ni kwamba wanaume mnajiona Mungu sana kama dada angu aliachwa kwa ujuaji what about the other one maana kuzaa kufiwa sio sababu ya kuacha wakwanza alikua na tatzo na uyu wapili ana tatizo and he's still right
Shenzi
Mungu awaadhibu kwa mbao za mawe
Wanaume ndiyo wajenzi wa familia (ndoa) wao ndiyo wanajua waanza kujenga wapi ndoa na mtu yupi sahihi kwa ajili ya kujenga ndoa hiyo.

Acheni kudandia kila mwanamume mkijua ni muoaji, kwa sasa mnaishi maisha yanayowafanya muone wanaume kama miungu watu kwenu.
 
Pole sana umeishiwa hoja mkuu miaka miwili iliyopita nilifunga ndoa pole kwa kudhani kila anayepingana nawe ni Single Mama na hayuko kwenye ndoa
Tunaandika chochote kile tunachoona ni sawa ili kurahisisha mambo na tuonekane sisi si wa kawaida. Suala la kuolewa ni lako na mumeo iwe amekukuta single mama au ni suala lake.
 
Back
Top Bottom