Jurisprudencia
New Member
- Apr 22, 2025
- 1
- 0
Njaa mbaya jamani, njaa ndio inayowafanya akina Heche wapande jukwaani kulalamika maisha magumu, ile ni njaa.
Wakati Lissu anakamatwa tuliambiwa kuwa wasaidizi wake walikimbia haraka nyumbani kwake kwenda kuvunja mlango wamchukulie dawa zake anazotumia, kwahiyo Lissu anatumia dawa kutokana na maradhi yanayomsibu ambayo hatuyajui, pengine umri nao unachangia.
Lakini kama bado anatumia dawa anawezaje kugomea kula? Yaani kweli wasomi wamemkaa na kutafakaria mmeona njia ya kupata suluhu ni kugoma kula? Mbona ubongo wetu wasomi una walakini sana.
Yaani asipopelekwa mahakamani jumanne ataanza mgomo wa kula, usipokula nani atakulazimisha kula?
Sana sana watanzania wameshajua kuwa utakataa kula ukifa na njaa utalia na nani? Je huoni unajitengenezea kesi nyingine ya kujaribu kujiua?
Dkt Kizza Besigye alisusa kula gerezani lakini mwishowe mwenyewe alikula baada ya kuona uhai unaondoka.
Njia mnazotumia kumshauri kiongozi wenu sio nzuri, mnazidi kumpoteza, mmetumia viongozi wa dini imeshindikana, mmetumia akina warioba wapi, mnatumia TLS wapi, mnajaza mawakili 40 mahakamani wapi, mmemtumia shehe ponda wapi, Kibatala mwanaume mzima kalia weeeeeee wakati anasifiwa kuwa anajua sheria lakini wapi.Kote huko mmefeli na bado mnajifanya wamba.
Ushauri wangu sikilizeni clip ya Shehe Habib Mazinge kama mnataka kumsaidia Lissu, dola sio ya kupambana nayo watanzania wenzangu.Dola sio mchezo.Sisi washabiki tumewashauri lakini mnatuona wajinga hatuna elimu na nyie ndio mna elimu, Heche anapiga makelele mikutanoni weeee hakuna impact yoyote, mitandao ya kijamii inaongea hadi inafikia hatua ya kumdhalilisha mkuu wa nchi na wasaidizi wake hawawezi kukubali.
Hata Lissu mwenyewe angekuwa Rais asingekubali awe anatukanwa na kudhihakiwa bila sababu za msingi, wasaidizi wake wangechukua hatua.
Muoneni mkuu wa nchi muombeni radhi otherwise Kibatala na wenzake sio tu kuwa watalia bali watapata ugonjwa wa moyo, sukari hadi UTI.Goma kula ufe kwa njaa.