Zanzibar 2020 Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

Nahisi Maalim hana team work na wenzake.nilitegemea afanye vyema.
Uchaguzi huu haitokuwa na gharama kwa selikali kwani ndio keshashindwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hujaweka sababu ya pingamizi wakati ameisema wazi tarehe za kiapo ni za nyuma kabla ya kuanza zoezi? Watu wengine kama wewe hovyo kabisa.

Mapingamizi mengine kama hili ni ya kitoto, upuuzi, na kupotezeana muda. Fomu imebandikwa hapo juu kwenye Uzi huu. Tarehe husika iliyojazwa ni 07/09/2020 ambayo ni sahihi na wala siyo 07/07/2020 iliyowekwa kwenye pingamizi.
 
Nimegundua Maalim hapendi team work.ni suala jepesi sana page moja tu imemgharim chama chote.Na uzee ule sijui atafanya nini duniani.
 
Hii itakuwa ni copy yao wenyewe ACT Wazalendo kwa kuwa signature ni ya maalim.
Asubuhi kweupe na huyu msaka tonge wa aliyekuwa wizara ya afya atapewa uwaziri kiongozi.
 
By the time hukumu inatolewa muda unakuwa umesonga sana ... not fair
 
tunahitaji ushahidi gani tena kuamini kuwa tunaongozwa na watu wapuuzi. eti amekosea tarehe inatia hasira kwa kweli. kakosea?!!! kwa hiyo
 

Kukosea herufi kisheria wala siyo ishu, Inaitwa Scrivener's error au Clerical error.

unaweza kupata ufafanuzi zaidi kuhusu hilo hapa:

Clerical Error/ Scrivener's Error/ Vitium Clerici Law and Legal Definition | USLegal, Inc.
 
Maalim alipaswa kuwa preemptive kama lisu alivyofanya huku bara

Baada ya lisu kupata tetesi kwamba wanampango wa kumuwekea pingamizi akawaabarisha john naye ajiandae kukutana tume kutoa utetezi wake,wote tunajua nn kilitokea

Akina lipumba ambao waliandaliwa kwa kazi hiyo waliyeyuka kama barafu

The same na zenji angetishia kumuwekea pingamizi mwinyi haya yasingetokea,

Tusije kishangaa uchaguzi ukaishia hapo na mwinyi kupita bila kupingwa.

Ccm sio wa kucheka nao
 
Hizo zinaitwa technicalities ni mambo ya kawaida kabisa.

Kama ni mdau wa mahakama wala hata hutashangazwa nayo.
But technicalities nyingine sio fatal mkuu
Zinahitaji marekebisho life lisongee
 
Ukiangalia fomu ipo sawa haijakosewa. Mkurugenzi wa tume alisema alijaza Tarehe 7/7 2020, hapa kwenye fomu inaonyesha wazi amejaza tarehe 7/09.

Tusubiri jibu la tume kuhusu hilo pingamizi. Natumaini haki itatendeka.

View attachment 1565612
Nyie kunjeni hiyo saba kuwa tisa halafu mmelete hapa jukwaani Kama utetezi tuone kama mtafanikiwa
 
Maalim hawezi kukatwa hata siku 1.
Hao ZEC wameshazoea kudhulumu haki za Wazanzibar? round hii watakunya dagaa
 
Hallucination hizo umeandika vitu hewa vya kuokoteza hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…