ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,340
- 4,069
Nahisi Maalim hana team work na wenzake.nilitegemea afanye vyema.Kuna wagombea ubunge wa ACT waliandika jina la chama kama Maalim hapo "ACT Wazalendo". Wameenguliwa kwa kutokuweka "-" yaani "ACT-Wazalendo". Naona Maalim naye hakuweka hako ka-. Yaani hata mimi mkulima nilikwishajua kuwa kutokuweka hako ka - inaweza kuwa nongwa. Maalim bado hajajua tu?
Uchaguzi huu haitokuwa na gharama kwa selikali kwani ndio keshashindwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]