Zanzibar 2020 Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

Zanzibar 2020 Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

Kuna wagombea ubunge wa ACT waliandika jina la chama kama Maalim hapo "ACT Wazalendo". Wameenguliwa kwa kutokuweka "-" yaani "ACT-Wazalendo". Naona Maalim naye hakuweka hako ka-. Yaani hata mimi mkulima nilikwishajua kuwa kutokuweka hako ka - inaweza kuwa nongwa. Maalim bado hajajua tu?
Nahisi Maalim hana team work na wenzake.nilitegemea afanye vyema.
Uchaguzi huu haitokuwa na gharama kwa selikali kwani ndio keshashindwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hujaweka sababu ya pingamizi wakati ameisema wazi tarehe za kiapo ni za nyuma kabla ya kuanza zoezi? Watu wengine kama wewe hovyo kabisa.

Mapingamizi mengine kama hili ni ya kitoto, upuuzi, na kupotezeana muda. Fomu imebandikwa hapo juu kwenye Uzi huu. Tarehe husika iliyojazwa ni 07/09/2020 ambayo ni sahihi na wala siyo 07/07/2020 iliyowekwa kwenye pingamizi.
 
Nimegundua Maalim hapendi team work.ni suala jepesi sana page moja tu imemgharim chama chote.Na uzee ule sijui atafanya nini duniani.
Naam mkuu. Wewe kama unajua kuwa unawindwa tayari lazima uwe makini. Zaidi ya hilo, fomu tunayoiona hapa ambayo inasemekana ni ya Maalim, imeandika Transparency kuwa ni Trasparency. Chama hiki hakina wanasheria? Wanasheria wameona hii ni sawa tu? Lakini Maalim alitakiwa ajifunze kutoka kwa wagombea wake wa ubunge na udiwani walioenguliwa kwa makosa kama haya.
 
Hii itakuwa ni copy yao wenyewe ACT Wazalendo kwa kuwa signature ni ya maalim.
Asubuhi kweupe na huyu msaka tonge wa aliyekuwa wizara ya afya atapewa uwaziri kiongozi.
Siamini Kama kweli hii fomu ni ya maalim Seif hii, inawezekana imeletwa ili tujadili na tuponde tume kuwa inamuonea na kuonesha kuwa hajakosea lakini kumbe aliye ileta hii fomu amejichanganya Kuna makosa makubwa sana hapo kwenye hiyo fomu ambayo wanasheria wakiyakomalia na busara zisipo tumika basi maalim ataenguliwa kweli.
 
By the time hukumu inatolewa muda unakuwa umesonga sana ... not fair
 
Kukosea tarehe ndio itunyime kumpata Rais bora.. mbona watanzania tunakua wehu kiasi hiki.

Kama terehe imekosewa inarejebishwa na mambo yanaendelea.

Kuna mamno serious ambayo kweli mtu hastahili kuwa Rais.

Kama makosa ya jinai etc

Hata deni la serena ni izushi mkubwa.
tunahitaji ushahidi gani tena kuamini kuwa tunaongozwa na watu wapuuzi. eti amekosea tarehe inatia hasira kwa kweli. kakosea?!!! kwa hiyo
 
Viongozi wangu wa upinzani. Mkishajua kuwa mnatafutwa kwa udi na uvumba, punguzeni sababu za shetwani kuwavamia. Naona hata mwandiko wa mwapishwaji na mwapishaji uko sawa. Fomu imejazwa pote na mtu mmoja. Wino tu wa kalamu ndio umebadilishwa (mweusi na bluu). Maalim hawezi kujaza fomu mwenyewe ili kuepusha uwezekano wa "kuuzwa"?

Kukosea herufi kisheria wala siyo ishu, Inaitwa Scrivener's error au Clerical error.

unaweza kupata ufafanuzi zaidi kuhusu hilo hapa:

Clerical Error/ Scrivener's Error/ Vitium Clerici Law and Legal Definition | USLegal, Inc.
 
Maalim alipaswa kuwa preemptive kama lisu alivyofanya huku bara

Baada ya lisu kupata tetesi kwamba wanampango wa kumuwekea pingamizi akawaabarisha john naye ajiandae kukutana tume kutoa utetezi wake,wote tunajua nn kilitokea

Akina lipumba ambao waliandaliwa kwa kazi hiyo waliyeyuka kama barafu

The same na zenji angetishia kumuwekea pingamizi mwinyi haya yasingetokea,

Tusije kishangaa uchaguzi ukaishia hapo na mwinyi kupita bila kupingwa.

Ccm sio wa kucheka nao
 
Hizo zinaitwa technicalities ni mambo ya kawaida kabisa.

Kama ni mdau wa mahakama wala hata hutashangazwa nayo.
But technicalities nyingine sio fatal mkuu
Zinahitaji marekebisho life lisongee
 
Ukiangalia fomu ipo sawa haijakosewa. Mkurugenzi wa tume alisema alijaza Tarehe 7/7 2020, hapa kwenye fomu inaonyesha wazi amejaza tarehe 7/09.

Tusubiri jibu la tume kuhusu hilo pingamizi. Natumaini haki itatendeka.

View attachment 1565612
Nyie kunjeni hiyo saba kuwa tisa halafu mmelete hapa jukwaani Kama utetezi tuone kama mtafanikiwa
 
Maalim hawezi kukatwa hata siku 1.
Hao ZEC wameshazoea kudhulumu haki za Wazanzibar? round hii watakunya dagaa
 
Maalim alipaswa kuwa preemptive kama lisu alivyofanya huku bara

Baada ya lisu kupata tetesi kwamba wanampango wa kumuwekea pingamizi akawaabarisha john naye ajiandae kukutana tume kutoa utetezi wake,wote tunajua nn kilitokea

Akina lipumba ambao waliandaliwa kwa kazi hiyo waliyeyuka kama barafu

The same na zenji angetishia kumuwekea pingamizi mwinyi haya yasingetokea,

Tusije kishangaa uchaguzi ukaishia hapo na mwinyi kupita bila kupingwa.

Ccm sio wa kucheka nao
Hallucination hizo umeandika vitu hewa vya kuokoteza hewani
 
Back
Top Bottom