Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Mzee kujua ukweli wa kitu ambacho kipo based kwenye imani ni contradiction, Faith is the belief in the truth of something that does not require any evidence and may not be provable by any empirical or rational means.

Ukishajua ukweli hautakua kwenye imani, una shift kwenye ujuzi ambao ushakua verified
 
Umemkoroga zaidi mtoa hoja
 
Well said mkuu
 
Mungu yupo wala haihitaji kutumia akili nyingi ili kujua kuhusu Mungu
 
WOTE MMESHINDWA KUNISHAWISHI...

SASA NI ZAMU YANGU KUTAMBA.

NB.. SITAJIBU LOLOTE KWANI NIMEWAPA MUDA TUJADILIANE HAMJANIPA USHIRIKIANO.

Asanteni wapendwa.
 
Yeremia 29:12-14
"Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.
Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.
Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote, na katika mahali pote, nilikowafukuza, asema BWANA; nami nitawaleta tena, hata mahali ambapo kutoka hapo naliwafanya mchukuliwe mateka."

Mungu Amewapa Maagizo mumtafute kwa Moyo wenu wote..

Sasa ukianza kuweka ma-theory ya mabang Hapo hujatumia moyo wala akili wala nguvu zako zote..

Unapofanya shauri juu ya Mungu, weka mbali fahamu na kanuni za kibinaadamu kwani Mungu ni Mkuu na Mtakatifu Sana.
 
Unajuaje?
 
kwa tafsiri yako ya kiswahili Mind ni nini tuanzie hapo!
The mind produces all kinds of thoughts: good and bad,
positive and negative, peaceful and anxious, calm and
angry, friendly and hostile.
It also desires, and wants this and
that, primarily to be happy.
In fact, it is the mind that
keeps us going through the faculty of thought.
only mind is the thought factory
 
Safi! So what caused the big bang?
 
Kumbukumbu la Torati 30:11-17
Kwa maana maagizo haya nikuagizayo leo, si mazito mno kwako, wala si mbali.
Si mbinguni, hata useme, Ni nani atakayetupandia mbinguni akatuletee, aje atuambie tusikie, tupate kuyafanya?
Wala si ng’ambo ya pili ya bahari, hata useme, Ni nani atakayetuvukia bahari, akatuletee, aje atuambie, tusikie, tupate kuyafanya?
Lakini neno li karibu nawe sana, li katika kinywa chako na moyo wako, upate kulifanya.
Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya;
kwa hivi nikuagizavyo leo kumpenda BWANA, Mungu wako, kuenenda katika njia zake, na kushika maagizo yake, na amri zake, na hukumu zake, upate kuwa hai na kuongezeka; BWANA, Mungu wako, apate kukubarikia katika nchi uingiayo kuimiliki.
Lakini moyo wako ukikengeuka, usipotaka kusikiza, lakini ukavutwa kando kwenda kuabudu miungu mingine, na kuitumikia;"

UAMUZI NI WAKO.. CHAGUA MEMA UISHI, au CHAGUA MABAYA UPATWE NA MAUTI.. nadhani sasa umeelewa kwann wengine wanapatwa na mabaa mbalimbali, ABABU ZA HAYA ZIKO NYINGI... Moja ni uchaguzi wako mwenyewe
 
Waamuzi 10:14
"Haya, endeni mkaililie hiyo miungu mliyoichagua; na hiyo iwaokoe wakati wa kusumbuka kwenu."

Kila mtu aseme na upande wake, msaada utatoka ulikochagua
 
kwa tafsiri yako ya kiswahili Mind ni nini tuanzie hapo!
The mind is a thinker with a
primary function of generating thoughts while we are
awake. It dreams while we sleep. The mind is not the
intellect. The intellect is another subtle function of the body
that gives us the ability to discriminate between right and
wrong. We should not confuse it with the mind. The mind
only produces thoughts, but the intellect discriminates
between these thoughts. Even the memory that is
connected to the mind is a different domain. It has a
specific function to memorize and recall.
kwaiyo tofautisha mind, intellect and memory
 
binadamu anahitaji sababu na purpose ya kumfanya aishi.
vinginevyo kuna maana gani ya maisha?
Na hapo ndio imani zilipoanza
Bongo zetu zimekua hardwired na evolution since the beginning ku search pattern na ku find meaning kwenye kila kitu

Bahati mbaya, sio kila kitu kina meaning
Uwepo wetu hapa hauna maana yoyote, we are so insignificant

Huu ni ukweli mchungu, lakini maisha yana meaning,ila sio inherent meaning

Unaweza kutengeneza maana yako ya maisha, kama utakubali kuwa tunaishi mara moja tu
Utaona kuna faida kubwa sana ya kuishi kila sekunde ya maisha yako to the fullest
Kuna vitu vingi vinaweza kuyapa maisha yako meaning, mwanasayansi nguli kama Richard feyman alikua haamini Mungu yet maisha yake yalijaa a lot of meaning
Kwa kiasi chako fanya dunia iwe sehemu nzuri zaidi, ukiondoka watu wakukumbuke hata familia yako tu inatosha

Kama una insist Mungu lazima awepo ili maisha yako yawe na maana, otherwise hakuna maana ya wewe kuwepo

Basi Mungu unayemuamini yupo desperate kuliko wewe

Ushawahi kujiuliza purpose ya maisha ya Mungu?

Purpose ya maisha yake ni nini?
Kutuumba tu na kututazama?

Purpose ya kutuumba na kututazama ni nini?

Kujifurahisa?
Purpose ya kujifurahisa kwake ni ipi?

Au alituumba ili tujue yupo, purpose ya sisi kujua yupo ni nini?

Utaona hata maisha ya Mungu hayana maana kwa logic yako

Maana ya maisha ni kuishi each and every second, kabla hujazaliwa ulikua unateseka?

Kwanini uogope kifo kiasi cha kuona maisha hayana maana kama hakuna afterlife?
 
Aliyeandika hicho kitabu naye ni mzembe wa kufikiri au hakuitumia akili yake sawasawa. Au Mungu anauza! Hivyo akaamua kupata soko!

Ukichunguza kila kitu kinachofanya kazi kuanzia kwenye mwili wa binadamu mfano jicho tu hutaweka huu uzi.

Socrate, Aristotle, Pilato na wengineo kwenye maneno yao yaliyohifadhiwa walisema kwenye huu ulimwengu creater lazima atakuwepo, na si the big bang bali kilichosababisha the big bang.
 
Kumbukumbu la Torati 30:11-17
Moja ya chagamoto kubwa ya vitabu vya dini ni kuji quote vyenyewe kuprove uhalali wake bible inasema ni kitabu cha Mungu kwa sababu ndani ya bible imeandikwa ni kitabu cha Mungu vivo hivo kwa vitabu vingine.
Ni sawa na kusema ni kweli kwasababu umesema nikweli unaweza kusema ni kweli lakini haifanyi hicho ulichosema kuwa ni kweli kama ni uongo hata useme mara ngap bado uongo hauwezi badilika kuw ukweli.
Mwanadamu ni bigwa wa kucreate story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…