Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Acha hizo mungu anaandikaje kama haonekani
 
Sijauliza habari za kubatizwa, MAANA MIMI MWENYEWE SIJABATIZWA, NA SITARAJII KUBATIZWA KWA MTINDO WA DINI.

"Wewe ulifahamu vipi uwepo wa Mungu?" Chomoa "Kuki" la Sumu hilo..

100% utarudi kwenye fahamu za kibinaadamu.. na ndio maana nilivoona tu post yako ya kwanza NIKABANDIKA KOMBORA LA INTELEJENSIA YA ROHONI..

HILI HAPAAAAAA
Hilo dude lilitoka masafa ya mbali Sana, hasa baada tu ya kuiona comment yako ya kwanza humu kwenye thread...
 
mbona unapinga sio Mungu wa kwenye biblia?? ni Mungu wa Quran au??

i believe in everything until proved wrong
 
Swali langu la msingi ni hili,hiyo kale unayo iongelea wewe kale ipi ? Je ni ile kabla ya Nuhu na kama ni ile kabla ya Nuhu,tuwekee ushahidi unao onyesha ya kuwa kulikuwepo na miungu hiyo kabla ya Nuhu na kama ni baada ya Nuhu wewe ni muongo na unaongelea jambo usilo kuwa na ujuzi nalo.
Lakini hizi dini za kileo ni maboresho ya dini za kale so that hata miungu ya dini hizi wamepewa sifa nyingi kidogo kuliko wale wa kale,ikiwemo kutoonekana,ana uwezo wote, yupo kila sehemu n.k.
Tuwekee ushahidi wa hiki ulichokiandika.
Ushabidi wa hili uko wapi ?
Tuthibitishie hili. Shukrani.
 
Bila shaka wewe ni mlokole bible mmeitoa kwa waroma mnadai mnajua bible kulko aliyeiframe soma historia ya bible na ukristo kabla ya ulokole wako
Sio kila anayetumia Biblia ni mtu wa Dini... Sisi wengine Hatufagilii DINI, tunamtizama, Kumtumikia, Kumtegemea na kumuamini MUNGU... Ila habari za Dini na madhehebu hapana (HIZO NI MAN MADE)

MUNGU YUPO NA HILO NI NENO LAKE...

Bado Hujachomoa Huu mkuki niliokuchomekaaaa

"Ulifahamu vipi uwepo wa Mungu???"

Chomoa hilo Kuki hapo juu
 
Mkuu umefafanua vizuri, idea ya god ilikuja ili kuikabili hofu ya duniani ndio maana wafia dini wanaamini kuwa kuna nchi inaitwa
Nani wa kwanza kuja na wazo hilo na ilikuwaje na ushahidi uko wapi ?
 
Hapo mwanzo nani aliumba mwanzo??? Ye aliumbwa na nan na kwa nn sisi lazima tuwe tuliumbwa
 
"Ulifahamu vipi uwepo wa Mungu???"
Swali rahisi sana. Kwanza anae kataa kutokuwepo kwa Mola hatoki katika moja baina ya mawili haya :

1. Mjinga
2. Mpotoshaji
3. Anavyo vyote.

Kama una tafakari kwa kina maumbile yako na mengine utaona uwepo wa Mola. Jitazame na utafakari.
 
nimekuambia i believe kweny universal counsious ambayo na mimi ni part ya hiyo God is energy and i am part of that energy.
 
Hapo mwanzo nani aliumba mwanzo??? Ye aliumbwa na nan na kwa nn sisi lazima tuwe tuliumbwa
Nani alikwambia ya kuwa kila chenye mwanzo lazima kiwe kina chanzo au kimeumbwa ?

Sisi lazima tuwe tumeumbwa sababu asili yetu inarudi kwa mmoja.
 
Hadi mpumbavu ameweza kujua hakuna Mungu, we timamu umeshindwa vipi?
Isaya 32:6
"Maana mpumbavu atanena yaliyo upumbavu, na moyo wake utafanya maovu, ili kutenda hila na kusema yasiyo kweli juu ya BWANA, ili kuziacha nafsi za watu wenye njaa hazina kitu, na kukikomesha kinywaji chake mwenye kiu."
 
Nani alikwambia ya kuwa kila chenye mwanzo lazima kiwe kina chanzo au kimeumbwa ?

Sisi lazima tuwe tumeumbwa sababu asili yetu inarudi kwa mmoja.
Na nani anasema sisi tuna chanzo pia hata yake nani kasema hairudi kwa mmoja usikute kingwendu ndo huyo mmoja ,usishikiwe akili ww
 
Kwanini umetumia bible sio qurani??
ukweli mchungu ni kwamba mwanadamu always anataka possesion na superior mkristu anajiona superior kulko yeyoye vivo hivo kwa dini zote
pengine huna hata sababu ya kuwa mkiristo zaidi ya kuwa na ndugu na jamaa hasa wazazi.
Dini msingi wake mkuu ni mind control kwamba ukifany mazur i na tukashindwa kuku award basi Mungu atakuaward ukifa.
Na ukifanya mabaya tukashindwa kukuadhibu basi Mungu atakuadhibu ukifa.
jaribu Kupitia gnostic gospel usome
 
nimekuambia i believe kweny universal counsious ambayo na mimi ni part ya hiyo God is energy and i am part of that energy.
Umeshindwa Kulichomoa Hilo "Kuki la Sumu"... Ita wenzio wakusaidie kabla SUMU haijasambaa kesho Tukakona kwa Gwajima unabatizwaaa...

Litukuzwe Jina Lako Mungu Uliye Hai...
 
Na nani anasema sisi tuna chanzo pia hata yake nani kasema hairudi kwa mmoja usikute kingwendu ndo huyo mmoja ,usishikiwe akili ww
Jibu kwanza swali nililo kuuliza kisha uulize maswali yako.

Hamjawahi kuwa na maswali ya maana na ya kweli.
 
Umeshindwa Kulichomoa Hilo "Kuki la Sumu"... Ita wenzio wakusaidie kabla SUMU haijasambaa kesho Tukakona kwa Gwajima unabatizwaaa...

Litukuzwe Jina Lako Mungu Uliye Hai...
Unaweza kuniambia haja ya aliye umba na yeye akawa ameumbwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…