Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Unawaza kwa sauti sana jombaa!

Ni kweli ulichosema there is no gods but God does exist.

Yes, umetoa maelezo mazuri kulingana na mtazamo wako.So,ni muda nami naomba nitumie sehemu kidogo kuprove kwamba God does exist.Mind you! I won't reference in any religious book, instead I will try to draw my conclusion based on simple argument.

Some philosophers do believe on existence of phyiscal world and spiritual world. I will not tell you what they say but try to visit how idealists conceptualize this world .

Sasa ni wakati wangu kuprove kwamba God does exist. The truth is, wote ni mashaidi kwamba evil and goodness do exist. Sasa kama haya yapo ni mwanadamu yupi kaonyeshwa kwamba ndo yupo nyuma ya uwepo wa hivi vitu viwili?

Kuhitimisha sikutaka nifanye reference kwenye religious books najua bado ingekuwa ngumu kwako kuelewa but guess what wanaobelieve on existence of God hawajawahi kuongozwa na reasoning instead wako guided na faith.
Nikupe heko kwanza kwa kugundua udhaifu wa kutumia vitabu vya dini ku prove uwepo wa Mungu
(Circular Argument)

Pia kabla huja prove uwepo wa Mungu, ni busara kama ukitoa tafsiri yako ya neno Mungu

Mungu sio neno lenye maana moja, ku avoid ambiguity, mmoja anapaswa kutoa tafsiri yake ya neno hilo

Nakupa mfano, Mwanasayansi Professor Albert Einstein, alipoulizwa na wanafunzi wake kama anaamini juu uwepo wa Mungu

Alijibu ndio,kuwa anaamini Mungu yupo

Mkristo au muislam, anaweza kufurahi juu ya kisa hiki kwa kugundua kuwa kumbe mwanadamu mashuhuri namna hii anaamini Mungu yupo, mimi ni mjinga kiasi gani nipinge?

Ila ukitafuta tafsiri ya neno Mungu kulingana na Einstein ni tofauti kabisa, kiufupi ni kinyume cha na maana ya neno Mungu kwa mujibu wa imani ya kikristo au kiislamu

Albert Einstein aliamini Mungu ni 'summation of all laws of physics'
Mungu ni mkusanyiko wa sheria zote za asili, kwa maana nyingine Mungu ni just concept tu, abstraction ya jinsi gani Ulimwengu unafanya kazi

Kwa mkristo anayeamini Mungu mwenye hisia, aliyeumba kila kitu kwa kusudi, yaani Personal God. Hii ni habari mbaya kwake

Umeona hapo, kundi la watu ambao mwanzoni tunaona wanakubaliana, kumbe kiuhalisia wanatofautiana kwa 100%

Pia kwenye hoja yako sioni premise inayo justify hitimisho lako juu ya uwepo wa Mungu kupitia wema na ubaya

Ukirejea 'Problem of evil' utaona hivyo vitu viwili (Good and Evil) ndio vinatumika kuthibitisha kuwa Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuwepo kwenye ulimwengu wenye kila aina ya maovu na natural calamities kama huu
Kwa sababu kwa upendo wote asingeruhusu mateso yatokee, kwa uwezo wote asingeshindwa, na kwa ujuzi wote angekuwa na njia bora zaidi ya kuuepuka

Mungu mwenye upendo wote kwa viumbe vyake hawezi kuumba 'Mbwa mwitu' wanaokula nyama ya Swala mjamzito akiwa hai... Huo ni mfano wa natural cruelty iliyopo kwenye animal kingdom
Unless uwe unaamini wanyama hawahisi maumivu
 
Kwamba haya yote yaliyomo Duniani na sisi wenyewe tumeumbwa na tupo kwenye Himaya ya Creator ambaye ni Mungu na ana control kila kitu kilichomo ktk huu ulomwengu
Nipe tafsiri yako ya neno Mungu?
Unamaanisha nini unaposema 'kuumba'?
Au kwa urahisi, nambie wewe ni Muumini wa dini gani, hio ndio njia rahisi zaidi kujua una maanisha nini unaposema neno Mungu

Kwa sababu Abrahamic religions zote (uyahudi, ukiristo, na uislamu) kwa ujumla wana share tafsiri moja ya neno hili kama tukipuuza tofauti zao ndogo ndogo (kwa ajiri ya mada) lakini ni kubwa kiimani. mfano Yesu pia ni Mungu au nabii
 
Ndio ulichosema ni kweli kwamba nilitakiwa nianze na tafsiri ya neno Mungu.

Tafsiri uliyotoa ni sahihi kulingana na huyo mwanasayansi anavyoeleza lakini tafsiri iliyokuwa bora zaidi naweza sema hivyo inapatikana kwenye vitabu vya kidini kitu ambacho toka mwanzo nlikataa kuvitumia kama reference

Neno Mungu sio kazi ya wanasayansi ndio maana naweza sema hiyo tafsiri yake inaweza isiwe bora. Wanasayansi wamepata hili neno nadhani kwa watu wanaoitwa theologists ambao misingi ya maisha yao na uelewa wa hii dunia wamekuwa wakiongozwa na Imani kitu ambacho kwa wanasayansi na wanafalsafa wanakataa pale wanapokuwa wanatafuta kujua ukweli

Ukweli tunaotafuta hapa ni juu ya kuwepo kwa Mungu. Ukitumia misingi ya kisayansi trust me ukweli utakuwa mgumu kupatikana vivyo hivyo ukifanya reasoning bado utakwama. Kwanini nasema itakuwa ngumu ni kwa sababu utakuwa unajaribu kutafuta ukweli ambao tayari upo

Mwanzo kabisa walioweza kuja na vitu tangible kuprove existence of God were prophets but kwa sasa hawa watu hatuna tena but we have their message

Kuhitimisha ni kuwa naweza nsiweze kuprove hili kwako kwa sasa but trust me after two years I will be back here with something tangible to prove existence of God

Thank You!
 
Nimezaliwa ktk uislaam na kuusoma kidogo
 
Dah ila maswala ya uwepo wa Mungu unakuwaga na undani ambao mwisho nakuwa nakanganyika.

There's time najiuliza before ya Mungu alikuwepo nani, au Nin chanzo cha Mungu. Dah kuna mambo tutayajua siku tukija kufa tu
Ukifa hutopata nafasi ya kujua chochote tena,
Jitahidi ujifunze ukiwa hai

Pia concept ya 'causation' kuwa kuna 'chanzo' na 'matokeo' ni dhana inayofanya kazi kwenye maisha yetu ya kawaida

Ubongo wetu ume evolved kuyaelewa maisha ya kila siku, rejea mada iliposema zamani tulikua part ya animal kingdom

Sasa kutafuta chanzo cha tokeo fulani, ilikua sifa muhimu kwa maisha yetu, unajua kuwa kunapofuka moshi lazima kuliwashwa moto au kuna moto, nikimbie au nibaki

Ila binadamu tulivyo staarabika na kujitenga na animal kingdom, tukaanza ku interact na vitu ambavyo vilikua nje na mazingira yaliyochochea evolution ya ubongo wetu

Vitu vikubwa sana kama Cluster s za galaxies, black holes au vitu vidogo kama neutrino au vitu kama 'anti matter' vinavyo safiri nyuma ya mda

Kwa ubongo wetu haviingi akilini, hio sentensi ya mwisho tu huwezi kuiamini, na yet ni fact.

So maana yangu ni kwamba ulazima wa kuwepo na chanzo cha kila kitu mpaka ulimwengu ni over generalization ya akili yetu ya kawaida ambayo ukitolewa nje ya mazingira ya kawaida ya miti na mito, haiwezi kutupa majibu
 
Unawaza kwa sauti sana jombaa!

Ni kweli ulichosema there are no gods but God does exist.

Yes, umetoa maelezo mazuri kulingana na mtazamo wako.So,ni muda nami naomba nitumie sehemu kidogo kuprove kwamba God does exist.Mind you! I won't reference in any religious book, instead I will try to draw my conclusion based on simple argument.

Some philosophers do believe on existence of phyiscal world and spiritual world. I will not tell you what they say but try to visit how idealists conceptualize this world .

Sasa ni wakati wangu kuprove kwamba God does exist. The truth is, wote ni mashaidi kwamba evil and goodness do exist. Sasa kama haya yapo ni mwanadamu yupi kaonyeshwa kwamba ndo yupo nyuma ya uwepo wa hivi vitu viwili?

Kuhitimisha sikutaka nifanye reference kwenye religious books najua bado ingekuwa ngumu kwako kuelewa but guess what wanaobelieve on existence of God hawajawahi kuongozwa na reasoning instead wako guided na faith.
🤣🤣 Hapa mtu ka prove the existence of God!!!

Mkuu namaswali juu ya hoja yako..
Mungu ndio muumba wa kila kitu mkuu..?
 
Mkuu naogopa kutumia vitabu vya kidini make najua hapa tunaweza someshana hadi kesho

Sema vipi hapa nilijaribu kuweka utangulizi wa debate hii kwahyo naomba unielewe kwa maelezo haya mafupi😏😏🤣🤣
 
Nimezaliwa ktk uislaam na kuusoma kidogo
Safi.

Hapo sasa tunaweza jadili bila ambiguity yoyote kuhusu neno Mungu

Kiranga unapomuuliza kuhusu uwepo wa Mungu, huwa ana respond kwa kukutaka wewe uthibitishe uwepo wa Mungu

Kama ushawahi kushangazwa na response ya namna hio, Logic nyuma yake ni hii.

Unapokuja na claim ( hoja) ya kitu chochote,sio lazima iwe kuhusu Mungu au imani, hii ni just basic logic
Mwenye jukuma la kuthibitisha hio claim, ni wewe
Sisi wengine, by default tutakua denials (Tutapinga, hata kama hatuna evidence)

Kwa mfano, ukisema kuna farasi mwenye pembe moja (unicorn 🦄) na ukatwambia sisi, sisi hatuwezi amini moja kwa moja... Hata kama hatuta kukatalia waziwazi kiuhalisia tutakua denials wa hoja yako mpaka utakapo tuonyesha huyo farasi mwenye pembe moja

Tukisema hakuna Farasi mwenye pembe moja, hii sio hoja yetu, (kuna negation) hapo
Hoja ni Farasi mwenye pembe moja, so sisi hatuna mzigo wa kuthibitisha kauli yetu, ni just plain simple
Hakuna ushahidi

Wewe ndio mwenye jukumu na mzigo wa kuthibitisha

Thibitisha kuwa Mungu yupo, mapingamizi yetu yatategemea na uthibitisho wako

Usi quote Quran, we've been through this before
Ni logical fallacy
 
Nijibu bila kutumia reference ya vitabu
Bila vitabu pia itakuwa ngumu. Kwanini nasema hivyo neno Mungu limetajwa kwenye hivyo vitabu na ndipo maelezo yake mazuri yapo

Kuhusu Mungu kuwa muumbaji wa kila kitu? jibu langu ni ndio. Ukishaongelea creation maana yake ni kuwa unacknowledge presence of God otherwise ulitaka kuuliza kwa namna nyingine
 
Mada kama hizi miaka ya nyuma zilikua ngumu hata kujadiliwa humu jukwaani kwani watu wengi walikua indoctrinated kua mada za namna hii ni kufru

Hii ni hatua kubwa sana ambayo watu wengi wameonesha kua kuipa kipaumbele akili kwa upembuzi wa mambo ni bora zaidi kuliko kukubali jambo ambalo halina proof

Mpaka kufikia 2025 tutakua na atheist wengi sana humu, sema ni kwamba hizi mada zinahamishwa na mods kwenda jukwaa la dini ambako huko ndio hufia maana wengi hawana access ya hilo jukwaa.

Hata guest users ambao hawana account humu jf wanakua wanafatilia hii mijadala na kujifunza na wengi wanaweza kua impressed na hoja wakaji register, sasa mada kama hizi zikiwekwa jukwaa la dini unakua unawakatili
 
Bila vitabu pia itakuwa ngumu. Kwanini nasema hivyo neno Mungu limetajwa kwenye hivyo vitabu na ndipo maelezo yake mazuri yapo

Kuhusu Mungu kuwa muumbaji wa kila kitu? jibu langu ni ndio. Ukishaongelea creation maana yake ni kuwa unacknowledge presence of God otherwise ulitaka kuuliza kwa namna nyingine
Kwa maana hiyo Mungu ni mwena na ni mmbaya
 
Ndio ulichosema ni kweli kwamba nilitakiwa nianze na tafsiri ya neno Mungu.

Tafsiri uliyotoa ni sahihi kulingana na huyo mwanasayansi anavyoeleza lakini tafsiri iliyokuwa bora zaidi naweza sema hivyo inapatikana kwenye vitabu vya kidini kitu ambacho toka mwanzo nlikataa kuvitumia kama reference

Neno Mungu sio kazi ya wanasayansi ndio maana naweza sema hiyo tafsiri yake inaweza isiwe bora. Wanasayansi wamepata hili neno nadhani kwa watu wanaoitwa theologists ambao misingi ya maisha yao na uelewa wa hii dunia wamekuwa wakiongozwa na Imani kitu ambacho kwa wanasayansi na wanafalsafa wanakataa pale wanapokuwa wanatafuta kujua ukweli

Ukweli tunaotafuta hapa ni juu ya kuwepo kwa Mungu. Ukitumia misingi ya kisayansi trust me ukweli utakuwa mgumu kupatikana vivyo hivyo ukifanya reasoning bado utakwama. Kwanini nasema itakuwa ngumu ni kwa sababu utakuwa unajaribu kutafuta ukweli ambao tayari upo

Mwanzo kabisa walioweza kuja na vitu tangible kuprove existence of God were prophets but kwa sasa hawa watu hatuna tena but we have their message

Kuhitimisha ni kuwa naweza nsiweze kuprove hili kwako kwa sasa but trust me after two years I will be back here with something tangible to prove existence of God

Thank You!
Nakutakia kila la kheri kwenye utafiti wako wa miaka miwili
Kupata Muumini wa dini anaye thamini na kujua maana ya utafiti ni nadra, hongera sana

Haya ni baadhi ya makosa niliyoyaona kwenye hoja yako

Taafsiri ya neno Mungu kwa mujibu wa Einstein sio taafsiri ya sayansi kuhusu neno Mungu

Hiyo ilikua ni Personal belief ya Einstein nje kabisa ya kazi yake (Sayansi)
Mpaka sasa, hukuna concept ya Mungu mwenye mainstream science

Unapoanza kuweka sifa kwenye hoja yako ambazo kimsingi ni non falsifiable (hatuwezi kuzi disprove) basi automatically ushaiondoa hoja yako nje ya upembenuzi wa kisayansi

Sayansi imejengwa juu ya Karl Popper Philosophy, msingi wake ni kwamba kila siku sayansi ina jaribu ku disprove hypothesis na sio kuprove kama wengi wanavyoamini

Hypothesis inakua theory pale inapo pass vikwazo hivyo

Mungu haiwezi kuwa hypothesis kwa sababu ni ambiguities zilizopo kwenye taafsiri yake na jinsi gani ilivyo ngumu kui disprove

Sayansi inaweza disprove vipi Mungu asiyeonekana?

Pili, kutumia vitabu vya dini kujenga maana ya neno Mungu sio kosa

Kosa ni kuthibitisha yupo kupitia hicho hicho kitabu cha dini kinachosema yupo

"Biblia ni neno la Mungu, kwa sababu Mungu amesema, ndani ya biblia kuwa biblia ni neno la Mungu'
Hio hoja hapo juu, inazunguka tu hapo hapo (Circular reasoning)

Mi baada ya miaka miwili naamini nitakua hapa, nasubiri matokeo ya utafiti wako
 
Kwa maana hiyo Mungu ni mwena na ni mmbaya
Hapana mkuu Mungu sio mbaya bali anatambua uwepo wa ubaya

Ubaya umekuwa dedicated kwa devil so mbali na uwepo wa Mungu usisahau kwamba shetani pia yupo

Pointi yangu ilikuwa hii hapa! namna pekee ya kuprove uwepo wa Mungu ni kutenda matendo mema na ndilo jibu jepesi unaweza toa kwa mtu ambaye sio beliver.

Tofauti na hapo ukianza kumsomesha vifungu vya vitabu vya kidini mtakesha make dini haina mpango wa kuaccommodate reasoning na sababu kubwa ni kuwa vile vitabu vinaeleza ukweli kwahiyo no room for reasoning instead we do believe, that is when faith take over.
 
So Hajaumba ubaya..?
 
Nakutakia kila la kheri kwenye utafiti wako wa miaka miwili
Kupata Muumini wa dini anaye thamini na kujua maana ya utafiti ni nadra, hongera sana

Haya ni baadhi ya makosa niliyoyaona kwenye hoja yako

Taafsiri ya neno Mungu kwa mujibu wa Einstein sio taafsiri ya sayansi kuhusu neno Mungu

Hiyo ilikua ni Personal belief ya Einstein nje kabisa ya kazi yake (Sayansi)
Mpaka sasa, hukuna concept ya Mungu mwenye mainstream science

Unapoanza kuweka sifa kwenye hoja yako ambazo kimsingi ni non falsifiable (hatuwezi kuzi disprove) basi automatically ushaiondoa hoja yako nje ya upembenuzi wa kisayansi

Sayansi imejengwa juu ya Karl Popper Philosophy, msingi wake ni kwamba kila siku sayansi ina jaribu ku disprove hypothesis na sio kuprove kama wengi wanavyoamini

Hypothesis inakua theory pale inapo pass vikwazo hivyo

Mungu haiwezi kuwa hypothesis kwa sababu ni ambiguities zilizopo kwenye taafsiri yake na jinsi gani ilivyo ngumu kui disprove

Sayansi inaweza disprove vipi Mungu asiyeonekana?

Pili, kutumia vitabu vya dini kujenga maana ya neno Mungu sio kosa

Kosa ni kuthibitisha yupo kupitia hicho hicho kitabu cha dini kinachosema yupo

"Biblia ni neno la Mungu, kwa sababu Mungu amesema, ndani ya biblia kuwa biblia ni neno la Mungu'
Hio hoja hapo juu, inazunguka tu hapo hapo (Circular reasoning)

Mi baada ya miaka miwili naamini nitakua hapa, nasubiri matokeo ya utafiti wako
Nashukuru sana mkuu ila kingine ambacho ningependa nkukumbushe kidogo ni kuwa dini inashindwa kuaccommodate reasoning na sababu ni kuwa dini msingi wake umekuwa ni faith kama ambavyo philosophy imejikita sana kwenye reasoning vivyo hivyo sayansi pia inachokitu ambayo ni nguzo yake
 
Good answer.. vipi na wema uliumbwa na Mungu..?
Kama ubaya ni matokea ya uasi maana yake ni kwamba wema ulikuepo kabla ya ubaya na kama tayari wote tumekubali kuongelea mambo ya creation basi wema ndio umetoka kwa Mungu
 
Back
Top Bottom