KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Siyo coincidence Engineer kukutana nao.
Motsepe akiongoza FIFA na Engineer akaongoza CAF, timu moja ya Afrika kusini mwa jangwa la Sahara itachukua kombe la dunia.
Hilo ndiyo lengo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo coincidence Engineer kukutana nao.
Motsepe akiongoza FIFA na Engineer akaongoza CAF, timu moja ya Afrika kusini mwa jangwa la Sahara itachukua kombe la dunia.
Hilo ndiyo lengo.
Yaani hawa jamaa hua wanajiona sijui ni kina nani! uki uliza mafanikio una ambiwa robo fainaliSijawahi kuona watu mapunguani kama makolo unaweza kutuambia ni kitu gani mlichofanya cha kuweka kumbukumbu duniani hii tabia mliyonayo ya kujikweza ndiyo inayasababisha kuwa kama mliochanganyikiwa pale mnaponyooshwa
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ukipata muda ingia kwenye hiyo account ya huyo Saddick Adams, ingia kwenye post halafu soma comments utapata jibu la hilo swali lako kuhusiana na derby na pia kuhusu ubora wa ligi ya Tanzania pia.Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia.
Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais wa CAF Patrice Motsepe na Rais wa FIFA Gianni Infantino kuwa Yanga imemtandika mtu goli 5. Infantino ambaye ni mwanachama na shabiki kindakindaki wa Simba mwenye kadi namba 45263 alionekana kupuuzia taarifa hizo, akikodolea kamera kama haamini amini hivi huo umbea huku Rais wa CAF akihoji labda inawezekana kuna wachezaji wamerubuniwa au ni fluku tu ya kimpira, Hersi alipoanza kujitetea video ikakata hapo hapo.
Tuyaache hayo, swali langu inakuwaje ligi inayosemekana ni ya tano kwa ubora Africa, ligi inayosemekana kuzizidi kwa ubora ligi za Saudi Arabia, USA na Sweden, na wakati huo huo derby ya Kariakoo inayosemekana ni top 3 Africa, lakini Rais wa CAF na FIFA hawajui hata matokeo ya hiyo derby wiki moja baada ya mechi yenyewe?
Niliwahi kuhoji taarifa za ligi ya NBC kuwa ligi ya 5 kwa ubora hapa sikupewa majibu ya kuridhisha.
SAYVILLE cheki hii, dunia inaona, dunia inashuhudiaNiliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia.
Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais wa CAF Patrice Motsepe na Rais wa FIFA Gianni Infantino kuwa Yanga imemtandika mtu goli 5. Infantino ambaye ni mwanachama na shabiki kindakindaki wa Simba mwenye kadi namba 45263 alionekana kupuuzia taarifa hizo, akikodolea kamera kama haamini amini hivi huo umbea huku Rais wa CAF akihoji labda inawezekana kuna wachezaji wamerubuniwa au ni fluku tu ya kimpira, Hersi alipoanza kujitetea video ikakata hapo hapo.
Tuyaache hayo, swali langu inakuwaje ligi inayosemekana ni ya tano kwa ubora Africa, ligi inayosemekana kuzizidi kwa ubora ligi za Saudi Arabia, USA na Sweden, na wakati huo huo derby ya Kariakoo inayosemekana ni top 3 Africa, lakini Rais wa CAF na FIFA hawajui hata matokeo ya hiyo derby wiki moja baada ya mechi yenyewe?
Niliwahi kuhoji taarifa za ligi ya NBC kuwa ligi ya 5 kwa ubora hapa sikupewa majibu ya kuridhisha.
Kwa hiyo huyo Saddick na hao wanaocomment ndiyo wanaamua rank za ubora wa ligi na derby? Kwa nini Infantino na Motsepe wameenda kwenye derby ya SA ila ya kwetu hata Rais wa "TFF ya Burundi" hakuja?Ukipata muda ingia kwenye hiyo account ya huyo Saddick Adams, ingia kwenye post halafu soma comments utapata jibu la hilo swali lako kuhusiana na derby na pia kuhusu ubora wa ligi ya Tanzania pia. View attachment 2811525View attachment 2811526
Hapo umeona DW na BBC swahili tu? Lorenz Kohler, Sinethemba Makonco, na kocha wa Asec hukuona hizo post zake? Na huyo Saddick Adams kutoka Ghana hukuona?Nyie watu mnachekesha sana. Kwa hiyo nani anasikiliza au kufuatilia DW Swahili na BBC Swahili?
Kwa hio ukubwa wa Simba upo kwenye page ya Millard Ayo na JemedariNyie watu mnachekesha sana. Kwa hiyo nani anasikiliza au kufuatilia DW Swahili na BBC Swahili?
Sasa unashangaa kocha wa ASEC kufuatilia mechi ya Simba na Yanga wakati anakuja kucheza na Simba? Wengi mna shida ya uelewa wa mada mnazosoma, mnakurupuka tu kujibu. Je ukija kujua kafuatilia hadi mechi dhidi ya Namungo na ile ya Ihefu utasemaje? Kwanza hiyo post ni ya kutunga tu, labda kama alikuwa anahojiwa na Manara TV au Yanga TV.Hapo umeona DW na BBC swahili tu? Lorenz Kohler, Sinethemba Makonco, na kocha wa Asec hukuona hizo post zake? Na huyo Saddick Adams kutoka Ghana hukuona?
eeh! kamatia hapohapo.Hilo ni jambo la ajabu, unasema raisi wa FIFA ni mshabiki wa Simba halafu hata mechi anazocheza timu yake hajui. Kama mnavyoaminishana kuwa Simba ni kubwa inafuatiliwa na wengi duniani basi ujue hao wanaowafatilia wameona mlichokipata labda kama mlikuwa mnaongopeana tu kuhusu kufatiliwa kwa Simba.
Duh wewe jamaa ameamua kujitia aibu haswa.Kwa hiyo huyo Saddick na hao wanaocomment ndiyo wanaamua rank za ubora wa ligi na derby? Kwa nini Infantino na Motsepe wameenda kwenye derby ya SA ila ya kwetu hata Rais wa "TFF ya Burundi" hakuja?
Clip inajielezea ila mnajifanya kama hamuioni, mnakuja na post za kutunga za Facebook.
Kama mimi unaniona mchawi kisa nimepinga ubora tuliojipa, mbona hao waghana hauwaiti wachawi kwa kutotetea ubora wao wakati kwenye rank za kila aina za mpira wametuacha mbali mno? Yaani uko tayari kuamini mitazamo ya watu kwenye kapost ka mtu ambaye hata haumjui wala hauwajui ila unashindwa kuheshimu mawazo ya Mtanzania mwenzio.Duh wewe jamaa ameamua kujitia aibu haswa.
Rank imetolewa na IFFHS (International federation of football history and statistics) hao waliotoa comment wamekubaliana nazo. Sasa ni ajabu watu wote wa Ghana wamekubaliana kwa pamoja kuwa hakuna shaka wana stahili lakini wewe mbongo ndio unakaza kichwa kuwa hatukustahili hivi sio roho ya uchawi huu? Embu pitia comment za hao Wa Ghana wanavyoipa thamani ligi ya Tanzania, wanashangaa ubora wa uwanja, magoli ya viwango, ubora wa matangazo, n.k. kwa roho yako hiyo ukipitia comments zote humo lazima utajawa na wivu zaidi maana una roho zaidi ya mchawi hutaki kusikia hata mazuri ya nchini kwako
Kwa nini Infantino na Motsepe wameenda kwenye derby ya SA ila ya kwetu hata Rais wa "TFF ya Burundi" hakuja? .
Kama mimi unaniona mchawi kisa nimepinga ubora tuliojipa,?
Kubet kuna uhusiano gani na derby kua kubwa.Mbona wabongo wengi tu wana bet maligi ya uko vietnam je nako ligi ni kubwa au kuna derby kubwa kiasi cha kujulikana kidunia?.wanafwatikia kwasababu ya kubet sio kwasababu ya ubora.Wewe ni mpumbavu nenda page za China siku ya mechi wachina waliombetia yanga walala milango wazi kwa furaha afu unasema ligi haifatiliwi?. Are you kumamoto fc?