Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulieandika huu uzi ndiyo mbwa umeongea wa if ulikuwepo kwenye kikao kile, wabongo Nyosso sanaNiliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia.
Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais wa CAF Patrice Motsepe na Rais wa FIFA Gianni Infantino kuwa Yanga imemtandika mtu goli 5. Infantino ambaye ni mwanachama na shabiki kindakindaki wa Simba mwenye kadi namba 45263 alionekana kupuuzia taarifa hizo, akikodolea kamera kama haamini amini hivi huo umbea huku Rais wa CAF akihoji labda inawezekana kuna wachezaji wamerubuniwa au ni fluku tu ya kimpira, Hersi alipoanza kujitetea video ikakata hapo hapo.
Tuyaache hayo, swali langu inakuwaje ligi inayosemekana ni ya tano kwa ubora Africa, ligi inayosemekana kuzizidi kwa ubora ligi za Saudi Arabia, USA na Sweden, na wakati huo huo derby ya Kariakoo inayosemekana ni top 3 Africa, lakini Rais wa CAF na FIFA hawajui hata matokeo ya hiyo derby wiki moja baada ya mechi yenyewe?
Niliwahi kuhoji taarifa za ligi ya NBC kuwa ligi ya 5 kwa ubora hapa sikupewa majibu ya kuridhisha.
😂Wewe ni mpumbavu nenda page za China siku ya mechi wachina waliombetia yanga walala milango wazi kwa furaha afu unasema ligi haifatiliwi?. Are you kumamoto fc?
Katika maelezo yako ingawa yana Uongo ndani yake lakini umevuruga zaidi uliposema raisi wa caf alisema inawezekana wachezaji wamerubuniwa ukitaka kutuaminisha caf wanatoa shutuma hovyo hovyo Tena zenye Uzito Tena hadharani bila uchunguzi kama wapo Kwenye kijiwe cha kahawa !
Infantino na Motsepe wanajua kiingereza vizuri, inabidi watu wajiulize inakuwaje wamuulize "how much?". Infantino alianza kwanza kuuliza "How many", halafu haraka akabadili swali, "how much?" Mzungu hajawahi kuwa mjinga, wanajua mlungula ulitembea.League ya mabingwa inaanza kesho kutwa tuone hiyo yanga ikitafunwa kama mchicha uwanjani..huyu rahis wa yanga hana akili kabisa na imedhihirisha wachezaji wa simba wamerubuniwa mpaka mnafanya sherehe then mtu anapanda pipa anapeleka umbea south Afrika..nonsense
Siwezi kupoteza mb kuangalia uongo wa kutunga kariakoo.Infantino na Motsepe wanajua kiingereza vizuri, inabidi watu wajiulize inakuwaje wamuulize "how much?". Infantino alianza kwanza kuuliza "How many", halafu haraka akabadili swali, "how much?" Mzungu hajawahi kuwa mjinga, wanajua mlungula ulitembea.
Video tumeiona wote bwana.Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia.
Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais wa CAF Patrice Motsepe na Rais wa FIFA Gianni Infantino kuwa Yanga imemtandika mtu goli 5. Infantino ambaye ni mwanachama na shabiki kindakindaki wa Simba mwenye kadi namba 45263 alionekana kupuuzia taarifa hizo, akikodolea kamera kama haamini amini hivi huo umbea huku Rais wa CAF akihoji labda inawezekana kuna wachezaji wamerubuniwa au ni fluku tu ya kimpira, Hersi alipoanza kujitetea video ikakata hapo hapo.
Tuyaache hayo, swali langu inakuwaje ligi inayosemekana ni ya tano kwa ubora Africa, ligi inayosemekana kuzizidi kwa ubora ligi za Saudi Arabia, USA na Sweden, na wakati huo huo derby ya Kariakoo inayosemekana ni top 3 Africa, lakini Rais wa CAF na FIFA hawajui hata matokeo ya hiyo derby wiki moja baada ya mechi yenyewe?
Niliwahi kuhoji taarifa za ligi ya NBC kuwa ligi ya 5 kwa ubora hapa sikupewa majibu ya kuridhisha.
Video tumeiona wote bwana.
Rais wa FIFA na Rais wa CAF walicheka sana waliposikia timu waliyokuwa wanadhani ni ya maana imepigwa tano.
Ambaye hajaiona, video iko hapa:
View: https://www.facebook.com/yangasc1935/videos/879695916700772/
Aiseeee,kweli bhana hata wao hawaamini,wanasema labda kuna rushwa,hahaaaaaa
Kama inakuuma jinyonge, poleni sana najua maumivu mnayopitiaDaah sema jamaa lao halina akili kabisa yani kwenda kujikomba ety walishinda tano linazani ndo litaonewa huruma likae VVIP
Mkuu uwe serious kidogo utaandikaje UKWERI badala ya UKWELI.Clip mnasambaza wenyewe halafu mnaikana. Rais wa CAF na FIFA walikuwa hawajui matokeo ya derby ya Kariakoo huo ndiyo UKWERI. Kuniambia wachina sijui wajamaica wanaobeti huko hakuifanyi ligi iwe bora.
Siwezi kupoteza mb kuangalia uongo wa kutunga kariakoo.
Kwahiyo yanga ni tajiri kuliko simba na bilionea wake Mpaka ihonge ?
Ni kina nani walipokea rushwa?
Waziri simbachawebe alisema bungeni “ Kama zile 5 zilipatikana kwa rushwa simba wanatakiwa kutoa taarifa ofisi ya takukuru temeke “
Wameshapeleka taarifa ?
Brazil ilishafungwa 7 nyumbani kwake na wakazipokea na kukubali sembuse simba
Pole sana aisee. Yaani kauli yako inaonesha ni jinsi ulivyoumia.Yani wacheke kuhusu hilo? Inamaana kufungwa 5 kunaondoa ubora wa timu? So nyie mlivyokandwa 5 kw 0 na 6 zile ziliondoa jina lenu kwny ramani ya mpira wa Tz?? Kuna zaidi ya hapo kwny huo uchekaji wao....either wamecheka kwa dharau na kuona huo ni umbea...
AahaaaNimeamini wanaoumia ni mashabiki,mashabiki wa simba wanapitia kipindi kigumu kweli uku mtaani watu wana sonona.
Baada ya kufungwa tano ndio unataka kufahamu ubora wa NBC imeingia vipi ktk top 5,kipindi simba ipo vizuri mlikuwa mnasema nyinyi ndiyo mmeipa umaarufu NBC..iweje Leo mnakataa?
Kingine mlikuwa mkijimwambafai simba ni timu kubwa giant inajulikana duniani, sasa kama mnajulikana dunia watu watashindwa vipi kufahamu kama mmefungwa goli 5?