Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

Yaani hawa jamaa hua wanajiona sijui ni kina nani! uki uliza mafanikio una ambiwa robo fainali
 
Ukipata muda ingia kwenye hiyo account ya huyo Saddick Adams, ingia kwenye post halafu soma comments utapata jibu la hilo swali lako kuhusiana na derby na pia kuhusu ubora wa ligi ya Tanzania pia.
 
SAYVILLE cheki hii, dunia inaona, dunia inashuhudia
 

Attachments

  • FB_IMG_16993631997120558.jpg
    39.8 KB · Views: 3
Ukipata muda ingia kwenye hiyo account ya huyo Saddick Adams, ingia kwenye post halafu soma comments utapata jibu la hilo swali lako kuhusiana na derby na pia kuhusu ubora wa ligi ya Tanzania pia. View attachment 2811525View attachment 2811526
Kwa hiyo huyo Saddick na hao wanaocomment ndiyo wanaamua rank za ubora wa ligi na derby? Kwa nini Infantino na Motsepe wameenda kwenye derby ya SA ila ya kwetu hata Rais wa "TFF ya Burundi" hakuja?

Clip inajielezea ila mnajifanya kama hamuioni, mnakuja na post za kutunga za Facebook.
 
Nyie watu mnachekesha sana. Kwa hiyo nani anasikiliza au kufuatilia DW Swahili na BBC Swahili?
Hapo umeona DW na BBC swahili tu? Lorenz Kohler, Sinethemba Makonco, na kocha wa Asec hukuona hizo post zake? Na huyo Saddick Adams kutoka Ghana hukuona?
 
Hapo umeona DW na BBC swahili tu? Lorenz Kohler, Sinethemba Makonco, na kocha wa Asec hukuona hizo post zake? Na huyo Saddick Adams kutoka Ghana hukuona?
Sasa unashangaa kocha wa ASEC kufuatilia mechi ya Simba na Yanga wakati anakuja kucheza na Simba? Wengi mna shida ya uelewa wa mada mnazosoma, mnakurupuka tu kujibu. Je ukija kujua kafuatilia hadi mechi dhidi ya Namungo na ile ya Ihefu utasemaje? Kwanza hiyo post ni ya kutunga tu, labda kama alikuwa anahojiwa na Manara TV au Yanga TV.
 
eeh! kamatia hapohapo.
 
Duh wewe jamaa ameamua kujitia aibu haswa.

Rank imetolewa na IFFHS (International federation of football history and statistics) hao waliotoa comment wamekubaliana nazo. Sasa ni ajabu watu wote wa Ghana wamekubaliana kwa pamoja kuwa hakuna shaka wana stahili lakini wewe mbongo ndio unakaza kichwa kuwa hatukustahili hivi sio roho ya uchawi huu? Embu pitia comment za hao Wa Ghana wanavyoipa thamani ligi ya Tanzania, wanashangaa ubora wa uwanja, magoli ya viwango, ubora wa matangazo, n.k. kwa roho yako hiyo ukipitia comments zote humo lazima utajawa na wivu zaidi maana una roho zaidi ya mchawi hutaki kusikia hata mazuri ya nchini kwako
 
Hivi kinachokuuma zaidi ni

1. Simba kufungwa na Yanga goli 5

2. Engineer Hersi kupeleka hizi habari kwa rais wa FIFA na CAF (umbea wake) pengine kwako hii ilitakiwa iwe siri isitoke nje ya mipaka ya nchi

3. Simba haieleweki hadi sasa

4. Chief Mangungo kuwa mwenyekiti wa wanachama

5. Kutokujulikana kama billion 20 zililipwa au ni klabu ndio imempa mwekezaji billion 20 kupitia biashara zake na matangazo
 
Kama mimi unaniona mchawi kisa nimepinga ubora tuliojipa, mbona hao waghana hauwaiti wachawi kwa kutotetea ubora wao wakati kwenye rank za kila aina za mpira wametuacha mbali mno? Yaani uko tayari kuamini mitazamo ya watu kwenye kapost ka mtu ambaye hata haumjui wala hauwajui ila unashindwa kuheshimu mawazo ya Mtanzania mwenzio.

Umeshindwa pia kutambua hao waghana wanasema hivyo kwa sababu ya mapungufu wanayoyaona kwenye ligi yao kama ambavyo na mimi nasema hivyo kutokana ma mapungufu ninayoyaona huku kwetu?

Halafu unaposema watu wote wa Ghana wamekubaliana unatumia takwimu gani? Mbona unatumia nguvu nyingi sana?
 
Kwa nini Infantino na Motsepe wameenda kwenye derby ya SA ila ya kwetu hata Rais wa "TFF ya Burundi" hakuja? .

Pole kwasababu hujui kinachoendelea kwasasa kwavile timu yako imeshatolewa kwenye AFL, kuna mechi ya fainali ya AFL siku ya leo jumapili kule Africa kusini hivyo maraisi na viongozi mbalimbali wapo Africa kusini kushuhudia tamati ya hayo mashindano sio kwamba Infantino kaenda kwaajili ya hiyo derby.
 
Mbona Kenya, Uganda,Zambia Kwa akina Musonda wameangalia. Umemuona kocha wa Asec Kasemaje? Nafikiri title ya uzi na kile ulichoandika hakiendani.
 
Wewe ni mpumbavu nenda page za China siku ya mechi wachina waliombetia yanga walala milango wazi kwa furaha afu unasema ligi haifatiliwi?. Are you kumamoto fc?
Kubet kuna uhusiano gani na derby kua kubwa.Mbona wabongo wengi tu wana bet maligi ya uko vietnam je nako ligi ni kubwa au kuna derby kubwa kiasi cha kujulikana kidunia?.wanafwatikia kwasababu ya kubet sio kwasababu ya ubora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…